Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

Kivipi?
Ufafanuzi tafadhali
Mengine sio busara sana kusema hapa. Unganisha codes utaelewa hilo la kusema bila Zanzibar huenda Tanganyika isisogee.

Anza kujiuliza haya, kwanini kila mtawala wa juu wa Tanganyika huwa anasema na kuapa kuwa, atahakikisha anaulinda huu muungano kama moyo wake, kwa hali, mali na damu hatakubali uvunjike.
 
Idadi ya 2000 kila mkoa ni kiasi cha kujitathmini hata wewe nyumban kwenu
Mkoa nao ishi unaidadi ya watu milion 6, piga hesabu mwenyewe; arafu angalia na idadi ya watu Zanzibar million moja na laki nane ila wanaojihusisha na vitendo vya ushoga ni 121500, Zanzibar sio nchi ni Choo cha shetani wazanzibar mnalaana
 
Weka takwimu ?
Kwa idadi na uhamasishaji wa NGO , Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Mwanza Mbeya zina mashoga wengi, au kuwa na idadi kubwa yha mashoga na malaya wote wanaoishi Dar Es Salaam kutokea kwenye hiyo mikoa
Nitajie NGO tafadhali
 
Weka takwimu ?
Kwa idadi na uhamasishaji wa NGO , Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Mwanza Mbeya zina mashoga wengi, au kuwa na idadi kubwa yha mashoga na malaya wote wanaoishi Dar Es Salaam kutokea kwenye hiyo mikoa
Mkuu hapa Zanzibar kuna mashoga mpaka wamasai kutoka bara.
Ni vigumu mnoo kuutenganisha ushoga na mazingira ya Zanzibar ya sasa kwa sababu kuu mbili, moja tamaduni za kishenzi za siku nyingi za Zanzibar (muarabu ni mshenzi kabisa) na sekta ya utalii (mzungu ni mpumbavu kabisa)
 
Itakua wanahitaji uhuru zaidi, wanahisi kutawaliwa na kufanyiwa maamuzi bara inayotaka.

Tukirejea uchaguzi wa 2015 unaona ulikua free and fair? Walioata kiongozi wanaomhitaji? Je huoni mambo madogo kama hayo yanapelekea pia chuki dhidi yetu?
Hapo nimekuelewa sana
Naona hapo umefunguka
Kweli kama wanataka kujitenga labda wasubiri ule Ufa utakaoigawa Africa baada ya miaka kadhaa ( sitanii) kuna mpasuko mkubwa sana

Lakini zaidi ya hapo muungano unachungwa sana na hawawezi kukubali wajitenge

Ni maamuzi yanayowezekana ila Bara sisi ni waoga sana kwa maamuzi maana hata dual citizenship tu inatushinda itakuwa kuachana kwa talaka?
 
Wacha watukane matusi yote muungano hauvunjiki ng'o na kipindi Cha uchaguzi tutawapelekea wajeda wajae Kila corner.
Muungano udumu milele

kama ni hivo munalalamika nini? Endeleeni tu kupokea matusi huku munafuraha
 
Likija suala la muungano ni wabara tu hawataki kuvunja, kule zanzibar wanaokataa ni walio kwenye mfumo tu
Ndivyo mnavyodanganyana kwenye vijiwe vyenu vya kawaha; Hakuna mtu wa bara anaeutaka muungano
 

inahitajika utulivu wa akili na si mihemko ili kufahamu kuwa zanzibari ndio inayonyonwa kwenye huu muungano
 
Mbona hauelezei comoro ambayo ipo karibu na wewe una sema singapore na dubai

Bila Tanganyika mtakuwa kama comoro na visiwa vingine vinavyo jitawala. Hapo comoro tu hatuja ungana nao lakini Tanganyika ndo inalisha huko kila kitu, kwanini wasiwe kama dubai
Hao watu wahuko mnalingana kila kitu acheni ujinga kuweni na shukurna na bara ambayo inawalisha kila kitu
 
Sasa kama mkoa mzima wa Zanzibar hata division One hukosa hadi wapewe na serikali wategemea nini?
Hawataki hata ilimu dunia Kila kitu tu wasaidiwe, Yani shule kimatokeo za mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…