Baadhi ya wadada wanaorusha video zao mitandaoni, huwa wana ndugu na wazazi kweli?

Ukweli uko pale malezi mazuri ya wazazi yanatakiwa.
Kuna mabinti nilikua nawafyatua walikua km wa5.
Baba yao yupo na mama yao.
Wana chumba chao wamejazana humo,kaka zao chumba kingine nao vibaka tu.
Hao mabinti wanauza nyuchi mjini huko.
Wakirudi mko wote mpk waondoke tena jioni kabisa.
Kwa hapo we ni kugeuza chaga tu.
Wazazi wapo hawana hata abari na hawajawai kujua kilichokua kinaendelea mule ndani.
 
Jambo la muhimu ni kujitafakari kama Wazazi ama walezi

Kwamba tumefeli wapi hadi hali ya maadili yashuke namna hiyo.

Ukiangalia umri wa huyo binti Kwa haraka haraka hajafika miaka 26

Kwa hali hiyo, naiona hatari kubwa zaidi miaka 20 ijayo iwapo Mungu atatupatia Kibali cha kuishi

Wazazi tuna Jukumu kubwa la malezi ya watoto wetu.

Tupunguze u-busy na Vikao vya Baa ili walau tujumuike pamoja na familia japo Kwa Mlo wa Usiku

Hii itasaidia kuanza ku-notice mabadiriko ya awali ya Vijana wetu wa Kiume na Wakike

Mungu atusaidie
 
Yote sababu ya attention, šŸ¤‘šŸ’°šŸ’²šŸ’ø
 
Nimemzoom kwa nyuma mpaka mapigo ya moyo yameenda mbio wachezaji wa miguu yote wamekuwa wengi sana
Alaa kumbe umeenda kwenye page ya fb ya Alan mastory kuona iyo video, aloo Yani kama umeiangalia iyo video ulichoki-experience, hata mm nimeki experience, Yani nlivoiona nlianza kuhema juu juu sababu ya kuwaka tamaa, kama vile ni mara yangu ya kwanza kuona video za hivyo, wakati naziona kila siku kwenye smart Suleiman hussein noroh nzalendo
 
ngoja na mie nikaone nifaidi 😊
 
Ukute hana kaka, kwao ni yeye na dada zake tu halafu hana baba wa kueleweka, ujombani nako hakueleweki
 
Kwahiyo wewe ungemuomba nini?
 
-Ushamba wa mitandao na pili wapo sokoni.

Inatakiwa wablock maudhui ya ngono kama youtube walivyoblock kwa hapa TZ.
 
Maisha yamebadilika, hayo mazingira mazuri anayoishi pamoja na kula ni gharama, wazazi wanamtegemea huyo binti awape mkate.
Na chanzo pekee kinachompa kipatio ni huo mwili.
Na hii inatokana na mabadiliko ya kidunia ya kutaka hela ndio ibadilike kuwa unga, kitunguu, chumvi, mchicha n.k; wengi hatutaki kufanya kazi za uzalishaji kama; kilimo, ufugaji n.k​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…