Baada ya TPA kutangaza tenda kuhusu uwekezaji Terminal 2, Bado mnaamini Bandari zote zimeuzwa?

Ujinga umeusomea wapi maana umetisha sana🀣🀣 au ni kipaji?
 
Unajuaje TPA hawakwenda kuomba ruksa ya kutangaza tenda kwa mmiliki wa bandari wa sasa kama IGA inavyojieleza??
Hakuna kitu kama hicho. mmiliki wa sasa anayo mipaka ya umiliki wake na hana mamlaka yoyote ya kumpangia TPA cha kufanya.

Upotoshaji umefanikiwa kuchota akili zetu. Ni sawa na kuamini kwamba mtu uliyempangisha nyumba yako anao uwezo wa kukuambia usimlete mpangaji mwingine na kuanza kukuletea masharti wakati anaishi pale kwa kodi yake.
 
Yani kutoendeleza bandari nyingine,kumpa favour kabla ya kutangaza uwekaziji wowote ni bonge la mkataba em ngoja unatetea mkataba au unamtetea sa100
 
Ndicho kipo kwenye mkataba?
Amini kilichoandikwa kwenye hiyo barua kwamba, anatafutwa muendeshaji wa gati namba nane mpaka kumi na moja, wa gati namba tano mpaka namba saba ndio huyo DP World.

Mengine mengi unayoyasema ni kuzinguana tu.
 
Kwani IGA imekataza kutangaza tenda?
IGA INASEMA UNATAKIWA UOMBE RUKSA KWANZA KWA DP WORLD NA OMBO LAKO LIKUBALIWE. Ndio maana nasema TPA watakuwa waliomba ruksa kwanzaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ˆ
 
IGA INASEMA UNATAKIWA UOMBE RUKSA KWANZA KWA DP WORLD NA OMBO LAKO LIKUBALIWE. Ndio maana nasema TPA watakuwa waliomba ruksa kwanzaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ˆ
Kifungu gani cha IGA kinasema unatakiwa uombe rukhsa kwanza?
 
Hii Ni wa kuzuga watanzania walivyo wajinga.yaani hapo dp world watakuja kwa jina lingine watapewa utashangaa Tena. Yaani mfumo wa nchi Ni wa kisenge mno yaani watu wawili wanaamua hatima ya watu milioni Mia kidogo. Ilitakiwa kila mahala pawe na wakuu wake waweze kujiamulia raslimali zao ziweje
 
Tanzania hakuna wa kumuamini sio Serikali wala huo Upinzani kinachofanyika ni kutengeneza content tu za kisiasa ili mataifa ya nje yaendelee kuwaneemesha kwa kigezo kwamba wanafanya Demokrasia. Kiukweli Bara la Africa halihitaji mfumo ambao unatokana na mawazo ya watu wa nje
 
Amini kilichoandikwa kwenye hiyo barua kwamba, anatafutwa muendeshaji wa gati namba nane mpaka kumi na moja, wa gati namba tano mpaka namba saba ndio huyo DP World.

Mengine mengi unayoyasema ni kuzinguana tu.
Ko mkataba umefutwa au?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nyie nikwenda polepole mnataka kupindua meza kibwege
 
Utaratibu unahitaji mwekezaji apatikane baada ya ushindani, hizi sifa ulizomwagia bado hazitoshi kuhalalisha ukiukwaji wa taratibu na sheria.
 
Hiyo tenda haitakaa itekelezwe. Huo ni mpango wa kupotosha watu au kuhalalisha DPW kupewa bandari zote. Kwanini hawakutangaza ile waliowapatia DPW?


Unafiki utawaua ,πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…