Baada ya kunyimwa silaha na China, Urusi sasa yaendelea kufuata Korea Kaskazini

Hii vita itaangusha wengi kwa njia tofauti
 

Attachments

  • VID-20230330-WA0006.mp4
    3.7 MB
Unarudia propaganda za Urusi kudai kuwa inapigana na NATO baada ya kubanwa na taifa dogo la Ukraine. zile Himars 12 tu zimemtoa jasho la damu sasa kweli Marekani atue pale na silaha zake zote Urusi itafurukuta kweli?
Nani kamzuia kutua sasa?
 
Kwani vita ya marekani hiyo? Umesahahu hiyo ni special military operation ya Putin.
Huyo Putin akitaka akutane na kichapo cha Marekani apige Alaska ambapo anapakana na Marekani moja kwa moja aone cha mtema kuni.
Kwani msaada anatoa nani kwenye hiyo vita sio marekani na washirika wake kwanini asiingie kama anaweza ili amalize hiyo operation ya putin.
 
Mtu kukusaid hain maana anakupiganie vita. Tanzania tunasaidiwa sana na na nchi za Magharibi, je unataka zije zichukue majukumu yetu kwa vile zinatusaidia?
Tabu anayo ipata zele hawaioni miji inavyo haribiwa hawaioni msaada upi huo wakati bado mambo ni magumu au ni uoga tu ebu muone huju mwanajeshi wa Ukraine akilalamika mbona Syria mpaka kambi wameeka hapa wanaogopa nini

Tazama mwanajeshi huyu anavyo lia
Your browser is not able to display this video.
 
Siku ukielewa kuwa Russia iliwahi mtoa mvamizi Moscow hadi Berlin ndio utaelewa kwanini hao jamaa wanaogopwa na mataifa yote. Hao jamaa wana mbinu kama million 6 za kushinda vita na wana uzoefu wa kutosha. Don't be fooled na speed yao hapo Ukraine. Huwa wanapigana kushinda sio kwa kujihami
 
Joe biden alisema China, inahusika kuipa silaha Urusi ...mwenzako anatumia intelligence ya CIA kutoa majibu hayo WEWE unatumia intelligence gani?????????

Wewe ni shabiki wa Vita unayetumia hisia, Huna mapenzi na Ukraine......unafurahi kuona NATO wakiichakaza Ukraine...Maneno yako hayana matumaini yoyote kwa Ukraine.....vita inapigwa Ukraine wanaumia wa Ukraine...watu wanakufa Ukraine.....sababu ya NATO PUPPETS ......na una wa support ...duu LOST DREAM....
 

Ahha wapi, soma historia uelewe nini kilisababisha Hitler ajikanganye bada ya kuwapiga Warusi, tena alidhoofishwa na mataifa ya Magharibi wakiwemo Marekani, huwa simpendi Hittler lakini alikua bonge la military genious, ni ile tu alichemsha hapo Stalingrad.
Urusi ilipoteza wanajeshi zaidi ya milioni 20, yaani meat grinder, na yote hiyo baada ya kusaidiwa moja kwa moja na Marekani na mataifa yote ya Magharibi.
Kwa kifupi Urusi ni bonge la useless...
 

Wacha kutegemea taarifa za vijiweni, jielimishe kidogo kuhusu hivi vita, China ilionywa na Marekani isijaribu kuisaidia Urusi ‘Gigantic mistake’: Biden warned China’s Xi over aiding Russia
 
Subiria sasa huyo Useless awaonyeshe kazi.
 
Habari za propaganda zisizo na mashiko kama hizi utazipata kwa media za udaku kama Fox News, the New York Times na the Sun
 
Unarudia propaganda za Urusi kudai kuwa inapigana na NATO baada ya kubanwa na taifa dogo la Ukraine. zile Himars 12 tu zimemtoa jasho la damu sasa kweli Marekani atue pale na silaha zake zote Urusi itafurukuta kweli?
Haifurukuti atue sasa ili mvamizi akimbizwe.
 
Ukraine anaisaidia superpower wa EAC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…