1. Tanzania inao wajibu wa kumjulisha Dubai juu ya fursa nyinginezo kuhusiana na bandari. Tanzania imejifunga kufanya hivyo, ina wajibu wa lazima kufanya hivyo.
2. Tanzania itaijulisha Dubai juu ya fursa nyinginezo za bandari, ikiona inabidi kufanya hivyo itafanya lakini haifungwi na Dubai kufanya hivyo.
3. Tanzania itaijulisha Dubai juu ya fursa nyinginezo, hapa pia kuna ulazima wa Tanzania kufanya hivyo.
Kisheria May na Shall huonyesha wajibu au ulazima wa kufanyika jambo. Will ni kama ombi ambalo upande husika unaweza usilitilie maanani.