Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?

Jamaa yetu na nani mbona umemalizia hovyo??
 
Hivyo ni unavyowaelewa wewe mkuu.

Urais ni Taasisi, law hiyo unadhani Mama ametoka front na kusema aliyoyasema bila go ahead ya "engine " zake kina Mohamed Mchèngerwa??

Ijueni mitaa wakuu

..I thought alitakiwa ashughulikie kimya-kimya.

..amenikumbusha Mwalimu wangu wa shule ya msingi.

..wakati mwingine alikuwa ananisema mpaka naona bora anichape mambo yaishe.🤣
 
Tukilipa LUKU tunakatwa hela ya kusambaza umeme.

Hiyo hela inaenda wapi?

Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata millioni 3 nchi nzima
Mbona wakati "unakatwa" kipindi cha mwendazake hujawahi kuhoji zinakwenda wapi?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wajinga ni wengi sana mkuu. Kuna mtu haoni tatizo kubwa la hii nchi lilipo wao wanawaza ujinga wa vyama tu wakati nchi inashindwa kusonga mbele.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Leo mpemba katudhihirishia uwezo wake ktk kuchamba na wala siyo kuongoza.
Kama Rais na mwenyekiti wa chama hakutakiwa kusema yale hadharani hasa baada ya Job kuomba radhi hadharani. Job alikosoa lakini mama Katuhumu. That was totally wrong.
 
Hakuna cha Vita hapa.
Katiba Katiba mpya suluhisho la upuuzi wote huu. Viongozi hawawajibiki kwa wananchi ila zaidi matumbo yao tuu.
Hata hao wanaoshangilia leo wengi wako kinyume..
Swala la muda tu.!!
 
Tukilipa LUKU tunakatwa hela ya kusambaza umeme.

Hiyo hela inaenda wapi?

Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata millioni 3 nchi nzima
Mbona kasema sahihi Rea ni vijijini tu na sio mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…