Baadhi ya wadada wanaorusha video zao mitandaoni, huwa wana ndugu na wazazi kweli?

Kwer kabisa
 
Hiyo mbona kawaida, umewahi jiuliza wale pornstars kama wana wazazi!?

Kuna huyu Mkenya anaitwa Zaawaad anawakilisha nchi yake vizuri kabisa.
 

Attachments

  • IMG_0660.jpeg
    1.2 MB · Views: 7
Hakika ni CHANGAMOTO....pia kuna ile clip ya wale mabinti,walikuwa 6 au 7 nadhani wa Mwanza( wasikika wakisema hivyo) ,walikuwa wakipita mmoja mmoja kunako camera..yaani maneno waliokuwa wanayasema..dah ..tuzidi kumuomba Mwenyezi Mungu
Wale madg waliupiga mwingi
Wanakuambia wana penda mibaba mwembamba na mrefu mwingine anakuambia ana penda mapenzi na kunywa henny 😄
 
Kuna familia watu wote wamepinda.

Kuna group jamaa mmoja alirusha video za mdada kama huyo. Kuna jamaa mwingine akasema huyo ni ndugu yake kabisaa, mtoto wa baba yake mkubwa.

Sasa, mimi nilitegemea aombe ile video ifutwe, kwa sababu ni ya ndugu yake.

Cha kushangaza, alianza kutoa historia ya huyo binti alivyoshindikana kwao, kisha na yeye akawa kama anamuuza kwa kuwaambia wanaume wenzake, rafiki zake, kuwa wakitaka namba yake anaweza kuwapa.

Nikaona hii familia mambo valuvalu.

Things fall apart, the center cannot hold
Mere anarchy is loosed upon the world.
 
Utakuwa huna experience na malezi Kuna watoto waliokuwa wanaitwa wa gatekali lakini ndo mateja na mashoga wa sasa
Hujanielewa bado. Kuna kulea mtoto na kuna kumfungia mtoto. Vitu tofauti.
Huhitaji geti kali na mbwa ili mtoto awe na adabu.
Malezi ni mafundisho na kuna watoto wanalelewa kimasikin tena uswahilini but wamenyooka kama ruler hawafumgiwi ndani.
Naomba unielewe
 
Huwa nawazaga hili, hawa wengine wanaweza kuwa sio watu, mbona hatukutani nao mitaani?
Ukitaka kuamini angalia wanavyojiamini na kufanya ionekane kawaida binadamu wa kawaida mwenyewe common sense Kuna vitu hawezi kuvifanya kama kutega camera kujirecord anacheza akiwa uchi.
 
Hiyo mbona kawaida, umewahi jiuliza wale pornstars kama wana wazazi!?

Kuna huyu Mkenya anaitwa Zaawaad anawakilisha nchi yake vizuri kabisa.
Mchezaji ngono wa Kenya? Hana wazazi mtoto wa jamii na jamii imemkataa sasa anajazaje tumbo lake? Njia pekee aliyoiamua ni kuvitumia viungo vyake kujiingizia mkwanja
 
Madame B tunaomba mchango wako kwenye hii mada
 
Sasa mafundisho SI ndo mpaka ayaelewe na ayazingatie kama asipozingatia je wewe utakuwa huna malezi ni sawa na kusema mwalimu hakufundisha pale mwanafunzi anapofeli.

Hujawahi ona familia watoto wengine kuwa na maadili wengine kuharibikiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…