Baada ya uchaguzi; Kama CHADEMA Itaweza ku-survive mpaka 2027 bila Ruzuku. Kitakua kama Imani katika Dini

CHADEMA saivi ni Imani ya KIITIKADI ..YAAAAN NI KAMA DHEHEBU LENYE WABATIZWA NA WALA KIMUNYO. CHADEMA NAIFAHAMU TANGU 2005, NIMEIFUATAILIA MPAKA LEO, NAJUA HARAKATI ZAKE, MKE NA WATOTO NI CHADEMA,KIZAZI CHA MWAKA 1995, WANAIJUA CHADEMA, KIZAZ CHA MWAKA 2000 WANAIJUA CHADEMA, SO NI IMANI AMBAYO WATU WANAUSHI NAYO NA WATAICHANGIA , TUTAICHANGIA , NINAICHANGIA KAMA NINAVYOICHANGIA CCM, MAAANA NIKIINGIA UWANJANI KUANGALIA MPIRA MBEYA NALIPA, NIKIONA CCM KIRUMBA NACHANGIA, NIKIWA JAHURI DODOMA NALIAPA..PESA ZOTE HIZO NI ZA CCM.
 
Kitakachofata ni kuumiza hao ambayo watajitolea kuiendesha chadema kwa kutumia hiyo Imani yao kwa chadema. Ni kutekwa na kuuwawa. Tunza hii
Wataua wangapi kama mpaka Sasa wananchi Zaid ya miloni 10 wameichangia?
 

Ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