Baada ya TPA kutangaza tenda kuhusu uwekezaji Terminal 2, Bado mnaamini Bandari zote zimeuzwa?

INASIKITISHA MAASKOFU WANAACHA KONDOO WANATAWANYIKA KWA WAO KUKOSA MAARIFA SASA ONA AIBU WANAYOIPATA KWA KUWADANGANYA WAUMINI? YAANI NI SAWA NA MCHUNGAJI KULA KONDOO AIBU KWA TEC
 
DP ilishindanishwa na nani? Na kimsingi tunapinga aina ya mkataba wa kishenzi.

Hii spinning yenu imefeli, tunalikumbusha kanisa katoliki kuwakumbusha maparoko wote waraka uendelee kusomwa kwenye parokia zote kwa wiki tano mfululizo.
AIBU NAONA MIMI KWA UJINGA WA HUO WARAKA
 
IGA===Inter Government Agreement.
Whereas all contracts are agreements, not all agreement are contracts. An agreement is therefore, not necessarily a contract
Intergovernmental "Agreement"(IGA)

Host Government "Agreement" (HGA)

Agreement ipi ni "Mkataba" na ipi ni "makubaliano"😂😂😂

Kwa elimu ya kawaida hapo kweli ni shida...Wale wa "law school"wanalijua hilo💪🇹🇿👍
 
Umeishia darasa la ngapi? Kama unasubiri mkataba wq DP ufutwe mwambie Mungu akuchukue tu maana nakuhakikoshia haufitwi
Wewe ni mwizi pamoja na wenzio muda sio mrefu mahakama itatamka mkataba haufai na ulikiuka sheria za nchi hatimaye mtaipata adhabu ya JALALIukiwemo wewe chawa-kunguni
 
Kwa wachache tuliobarikiwa kuielewa vizuri nchi hii na jamii yake pamoja na siasa zake tunaposimamia jambo kwa maslahi ya taifa naomba tuheshimiwe na tueleweke vizuri.

Kwa miezi 2 sasa kuna kikundi cha wanasiasa na viongozi wa dini, kwa maslahi binafsi na kutumiwa na watu ambao kila siku wamekuwa wakineemeka kwa michezo yao michafu wanayoifanya kwenye njia zetu kuu za uchumi walianzisha maneno kuwa Bandari zote za Maziwa na Bahari ikiwemo Bandari ya Dar es Salaam zimeuzwa kwa waarabu.

Kikundi hichi cha watu kilisambaza maneno haya nchi nzima huku kikisema kuwa Bunge letu limeshurutishwa na Rais Samia kuuza Bandari zetu na hivyo linauza nchi.

Kwa wachache tunaowajua vizuri tulisema kuwa haya maneno ya hawa watu hayana ukweli wowote ule ila ni hila za watu ambao wamekuwa wakineemeka kwa kuifisadi nchi yetu kupitia Bandari ambao wanatunga maneno ili ku sabotage nia nzuri ya Rais katika kuleta mapinduzi ya kiuchumi kupitia njia zetu kuu za kiuchumi ikiwemo Bandari.

Tuliosimamia ukweli huu na kukataa upotoshaji wa kundi hili la wanasiasa na viongozi wachache wa kidini tuliitwa majina yote eti tumehongwa, mara sisi ni chawa wa Rais Samia.

Kuna mzee mmoja aliwahi kuniambia kuwa, ukweli una tabia moja, unatembea taratibu sana ila uzuri wake ni lazima tu ufike mahali pake.

Baada ya Mamlaka ya Bandari kutoa tangazo la kukaribisha maombi ya uwekezaji katika Terminal 2 ya Bandari yetu ya Dar es Salaam sasa nimeamini rasmi maneno ya yule mzee.

Kilichonifurahisha ni kwamba, baada ya tangazo hili la Bandari, Sijasikia maneno yale ya wale wanasiasa pamoja na wale viongozi wa dini hasa TEC kuwa Rais kauza Bandari ya Dar es Salaam au Bandari zote kwa waarabu!

Wale watu waliokuwa wanasema kuwa Bandari zetu zimeuzwa wameufyata kimyaaaaaa na siwasikii wakisema neno lolote lile zaidi ya kuhamisha magoli saivi wameanza kuzungumzia kampuni ya Adani.

Wale waliokuwa wanasema tumeondoa our National Sovereignty kwa kuwapa Bandari yetu Dubai ndo siwasikii kabisa sasa sijui wamelala usingizi wa pono hawajaona hili tangazo la TPA?

Napenda kumaliza kwa kusema
Tanzania kuna kundi maslahi ambalo limekuwa likinufaika kwa ujinga wa Watanzania. Kundi hili ni zito na lina wanasiasa na watu wa dini pia.

Endapo msiposimama na Serikali kuiunga mkono katika kuleta mapinduzi ya kweli ya kiuchumi, nchi yetu itakuwa maskini hadi ukamilifu wa dahali.

