Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Kimeshakua bro.
Mishahara ya Lisu, heche na mnyika itawatosha kuendesha chama
MnoKimekua chama Kikubwa
Ndio maana CCM wanataka kuki- destabilise
wakati CHAUMA na vyama vingine kibao tu vipo na vitaendelea kuwepo bila ruzuku tangu kuanzishwa kwao.Sabato Njema!
Hizi purukushani za kisiasa zinazoendelea watu wengi tunazifuatilia kwa ukaribu Sana.
Ikiwa uchaguzi utafanyika hiyo October na CHADEMA wasiposhiriki, itamaanisha hawatapata Ruzuku. Pesa ambazo ni muhimu kwa chama chochote.
Ikiwa watapambana wakatoboa 2027 wakiwa na nguvu hiihii. Ni wazi Chadema itakuwa itikadi yenye ukaribu kabisa na Imani ya Dini.
Imani ya Dini ndio MTU huweza kujitolea burebure bila kulipwa. Lakini sio itikadi ya siasa.
Tunafuatilia!
Watawachangisha "wanyonge" kama wanavyowachangisha kwenye mikutano yao inayoendeleaNgoja tuone.
Hata kufanya hizo movements zao nchi nzima inahitaji nguvu ya pesa
wakati CHAUMA na vyama vingine kibao tu vipo na vitaendelea kuwepo bila ruzuku tangu kuanzishwa kwao.
what is chadema gentleman kwenye hilo?
Watawachangisha "wanyonge" kama wanavyowachangisha kwenye mikutano yao inayoendelea
Itahitaji usiku mmoja tu nchi itageuka
unapotosha wadau wa JF wazi wazi bila kificho gentleman,😆😆
Gentleman tunazungumzia nguvu ya chadema isiyo na ruzuku.
Hakuna chama cha upinzani nchi hii kilichowahi kuwa na nguvu Nchi nzima zaidi ya Chadema.
Chadema imefanya mapinduzi makubwa kisiasa baada ya kutoka kuwa chama cha kanda ya kaskazini mpaka kuwa cha kitaifa
Edmond MysticUnazungumzia nini Mkuu?
Kifupi CHADEMA kuna bomu linawasubiri kulipuka wakati wowoteSabato Njema!
Hizi purukushani za kisiasa zinazoendelea watu wengi tunazifuatilia kwa ukaribu Sana.
Ikiwa uchaguzi utafanyika hiyo October na CHADEMA wasiposhiriki, itamaanisha hawatapata Ruzuku. Pesa ambazo ni muhimu kwa chama chochote.
Ikiwa watapambana wakatoboa 2027 wakiwa na nguvu hiihii. Ni wazi Chadema itakuwa itikadi yenye ukaribu kabisa na Imani ya Dini.
Imani ya Dini ndio MTU huweza kujitolea burebure bila kulipwa. Lakini sio itikadi ya siasa.
Tunafuatilia!
Kitakachofata ni kuumiza hao ambayo watajitolea kuiendesha chadema kwa kutumia hiyo Imani yao kwa chadema. Ni kutekwa na kuuwawa. Tunza hiiNgoja tuone.
Hata kufanya hizo movements zao nchi nzima inahitaji nguvu ya pesa
😀😀CHADEMA ya Mbowe haikukomaliwa sana kuhojiwa na wana Chadema sababu team Mbowe walikuwa na pesa wakifanya mambo makubwa kuliko Ruzuku