BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Dah mambo mengine yanahitaji ujasiri sana. Hivi mi naweza kumaliza hata wiki sijamla mke wangu? Aisee hata aniambie nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Jamaa mmoja aliambiwaga na Mkewe kuwa hana nguvu za kiume sababu kashakaa na Mkewe kwa zaidi ya miaka miwili hajamjaza ujauzito.Mimi ningekufukuza kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na ukome tena[emoji23]
Nikuulize!!!
Unaweza vipi kusema huyo Mume wako anachart na Wanawake lakini hafanyi nao Mapenzi?
Nikushauri tu..Punguza kumwamini mtu sana...Ikiwezekana hata kivuli chako usikiamini kiasi hicho.
Huyo Mumeo ana mambo yake pengine huyajui,au unayajua kwa vile unampenda...Unavumilia...
Ulivyomuuliza huo ujinga wake ni kama umempa kisingizio na sababu ya yeye kujihalalisha na huo ujinga wake...
Mwisho ila siyo mwisho kabisa:Nikupe pole Mwanamke mwenzangu..Mimi sinaga ushauri kwa Wapendanao...lilishaga nipata jambo...Nilikoma.
Kisa nimekwambia ukweli? Au kisa nn??
Mi nilishazoea iyo hali hasira zinakuja mtu ndan hamfanyi unavumilia tu kumbe mwenzio wanawake kila kukicha
Bàsi angekua fair nje anafanya na mimi ananifanya naridhika wala isingekua kesi
Hajakukuta wewe. Kuna wanawake wengine wana karaha kwenye ndoa hata uwepo wake nyumbani unaona ni kama kero. Halafu hapo sasa uwe umepata ''wa pembeni'' anayekujali na kukubembeleza kwa upole.Dah mambo mengine yanahitaji ujasiri sana. Hivi mi naweza kumaliza hata wiki sijamla mke wangu? Aisee hata aniambie nini
Tafadhali ni PM nikueleze kitu!Iko hivi mr alikua mtu wa kuchat na wanawake mara kwa mara sms za mapenzi. Kwa madai yake ni hulka yake tu lkn hafanyi nao mapenzi. Nikitu kimekua cha miaka sasa, unakemea anaacha baada ya muda anaendelea tena
Kuna siku nikakuta anachati na mdada tunafahamiana kabisa tena sms za mapenz wakati huo mimi ndani tunamaliza hata mwezi bila kusex iliniuma sana nikajikuta namtakia neno hili.
Nanukuu
Kwann unaniabisha hivi tangu umenioa haujawahi kuniridhisha unafanya dakika 1 umemaliza mimi ni mkeo nakupenda nimekubali udhaifu wako.
Huyo wa nje unafikiri atakufichia hii aibu? Au ndio atakutangaza tuaibike mtaani? Baada ya kumwambia hivyo alisitisha tendo nadhani mpaka sasa miez 4 bila bila anadai baada ya kumwambia hivyo hisia na mimi zilikata haoni kama tunaweza fanya chochote.
Je nifanyeje? Mi hasira zilinipanda mtu ndan sex unapimiwa halafu kutwa ni kuchat na wanawake tu.
Ewaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na Mburuuuu[emoji2]
[emoji1787]KaribuMwisho ila sio?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
I like it
Wakati huo andaa kilainishi kabisa maana hujui siku na saa ya Linda lako kutatuliwa.Ni PM tafadhal hii n nafasi ya pekee ya mm kukuliwaza seriously[emoji8]
Yani wanawake ndo mana tunaachika shauri ya mdomo na akili ndogoHahah ukifuatilia thread zake ana matukio ya kutosha tu.
Nguvu za kiume.Iko hivi mr alikua mtu wa kuchat na wanawake mara kwa mara sms za mapenzi. Kwa madai yake ni hulka yake tu lkn hafanyi nao mapenzi. Nikitu kimekua cha miaka sasa, unakemea anaacha baada ya muda anaendelea tena
Kuna siku nikakuta anachati na mdada tunafahamiana kabisa tena sms za mapenz wakati huo mimi ndani tunamaliza hata mwezi bila kusex iliniuma sana nikajikuta namtakia neno hili.
Nanukuu
Kwann unaniabisha hivi tangu umenioa haujawahi kuniridhisha unafanya dakika 1 umemaliza mimi ni mkeo nakupenda nimekubali udhaifu wako.
Huyo wa nje unafikiri atakufichia hii aibu? Au ndio atakutangaza tuaibike mtaani? Baada ya kumwambia hivyo alisitisha tendo nadhani mpaka sasa miez 4 bila bila anadai baada ya kumwambia hivyo hisia na mimi zilikata haoni kama tunaweza fanya chochote.
Je nifanyeje? Mi hasira zilinipanda mtu ndan sex unapimiwa halafu kutwa ni kuchat na wanawake tu.
Show nzuri inakuwaje? Maana dunia hii ina mambo mengi sanaAnaona umemzarau Sana yaani mwanaume anapenda kusifiwa atakama show mbovu