Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alaa!!, Leo unawakana sukuma gang wenzio!? Bado mtanyooshwa sanaNikuombe Mheshimiwa Rais kwa upande wa mawaziri na manaibu naomba usimpe Yeyote hata aliyewahi shika akatolewa na Magufuli
Fumua wote kasoro wanne tu nao ni Ummy Mwalimu, Lukuvi, Profesa Mbarawa Na Stagomena Tax
Wengine wanafiki tu wachumia tumbo Mioyo yao kigeugeu na wapo kuvizia fursa tu
Kweli Kama yule katibu wa wizara ya fedha mteule wake,aliyeidhinisha mamilioni ya posho.PM alikwenda amefura alifikiri Hangaya ni JPM.Naunga mkono hoja ila kwa upande wangu nataka afanye hivyo ili akose wa kumtupia lawama.
Nashauri avunje serikali nzima aweke wapya kabisa.
Khaa. . You are not seriousJanuary awe Waziri Mkuu
Lukuvi naye aondolewe tu. Wizara ya ardhi ipelekewe damu changa yenye kujua changamoto za sekta husika. Ninaamini wapo akiwatafuta atawapataNikuombe Mheshimiwa Rais kwa upande wa mawaziri na manaibu naomba usimpe Yeyote hata aliyewahi shika akatolewa na Magufuli
Fumua wote kasoro wanne tu nao ni Ummy Mwalimu, Lukuvi, Profesa Mbarawa Na Stagomena Tax
Wengine wanafiki tu wachumia tumbo Mioyo yao kigeugeu na wapo kuvizia fursa tu
Daah . . . Mmeichoka nchiNapendekeza Ridhiwani awe PM
Kigwangala atakuwa anahangaika sana huku na huku kusaka naziKabudi,dotto,waitara,katambi out bashe anakuwa waziri kamili kigwangala anapewa wizara dr.samizi analamba uteuzi ndalichako anabadilishwa wizara
Wa kwanza kuondolewa ni kassim majaliwaWakuu heri ya mwaka mpya...
Kama tulivyo msikia Mama akisema kuwa hivi karibuni atafanya mabadiliko kwenye baraza lake la mawaziri
Je kwa mtazamo wako wakiutendaji kwa mawaziri hao
Je ni nani anafaa kubaki kwenye baraza ilo na ni nani anafaa kuondolewa kwenye baraza hilo
Aya twende kazi..
Maza ni smart nape hampi na kigwa hampiNimemwona NAPE ananyoosha Suti zake Kwaajili ya maandalizi
Kwa kosa lipi?Atuondolee huyo kiumbe anaitwa January Makamba
PM hapan huyu hawez guswa
Rizwani hayumo kabisaTegemea kumwona jamaa mmoja anaitwa Riz moko kwenye kilinge.
Yajayo yana furahishaSpika hata kama atabaki hatakaa apikike chungu kimoja tena na bi mkubwa.. Itakuwa ni mwendo wa kuwindana..
PM unaweza kumeza machungu lakini inategemea kama naye alikuwa na zake za chinichini atapigwa pini kimyakimya na kutakuwa pia kuna kuwindana kusikoisha..
In fact serikali ya CCM kuanzia sasa mpaka 2025 itakuwa ya burudani tupu.. Kama ikifanikiwa kufika lakini...
Mkeka wowote ujao hautaleta unafuu wowote bali utazidisha mkanganyiko chuki, makundi na kutafutana
Kama kuna kipindi walikuwa hawaaminiani kwenye maji sasa itakuwa mpaka kwenye salamu