Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
CCM gani aliongea?Kwa akili zako, watu walinyamaza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM gani aliongea?Kwa akili zako, watu walinyamaza?
Kwanini Rais amshambulie mkuu mwenzake wa mhimili directly kiasi cha leo jamani?
Huu ni udictator wa wazi wazi.
Akomae nao
Pasco wa JF atakuwa kalewa sio bureNgudai huyu huyu ndo a do the needful?
Jamaa yetu na nani mbona umemalizia hovyo??Mama amehemukwa, nafikiri hii nafasi alikuwa anaisubiria kwa hamu sana na ameitendea haki....
Sasa hivi kila atakaeinua mdomo juu ya mama itaonekana ni joto la 2025, nilichofurahi Mama anawajua maadui zake.
Jamaa yetu jana ilibidi akanushe sio kuomba radhi, Sasa ameomba radhi na kichambo kapewa juu....
Mama kaita CCM nchi nzima imsaidie kumchamba Jamaa yetu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivyo ni unavyowaelewa wewe mkuu.
Urais ni Taasisi, law hiyo unadhani Mama ametoka front na kusema aliyoyasema bila go ahead ya "engine " zake kina Mohamed Mchèngerwa??
Ijueni mitaa wakuu
Mbona wakati "unakatwa" kipindi cha mwendazake hujawahi kuhoji zinakwenda wapi?Tukilipa LUKU tunakatwa hela ya kusambaza umeme.
Hiyo hela inaenda wapi?
Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata millioni 3 nchi nzima
Kimbaumbau akasomee tasnia ya uchawi.
Wajinga ni wengi sana mkuu. Kuna mtu haoni tatizo kubwa la hii nchi lilipo wao wanawaza ujinga wa vyama tu wakati nchi inashindwa kusonga mbele.Hii conflict Kati ya executive na Bunge itufungue macho kwa hitaji la katiba mpya. Speaker kuzodolewa namna ile ni kuonesha ya kwamba Bunge letu halina nguvu. Katiba mpya inahitajika kuweka checks and balances. Tatizo ukisema katiba mpya watu wanafikiria CHADEMA basi, lakini madhara Kama haya hawayaoni.
For sure I didn't expect this to happen. So shame!!
Hili neno nalo mmezidi kulitumia vibaya.Kwanini Rais amshambulie mkuu mwenzake wa mhimili directly kiasi cha leo jamani?
Huu ni udictator wa wazi wazi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]
View attachment 2068603
Hakuna cha Vita hapa.Kuna vita kubwa sana inayoendelea ndani ya CCM kwenye ulimwengu wa Rohoo.
Unayoyaona haya kwenye ulimwengu wetu wa nyama yameanzia kwenye ulimwengu wa Rohoo.
Spika Ndugai yamemkuta anawasimamisha bungeni Gwajima na wezeka kutetea kauli za Serikali. Leo hii yamemkuta kwake hata jukwaa la kwenda kujitetea hana,
Mwezake Gwajima anaongea na waumini wake kanisani Ndugai hata wabunge wake akiamuwa kuwaita ili hajitetea watamkataa.
Haya maisha Rafik wa kweli utamjua kwenye matatizo
Mbona kasema sahihi Rea ni vijijini tu na sio mjini.Tukilipa LUKU tunakatwa hela ya kusambaza umeme.
Hiyo hela inaenda wapi?
Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata millioni 3 nchi nzima