Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?

Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?

Mama amehemukwa, nafikiri hii nafasi alikuwa anaisubiria kwa hamu sana na ameitendea haki....

Sasa hivi kila atakaeinua mdomo juu ya mama itaonekana ni joto la 2025, nilichofurahi Mama anawajua maadui zake.

Jamaa yetu jana ilibidi akanushe sio kuomba radhi, Sasa ameomba radhi na kichambo kapewa juu....

Mama kaita CCM nchi nzima imsaidie kumchamba Jamaa yetu[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa yetu na nani mbona umemalizia hovyo??
 
Hivyo ni unavyowaelewa wewe mkuu.

Urais ni Taasisi, law hiyo unadhani Mama ametoka front na kusema aliyoyasema bila go ahead ya "engine " zake kina Mohamed Mchèngerwa??

Ijueni mitaa wakuu

..I thought alitakiwa ashughulikie kimya-kimya.

..amenikumbusha Mwalimu wangu wa shule ya msingi.

..wakati mwingine alikuwa ananisema mpaka naona bora anichape mambo yaishe.🤣
 
Tukilipa LUKU tunakatwa hela ya kusambaza umeme.

Hiyo hela inaenda wapi?

Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata millioni 3 nchi nzima
Mbona wakati "unakatwa" kipindi cha mwendazake hujawahi kuhoji zinakwenda wapi?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hii conflict Kati ya executive na Bunge itufungue macho kwa hitaji la katiba mpya. Speaker kuzodolewa namna ile ni kuonesha ya kwamba Bunge letu halina nguvu. Katiba mpya inahitajika kuweka checks and balances. Tatizo ukisema katiba mpya watu wanafikiria CHADEMA basi, lakini madhara Kama haya hawayaoni.
Wajinga ni wengi sana mkuu. Kuna mtu haoni tatizo kubwa la hii nchi lilipo wao wanawaza ujinga wa vyama tu wakati nchi inashindwa kusonga mbele.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣👇
16413170897720.jpg
 
Kuna vita kubwa sana inayoendelea ndani ya CCM kwenye ulimwengu wa Rohoo.
Unayoyaona haya kwenye ulimwengu wetu wa nyama yameanzia kwenye ulimwengu wa Rohoo.

Spika Ndugai yamemkuta anawasimamisha bungeni Gwajima na wezeka kutetea kauli za Serikali. Leo hii yamemkuta kwake hata jukwaa la kwenda kujitetea hana,
Mwezake Gwajima anaongea na waumini wake kanisani Ndugai hata wabunge wake akiamuwa kuwaita ili hajitetea watamkataa.
Haya maisha Rafik wa kweli utamjua kwenye matatizo
Hakuna cha Vita hapa.
Katiba Katiba mpya suluhisho la upuuzi wote huu. Viongozi hawawajibiki kwa wananchi ila zaidi matumbo yao tuu.
Hata hao wanaoshangilia leo wengi wako kinyume..
Swala la muda tu.!!
 
Tukilipa LUKU tunakatwa hela ya kusambaza umeme.

Hiyo hela inaenda wapi?

Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata millioni 3 nchi nzima
Mbona kasema sahihi Rea ni vijijini tu na sio mjini.
 
Back
Top Bottom