Baada ya TPA kutangaza tenda kuhusu uwekezaji Terminal 2, Bado mnaamini Bandari zote zimeuzwa?

Part 2 ya iga inahusu Terminal 1. Muswada wa Sheria ya Maliasilia hauhusiani na uwekezaji wa Bandari. Shida yako nini?
Wewe ni mjinga kama hujui Bandari ipo katika maswala ya Maliasili soma comment inayofuta
 
1. Tanzania inao wajibu wa kumjulisha Dubai juu ya fursa nyinginezo kuhusiana na bandari. Tanzania imejifunga kufanya hivyo, ina wajibu wa lazima kufanya hivyo.

2. Tanzania itaijulisha Dubai juu ya fursa nyinginezo za bandari, ikiona inabidi kufanya hivyo itafanya lakini haifungwi na Dubai kufanya hivyo.

3. Tanzania itaijulisha Dubai juu ya fursa nyinginezo, hapa pia kuna ulazima wa Tanzania kufanya hivyo.

Kisheria May na Shall huonyesha wajibu au ulazima wa kufanyika jambo. Will ni kama ombi ambalo upande husika unaweza usilitilie maanani.
 
Wewe ni mjinga kama hujui Bandari ipo katika maswala ya Maliasili soma comment inayofuta
Wewe niambie. Uwekezaji wa management ya uendelezaji wa bandari unahusianaje na maliasilia?
 
Kwani mikataba baina ya nchi na nchi migogoro inaamukiwa kwenye nchi moja wapo?
 
Sheria ya maliasili haihusiani na bandari hata siku moja. Hizi harakati zenu zinaambatana na maumivu makubwa ya nafsi.

Bandari ni lango la kuingia ndani ya nchi sawa sawa na uwanja wa ndege, huwezi kuiweka katika kundi la maliasili.

Pale bandaini kilicho katika kundi la maliasili ni maji tu, lakini huwezi kusema makontena yanayopakiwa melini ni sehemu ya maliasili. Huwezi kusema zile machine za kupakia na kupakua makontena eti ni sehemu ya maliasili.

Uelewa wetu ni tatizo kubwa.
 
Una matatizo kwakweli! Tofauti ya "Will" na "May" ni hipi?
 
Nchi ina watu wengi xnaa ila wajinga ni wengi kuliko werevu hilo ndio tatizo?
Ushauri wangu vijana tupige kazi tusitumiwe na wanasiasa na baadhi ya wazee wasio na hekima nchi inazid kukua
 
Muulize kabudi akisaidiwa na mruma waliounda mikataba hiyo.

Unafikiri tumesahau mikataba ya kujimwambafai ilikuwa ya kijinga?

Hivi kwanini waandishi hawamuulizi kabudi na mruma, vipi wanahenyeshwa icsid?
Niwaulize Kabudi na Mruma wakati najua hao ni wajinga wengine waliokuwa wanahakikisha wanamfurahisha yule kiongozi muovu?
 
Tanzania will inform Dubai hajasema Shall Inform Dubai, hapo hulazimishwi kutii matakwa ya mwekezaji. Na hicho kifungu hakiizuii Tanzania kutafuta mwekezaji mwingine kwa ajili ya magati namba 8 mpaka 11.
Naona umemfundisha inglish,
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Saaafi sanaaa
 
Kuna bandari na kuna IGA. Watanzania wanakataa IGA.
 
Naona umemfundisha inglish,
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Saaafi sanaaa
Makubaliano ni sharti. Ukishaandika kitu katika makubaliano inakuwa sharti. Vinginevyo hakuna sababu ya kuandika katika makubaliano.
 
Muulize kabudi akisaidiwa na mruma waliounda mikataba hiyo.

Unafikiri tumesahau mikataba ya kujimwambafai ilikuwa ya kijinga?

Hivi kwanini waandishi hawamuulizi kabudi na mruma, vipi wanahenyeshwa icsid?
Kabudi aliunda mkataba gan kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…