Baada ya suala la Ngorongoro, Tundu Lissu ameenda Belgium & USA

Mimi siwezi kuwa safari moja na kenge mpuuzi ambaye hajitambui hata kata rasimali za taifa lake zinaibiwa.
 
Tafuta pesa kijana, usionee wivu wanaozitafuta na kufanikiwa!
 
Ni mwanasheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameenda kutoa ripoti Kwa mabwana zake,huyu ni kibaraka wa Wazungu na msaliti wa Taifa.
 
Amewatia uchizi, mmepanic mpaka mkanaikana katiba iliyowaweka hapo.

Ngoja mwamba akapumzike, akirudi Bandari na hifadhi zetu mtazitapika.

Alikwenda akarudi na mkataba mmoja tu wa Bandari. Safari hii akirudi anakuja na mingine miwili tu!!! Akimaliza hiyo anafuata mingine.

Mpaka mkimbie Tanganyika
 
Alikwenda akarudi na mkataba mmoja tu wa Bandari. Safari hii akirudi anakuja na mingine miwili tu!!! Akimaliza hiyo anafuata mingine.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye macho na asikie hivi vyama vya upinzani vipo kimkakati ndo mana jpm alitaka kuvifutilia mbali. Bora kiduku na Putin hawavitaki kabisa ili nchi iende lazima kiongozi awe dictator. Sijui Samia anasubiri Nini kuwa dictator
Ni mjinga na uvccm ndio wanaamin huu ujinga!! LISSU yupo very open anapiga Kweny mshono ingawa wanaccm hawapendi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…