Baadhi ya vyombo vya habari vya nchi jirani vinaeneza uongo, vichukuliwe hatua Kali

Baadhi ya vyombo vya habari vya nchi jirani vinaeneza uongo, vichukuliwe hatua Kali

Kwanini chadema mnajidharau sana?

Yani kwahiyo nyie ni paka tu ila US ndio watu

Ww ndio nimeona unatetemekea cheo cha rais wa Tz ukiona kama ni bonge ya cheo, hamna cheo hapo ni umasikini mtupu.
 
.... MAMLAKA zichukue hatua stahiki... UMESENA NI MAGAZETI YA NCHI JIRANI, SASA MIMI NAKUULIZA:-

1. JE, NI MAMLAKA GANI UNADHANI INAHUSIKA? JE, NI MAMLAKA YA NCHI YETU, AU MAMLAKA YA NCHI AMBAYO NDIMO HILO GAZETI LINACHAPISHWA?

2. NA JE, NI HATUA ZIPI HASA AMBAZO MAMLAKA HIYO YAWEZA KUZICHUKUA?
Akikujibu naomba nitag tuelimike wote... tena magazeti yao ya leo hawaweka kona wamemwaga upupu wote mpk airport iliyotumika na wamesema kaondoka jana...
 
Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki.
Mfano People Daily online hasa la leo.

Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
mpaper_1615409500_6049315c6d691.jpg

Hiki chombo cha chenu chenyewe kinastahili tuzo gani?
 
Mmeidhibiti Tanzania mnataka mdhibiti na nchi za watu nyie Kama nani
Wacha wenye Uhuru wao watupe habari
Na kwa yanayoendelea hapa Tanzania ni wazi kwamba hamkustahili kuwa viongozi
Mnalazimisha mambo yasiyowezekana
 
Huwezi kuendesha nchi kwa hearsay ! Yaani watu waache kufanya shughuli za kunufaisha watanzania, waanze kufanya ufafanuzi uzushi wa waliokosa hoja!

Hao waliokosa hoja wangeonekana wa maana kama wangekuja na hoja za kuwawezesha watanzania kufurahia uchumi huu wa kati kisha na kuwapa mbinu ya kuwawezesha watanzania waiingize nchi yao Jamhuri ya Muungano Tanzania kwenye uchumi wa kwanza. Lakini wapi wapo tu "wanajibaraguza"!
Ukisikia kujitegemea ndio Tujitegemee. Huwezi kuendelesha nchi kwa hearsay. Madela, sorry, Madilu kwa kujitegemea zaidi anaendesha msako wa akina seesay!
 
Kwanini tulumbane na nchi zingine wao Wana Uhuru wa kuandika kutoa maoni bila kutukana kwa Sheria zao.
Afya ya RAIS ni muhimu sio kwa wananchi husika hata kwa mataifa mengine Tena Kama jirani ndio zaidi.
Kumbuka wakati wa J.M.Kikwete uhusiano wetu na Rwanda kulikuwa tete.marais wa nchi za mabeberu wengi wamefurahia kuanguka kwa Trump USA.
Tunaamini viongozi wanapotuambia mh RAIS Dr J. Magufuli yu mwenye afya njema,tuwapotezee waenezao uvumi wataumbuka as usual.
Lakini Kama Kuna tatizo tuna haki ya kufahamu .na hatutawasamehe kumpeleka Kenya wakati mnajua tupo kwenye Vita vya kiuchumi na kenya.miradi mungu aliyoanzisha inaipa wakati ngumu Kenya

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Umejibu kijinga sana, nimecheka mbele za watu, aisee ningekuwa mimi ndiyo ninayekulipa leo usingepata kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimefurahi sana maana nimefanikiwa kukuchekesha!
 
Magufuli na selikali haiwezi kufanya kazi kihuni namna hiyo!

Sabaya tu aliwapuuza sembuse Magufuli?
Halafu kuna mnyalukolo rafiki yangu mmoja hapa nilipo Kwimba kaniambia IDEGENDA ipo huko Iringa, Wilay moja Mpya, anasema sijui inaitwa Kilolo kwa akina Mwamoto huko. Na sifa ya watu wa wilaya hiyo nasikia ni akili nyingi sana kwa vile kuna vyakula tele. Kama huyu rafiki yangu aliniambia jambo la kweli, je, inakuwaje wewe ujipe nembo ya IDEGENDA halafu unakuwa na akili finyu kiasi hiki? Je, ni kweli unatokea huko Iringa kwa watani zangu wenye akili? Namfahamu Msigwa aliyeporwa ubunge mchana kweupe huko Iringa. Alikuwa na kipaji kikubwa sana cha akili. Au wewe ni mhamiaji?
 
