Baada ya kumwambia mume wangu haniridhishi, kasitisha kufanya tendo la ndoa na mimi kabisa

Mimi ningekufukuza kabisa.
Kuna Jamaa mmoja aliambiwaga na Mkewe kuwa hana nguvu za kiume sababu kashakaa na Mkewe kwa zaidi ya miaka miwili hajamjaza ujauzito.

Jamaa alimfukuza Mkewe papo hapo, akakaa kama baada ya mwaka mmoja, akakutana na Binti mwingine kimahusiano baada ya mwezi mmoja tu tayari Binti ashajazwa kitumbo na kamzalia kidume.

Baada tu ya Mtoto kukua kwa baada ya miaka miwili Jamaa alimwacha yule Ke na alimchukua mwanawe na anaishi naye hadi sasa yuko darasa la 6 na bado kaathirika kisaikolojia hataki kabisa swala la kuoa Ke yeyote yule.
 

Mwisho ila sio?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]


I like it
 
Kisa nimekwambia ukweli? Au kisa nn??
Mi nilishazoea iyo hali hasira zinakuja mtu ndan hamfanyi unavumilia tu kumbe mwenzio wanawake kila kukicha
Bàsi angekua fair nje anafanya na mimi ananifanya naridhika wala isingekua kesi

Ungekuwa mkweli ungesema tangu siku za awali. Sio kunificha miaka nenda Rudi, ni Kama naishi na Joka ndani ya nyumba pasipo kujua.

Wewe hawezi kukufanya Kwa sababu umemruhusu Kuchat na wapuuzi WA nje.
Unakuwa Kama sio mwanamke Bhana!
Yaani mumeo anachat na wanawake wengine alafu anatoa sababu za kitoto unamchekea chekea Kama mpuuzi,

Nguvu za kiume zina-controliwa na Mke, wewe ndio unayempikia chakula hapo nyumbani, unajua kipi kinaongeza nguvu na kipi hakiongezi, kipi kinafanya Damu ichemke na kipi kinapoza, alafu unasema Hana nguvu za kiume, wewe ndio mpuuzi.

Wala usingemuambia maneno hayo ikiwa hukumuambia tangu miaka hiyo. Ambacho ungefanya ni kumuwekea vikwazo, kumnunia, kujifanya huna time naye,
Kisha kujiremba na kujiweka Safi muda wote.

Urembo na Usafi wa mwanamke unaongeza Ashki ya ngono Kwa mwanaume, pia unaoongeza wivu.

Sasa Kama Mwanamke ni mchafu haogi, ananuka, wala hajirembi unategemea Mume atavutiwa na nini kama sio kupiga trako mbili.

Na hili linakuwa tatizo ikiwa unategemea kipato cha mumeo Kwa 100% hii itakufanya ukose mpaka hela za kujipodoa na kujiremba.

Siku hizi wanawake ndio wanalinda wanaume, sio kama zamani tena Mkuu.

Anachat na wanawake wengine Kwa sababu wewe umemruhusu.
Na ukileta mchezo hao wanawake wanaweza kukutoa ndani ya nyumba. Nafikiri unawaelewa wanawake wasivyo na mzaha hasa kwenye ishu za kuiba waume za watu
 
Dah mambo mengine yanahitaji ujasiri sana. Hivi mi naweza kumaliza hata wiki sijamla mke wangu? Aisee hata aniambie nini
Hajakukuta wewe. Kuna wanawake wengine wana karaha kwenye ndoa hata uwepo wake nyumbani unaona ni kama kero. Halafu hapo sasa uwe umepata ''wa pembeni'' anayekujali na kukubembeleza kwa upole.
 
...Chukulia kuwa yeye ndiye angekuambia humridhishi ungejisikiaje. Kuna njia nyingi za kufikisha ujumbe ila njia yako siyo sahihi
 
Tafadhali ni PM nikueleze kitu!
 
Nguvu za kiume.

Mtoto sio wako.


Hayo mawili msithubutu kuwatukania wanaume kama bado mnawapenda.
 
Huyo mwanaume akirudia kukupenda kama awali ndani ya miaka 7 ijayo niite mbwa naomba hii comment uiweke lamination..

Nadiriki kusema 50% ya wanaume ukiwaambia hivyo ndoa inakuwa imekufa huku mpo ndani ya ndoa.Umefanya moja ya makosa makubwa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sijuiiii yaani sijuiiii km ndoa ipo tena hapo au ndo itabaki kulea watoto..

Binti nikusaidie tu mwanamke ni muamasishaji mkuu wa ngono popote pale Mfano Bar atavaa kimini mwanaume ataona paja atavutiwa, atashawishika kuwaza ngono,kanisani sketi ya mpasuo,ofisini kifua anaacha wazi mwanaume anatamani .Mwanamke akiacha kazi yake ya kuhamisha ngono ndani ya ndoa mwanaume ana poteza interest bahati mbaya wanawake wengi wakiolewa hilo ndo la kwanza anaacha kufanya.Atafanya kila njia ionekane ngono ni jukumu la mwanaume kuanzisha na kuhamasisha sasa hapo ndo shida inaanza.

Si kweli kwamba mumeo uwezo wake ni bao 1 niamini mimi si kweli kabisaaaa huyo akipata mwanamke muhasishaji ngono anapiga 4 na bado unakuwa na hamu.Hii ni siri ndogo sana ila ukitaka kumtawala mwanaume make sure kwanza umeolewa na mwanaume anayekupenda,Pili make sure unakuwa mhamasishaji mzuri wa ngono akyamungu huitaji uchawi kumtawala mwanaume.Mimi ni mwanaume nakupa Siri hiyo.

Sitetei yeye kuchati na wanawake wengine ila wake zetu hawa kuna kipindi unaweza ku doubt uwanaume wake yaani uwaga ngono kwao ni km sio lazima.

Sasa msala wako huo sijui km utatoboa yaani sijuiiii
 
Hawa nao wanajiona ni wana ndoa, ukweli hawa ni watu walio amua kuishi pamoja.
sio rahis Mume kuchati na wanawake wa nje huku mke akijua!
kama kweli basi akili ya mke na mume wote wako sawa...... NDEGE WANAO FANANA HURUKA PAMOJA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…