Baada ya kuweka koma kwenye orodha ya kwanza ya Mawaziri, Rais Samia asema atatangaza orodha mpya karibuni

Tatizo sio kulalamikiwa maana watanzania ni mabingwa wa kupiga majungu na fitina.
chuki binfsi.
Jan. hadi sasa yuko vizuri ktk utendaji.
 
mama anataka kuungwa mkono kwa kila kitu ndani ya wana ccm wenzie sasa ukimpinga tuu ni kosa,kosa lingine kuna mawaziri hawafanyi chochote ila wanamuunga mama mkono na mama atawarudisha,,,namshauri achkue viongozi kwenye vyama vingine pale ccm wanamlia timing
 
Kwenye list yako mbona mwezi wa ada/january ayumo?
 
Haya ni maoni au orodha tu.
Maoni yangekuwa na sababu. Huenda umeandika kwa chuki tu au wivu
 
Hangaya kazi anayo... ...


Kuna makundi ..na mafundi mule...
 
Umeongea kitu cha maana sana huu mkururu wa Mawaziri Vitumbo hauna maana yoyote ni kupoteza pesa na kufuja mali ya Umma tu ingeiga mfumo wa Japan au Malaysia kupunguza mawaziri vilaza.
Shukraani mkuu,hii ni nchi yetu wote ni vema pie hii ya Taifa iwanufaishe watanzania wote,huku Lingusenguse 60yrs baada ya uhuru wa bendera almost mabadiliko ya maisha ni zero
 
Waziri wa kilimo na manaibu wake
 
Hawa chini kwa vyovyote lazima watasalia

Ummy
Makamba
Gwajima
Dotto
Lukuvi
 
Umejitahidi sana,lakini haitakuwa hivyo ila kuna watu kweli wataondoka,kigwa hatopata kwskuwa maza anamjua,hili baraza maza atakuwa so careful ba haitovuja asilani

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wahuni ndio watakaobakizwa na kuongezwa (zama zao zimerejea)

Usitegemee maajabu kutoka kwa Mama wa Kambo

Kumbuka uteuzi wa January Makamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…