Hivi huna habari jwamba dawa nyingi za kimagharibi zinatokana na wana sayansi kufanya utafiti kuhusu dawa zinazo tokana na miti shamba, walizanyia analysis kuangalia composition/ingredients zizilizomo, baada ya kubaini hayo ndio waka synthesize vidonge/vimiminika vinavyo fanana fanana na dawa za miti shamba - hivyo wanao beza beza na kukejeri masuala ya miti shamba hawajui historia ya utengenezaji wa dawa.
Mkuu pamba mbona tunalima sie lakini tunanunua mitumba umeshawai kujiuliza kwanini?kanda ya ziwa samaki wanavua wao lakini wao kitoweo chao mapanki umeshajiuliza kwann?nitajie jina la professor m1 tu ambae amefanya jambo la kutukuka hapa?kenya wapo juu kwenye nyanja nyingi kuliko sisi & majuzi wamekataa mahindi yetu wamesema yanasumu umeona kuna mahala serikari imesema moja kwa moja kifua mbele kuwa mahindi hayana sumu kuvu?si unaona wanajikanyaga tu
 
Hivi huna habari jwamba dawa nyingi za kimagharibi zinatokana na wana sayansi kufanya utafiti kuhusu dawa zinazo tokana na miti shamba, walizanyia analysis kuangalia composition/ingredients zizilizomo, baada ya kubaini hayo ndio waka synthesize vidonge/vimiminika vinavyo fanana fanana na dawa za miti shamba - hivyo wanao beza beza na kukejeri masuala ya miti shamba hawajui historia ya utengenezaji wa dawa.
Mkuu pamba mbona tunalima sie lakini tunanunua mitumba umeshawai kujiuliza kwanini?kanda ya ziwa samaki wanavua wao lakini wao kitoweo chao mapanki umeshajiuliza kwann?nitajie jina la professor m1 tu ambae amefanya jambo la kutukuka hapa?kenya wapo juu kwenye nyanja nyingi kuliko sisi & majuzi wamekataa mahindi yetu wamesema yanasumu umeona kuna mahala serikari imesema moja kwa moja kifua mbele kuwa mahindi hayana sumu kuvu?si unaona wanajikanyaga tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aibu naona mimi!

Cheo cha rais ni umasikini wakati yule jamaa yako alikifungia safari kuja kukipigania?

Na akasema pia ingieni barabarani ili mumpiganie akipate!
Haindoi ukweli kuwa ni cheo cha kwenye umasikini wa kutupa, ingekuwa ni rais wa US hapo ningeona ni cheo cha kutisha.
 
Dawa ya muongo ni ndogo.

Akisema uongo, kanusha kwa ukweli.

Akisema Magufuli yupo hospitali Nairobi, muoneshe Magufuli huyu hapa yuko Ikulu Tanzania hayupo hospitali Nairobi.

Kwa nini serikali ya Tanzania haikanushi uongo kwa kuweka ukweli wazi?
Ni sawa kabisa uko sahihi ndugu yangu! Au tuseme Mbowe na John Mrema, wakizushiwa kifo si unawaonyesha kuwa hawa hapa?
 
Kikwete alikuwa anayaweza sana haya mambo ya damage control awasaidie hawa wachunga Ng'ombe naona sasa maji yamewafika shingoni

Hivi ikitokea mzee jakaya akavaa jezi upya na kuomba mechi hapo timu gani inaweza kumsumbua?
 
Hivi ikitokea mzee jakaya akavaa jezi upya na kuomba mechi hapo timu gani inaweza kumsumbua?
Hakuna kwanza ataanza kwa kutangaza jiwe liko hospitali hoi bin taaban halafu atatuomba Wananchi tumchangie na tufanye maombi ili apone na tungefanya

Jk ni leader
 
Hii nguvu ungeitumia kuhoji institution ya kifalume na malikia huko Uingereza juu ya tuhuma nzito za ubaguzi kwa mkwe wao na mjukuu wao, ungeondoa dhana nzima ya biased opinions na double standard based narratives unazoelekea kuziunga mkono!!

Umetoa mfano wa hovyo. Sisi hapa tuna jamhuri na Rais ni mchaguliwa. Malkia ameingia pale kwa bloodline! Falme hazifanyi kazi kama republic ambazo viongozi wanawajibika kwa raia. Your narrative is misplaced and skewed!!

Unakubali kuwa ukweli ndio unapaswa kutawala?? Kama ndivyo, ukweli wa jambo hili ni upi?? Haitoshi kusema “kwetu sio mwanza”. Inatosha kusema “kwetu sio mwanza, ni kigoma”!!

Wengine tuna genuine concern ya tunayosikia na ni ukweli tu ndio utatutuliza. Sio hizi sarakasi zenu.
 
Back
Top Bottom