Tumsifu Yesu Kristo!

Nakala kwa
The Boss FaizaFoxy GUSSIE
Unakamuliwa kinyelo
 
Kanisa Katoliki lina nguvu sana aisee.Haya yote ni matokeo ya ule waraka.Waraka haupoi.Ukilala unakereketa ukiamka unakereketa.
 
Sasa chawa kanisa linanufaika vipi na ishu bandari.
Misamaha yote ya kodi ipo chini ya mamlaka ya mapato bandari haihusiki
 
Mwarabu kapata hasara ya kuliwa kishika uchumba na wajanja bila kuangalia gia ya kuingilia je Hela alizowapa kina mwijaku,baba levo watarudisha? Bandari ndio keshaikosa hio.
Aende akaendeshe ya Zanzibar
 
Ninauhakika kabisa wew akili yako ni ndogo sana ukilinganisha na hao jamaa waliotoa huo walaka., pia nina uhakika hujuwi historia na siasa za Taifa hili kwa undani.
Nina uhakika kuwa walioutoa huo waraka kwa sasa wanaona aibu baada ya tangazo la TPA la jana. Nina uhakika hujui kuwa upo msemo usemao ujanja mwingi mbele ni kiza.
 
Kwa wachache tuliobarikiwa kuielewa vizuri nchi hii na jamii yake pamoja na siasa zake tunaposimamia jambo kwa maslahi ya taifa naomba tuheshimiwe na tueleweke vizuri.

Kwa miezi 2 sasa kuna kikundi cha wanasiasa na viongozi wa dini, kwa maslahi binafsi na kutumiwa na watu ambao kila siku wamekuwa wakineemeka kwa michezo yao michafu wanayoifanya kwenye njia zetu kuu za uchumi walianzisha maneno kuwa Bandari zote za Maziwa na Bahari ikiwemo Bandari ya Dar es Salaam zimeuzwa kwa waarabu.

Kikundi hichi cha watu kilisambaza maneno haya nchi nzima huku kikisema kuwa Bunge letu limeshurutishwa na Rais Samia kuuza Bandari zetu na hivyo linauza nchi.

Kwa wachache tunaowajua vizuri tulisema kuwa haya maneno ya hawa watu hayana ukweli wowote ule ila ni hila za watu ambao wamekuwa wakineemeka kwa kuifisadi nchi yetu kupitia Bandari ambao wanatunga maneno ili ku sabotage nia nzuri ya Rais katika kuleta mapinduzi ya kiuchumi kupitia njia zetu kuu za kiuchumi ikiwemo Bandari.

Tuliosimamia ukweli huu na kukataa upotoshaji wa kundi hili la wanasiasa na viongozi wachache wa kidini tuliitwa majina yote eti tumehongwa, mara sisi ni chawa wa Rais Samia.

Kuna mzee mmoja aliwahi kuniambia kuwa, ukweli una tabia moja, unatembea taratibu sana ila uzuri wake ni lazima tu ufike mahali pake.

Baada ya Mamlaka ya Bandari kutoa tangazo la kukaribisha maombi ya uwekezaji katika Terminal 2 ya Bandari yetu ya Dar es Salaam sasa nimeamini rasmi maneno ya yule mzee.

Kilichonifurahisha ni kwamba, baada ya tangazo hili la Bandari, Sijasikia maneno yale ya wale wanasiasa pamoja na wale viongozi wa dini hasa TEC kuwa Rais kauza Bandari ya Dar es Salaam au Bandari zote kwa waarabu!

Wale watu waliokuwa wanasema kuwa Bandari zetu zimeuzwa wameufyata kimyaaaaaa na siwasikii wakisema neno lolote lile zaidi ya kuhamisha magoli saivi wameanza kuzungumzia kampuni ya Adani.

Wale waliokuwa wanasema tumeondoa our National Sovereignty kwa kuwapa Bandari yetu Dubai ndo siwasikii kabisa sasa sijui wamelala usingizi wa pono hawajaona hili tangazo la TPA?

Napenda kumaliza kwa kusema
Tanzania kuna kundi maslahi ambalo limekuwa likinufaika kwa ujinga wa Watanzania. Kundi hili ni zito na lina wanasiasa na watu wa dini pia.

Endapo msiposimama na Serikali kuiunga mkono katika kuleta mapinduzi ya kweli ya kiuchumi, nchi yetu itakuwa maskini hadi ukamilifu wa dahali.

Tumsifu Yesu Kristo!

Nakala kwa
The Boss FaizaFoxy GUSSIE
Lord Denning unashindwa kutambua kwamba, tangazo la TPA ni matokeo na itekelezaji wa waraka wa maaskofu. Hii ni kinyume na mkataba wa DP world.
 
Back
Top Bottom