Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kwanini unajidharau sana? US ndio watu zaidi?
Unauliza au unapigia jibu mstari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unajidharau sana? US ndio watu zaidi?
Kwanini chadema mnajidharau sana?
Yani kwahiyo nyie ni paka tu ila US ndio watu
Akikujibu naomba nitag tuelimike wote... tena magazeti yao ya leo hawaweka kona wamemwaga upupu wote mpk airport iliyotumika na wamesema kaondoka jana....... MAMLAKA zichukue hatua stahiki... UMESENA NI MAGAZETI YA NCHI JIRANI, SASA MIMI NAKUULIZA:-
1. JE, NI MAMLAKA GANI UNADHANI INAHUSIKA? JE, NI MAMLAKA YA NCHI YETU, AU MAMLAKA YA NCHI AMBAYO NDIMO HILO GAZETI LINACHAPISHWA?
2. NA JE, NI HATUA ZIPI HASA AMBAZO MAMLAKA HIYO YAWEZA KUZICHUKUA?
Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki.
Mfano People Daily online hasa la leo.
Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
Ukisikia kujitegemea ndio Tujitegemee. Huwezi kuendelesha nchi kwa hearsay. Madela, sorry, Madilu kwa kujitegemea zaidi anaendesha msako wa akina seesay!Huwezi kuendesha nchi kwa hearsay ! Yaani watu waache kufanya shughuli za kunufaisha watanzania, waanze kufanya ufafanuzi uzushi wa waliokosa hoja!
Hao waliokosa hoja wangeonekana wa maana kama wangekuja na hoja za kuwawezesha watanzania kufurahia uchumi huu wa kati kisha na kuwapa mbinu ya kuwawezesha watanzania waiingize nchi yao Jamhuri ya Muungano Tanzania kwenye uchumi wa kwanza. Lakini wapi wapo tu "wanajibaraguza"!
Nimefurahi sana maana nimefanikiwa kukuchekesha!Umejibu kijinga sana, nimecheka mbele za watu, aisee ningekuwa mimi ndiyo ninayekulipa leo usingepata kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu kuna mnyalukolo rafiki yangu mmoja hapa nilipo Kwimba kaniambia IDEGENDA ipo huko Iringa, Wilay moja Mpya, anasema sijui inaitwa Kilolo kwa akina Mwamoto huko. Na sifa ya watu wa wilaya hiyo nasikia ni akili nyingi sana kwa vile kuna vyakula tele. Kama huyu rafiki yangu aliniambia jambo la kweli, je, inakuwaje wewe ujipe nembo ya IDEGENDA halafu unakuwa na akili finyu kiasi hiki? Je, ni kweli unatokea huko Iringa kwa watani zangu wenye akili? Namfahamu Msigwa aliyeporwa ubunge mchana kweupe huko Iringa. Alikuwa na kipaji kikubwa sana cha akili. Au wewe ni mhamiaji?Magufuli na selikali haiwezi kufanya kazi kihuni namna hiyo!
Sabaya tu aliwapuuza sembuse Magufuli?
Mkuu pamba mbona tunalima sie lakini tunanunua mitumba umeshawai kujiuliza kwanini?kanda ya ziwa samaki wanavua wao lakini wao kitoweo chao mapanki umeshajiuliza kwann?nitajie jina la professor m1 tu ambae amefanya jambo la kutukuka hapa?kenya wapo juu kwenye nyanja nyingi kuliko sisi & majuzi wamekataa mahindi yetu wamesema yanasumu umeona kuna mahala serikari imesema moja kwa moja kifua mbele kuwa mahindi hayana sumu kuvu?si unaona wanajikanyaga tuHivi huna habari jwamba dawa nyingi za kimagharibi zinatokana na wana sayansi kufanya utafiti kuhusu dawa zinazo tokana na miti shamba, walizanyia analysis kuangalia composition/ingredients zizilizomo, baada ya kubaini hayo ndio waka synthesize vidonge/vimiminika vinavyo fanana fanana na dawa za miti shamba - hivyo wanao beza beza na kukejeri masuala ya miti shamba hawajui historia ya utengenezaji wa dawa.

Haindoi ukweli kuwa ni cheo cha kwenye umasikini wa kutupa, ingekuwa ni rais wa US hapo ningeona ni cheo cha kutisha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aibu naona mimi!
Cheo cha rais ni umasikini wakati yule jamaa yako alikifungia safari kuja kukipigania?
Na akasema pia ingieni barabarani ili mumpiganie akipate!
Ni sawa kabisa uko sahihi ndugu yangu! Au tuseme Mbowe na John Mrema, wakizushiwa kifo si unawaonyesha kuwa hawa hapa?Dawa ya muongo ni ndogo.
Akisema uongo, kanusha kwa ukweli.
Akisema Magufuli yupo hospitali Nairobi, muoneshe Magufuli huyu hapa yuko Ikulu Tanzania hayupo hospitali Nairobi.
Kwa nini serikali ya Tanzania haikanushi uongo kwa kuweka ukweli wazi?
wapo vizuri kwenye Medical TourismW
Wanajisifu kuwa wait Wana huduma Bora za matibabu kuliko nchi yeyote ukanda huu. na kwamba kwao Sasa imekua Ni Kama utalii wa kimatibabu.
Inaniuma Sana wallah
Kikwete alikuwa anayaweza sana haya mambo ya damage control awasaidie hawa wachunga Ng'ombe naona sasa maji yamewafika shingoni
Hakuna kwanza ataanza kwa kutangaza jiwe liko hospitali hoi bin taaban halafu atatuomba Wananchi tumchangie na tufanye maombi ili apone na tungefanyaHivi ikitokea mzee jakaya akavaa jezi upya na kuomba mechi hapo timu gani inaweza kumsumbua?
TV stationNaomba kujua radio ya taifa la india na frq no
Hii nguvu ungeitumia kuhoji institution ya kifalume na malikia huko Uingereza juu ya tuhuma nzito za ubaguzi kwa mkwe wao na mjukuu wao, ungeondoa dhana nzima ya biased opinions na double standard based narratives unazoelekea kuziunga mkono!!