Archnemesis 2-0
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 815
- 1,558
DuhSikukaa na Ile clip Tena nilitaka niitolee Uzi hapa hapa ila nikasema huenda jamaa nae yumo humu ataniona sifai mara100 na tuna heshimiana sana. Nikaacha yule dada anatoa bana. Ni binti wa 2003-4 Hivi.
EFL CUP 🤣 lazima aoshe ni kichekesho sana city unaona Jana vi league vya mchangani hakazi wakina Chelsea lakini jamaa yenu ni kichekesho mwambieni apande kule juu🤣Tuliubonda mwingi mkuu, sasa tunaruhusiwa kuanza kashfa kwa wapinzan🤣
Kuna yule mzee kule FB kapost kucha za wanawake aliotembea nao.. Mzee kama huyu ndio wazazi wao hovyo haoUgly truth.
Maana mtoto mwenye malezi anaanzaje kupata huu ujasiri. Anautoa wapi yan kwanza!?
Kwa sisi ambao hatuna FB unatusaidia vp kiongoziHabarini,
Jana nilipita pita Facebook nikaona video moja toka kwenye ukurasa wa alli mastory mdada alijirekodi video akiuliza, akiwapa nafasi wanaume wachague chochote (zingatia neno chochote) cha kumuomba kwenye mwili wake, watamuomba kipi, akajionyesha upande wa mbele, huku akiuliza kama watamwomba mbele, halafu akageuka na kutingisha makalio yake na kuuliza au watamwomba hii (akimaanisha makalio) halafu akasema anavyojua wanaume watamuomba hii (huku akitingisha makalio).
Hapa wandewa wenye D mbili mmemuelewaje huyu binti? Wazazi na ndugu zake wakiona hiyo video watajisikiaje? Dhumuni la huyo binti kujirekodi video ya hivyo ni nini?
Hapa chini ni picha za screenshot ya hiyo video Mzee wa kupambania The only mrangi BICHWA KOMWE - nzalendo Extrovert Equation x
View attachment 3139608
View attachment 3139609
Mshabiki wa City kitoto cha alfu mbili🤣🤣EFL CUP 🤣 lazima aoshe ni kichekesho sana city unaona Jana vi league vya mchangani hakazi wakina Chelsea lakini jamaa yenu ni kichekesho mwambieni apande kule juu🤣
Bando la week.Mzigo wa huyo mdada umeuonaje,
Ni kwel usemacho. Akiyakataa mbona mzazi unajua mapema tu hapa kuna mtu au hakuna.Sasa mafundisho SI ndo mpaka ayaelewe na ayazingatie kama asipozingatia je wewe utakuwa huna malezi ni sawa na kusema mwalimu hakufundisha pale mwanafunzi anapofeli.
Hujawahi ona familia watoto wengine kuwa na maadili wengine kuharibikiwa?
You are right. Inashangaza sanaaUkitaka kuamini angalia wanavyojiamini na kufanya ionekane kawaida binadamu wa kawaida mwenyewe common sense Kuna vitu hawezi kuvifanya kama kutega camera kujirecord anacheza akiwa uchi.
Daah! Jf bwana nimecheka sanaNimepita kwenye hiyo page na mojana comment nikaona nisiiache bali niilete ni hii hapa
View attachment 3139677
Hao mnaozaa na kutelekeza hajui Baba, Hajui Mjomba na wala hana Shangazi.Habarini,
Jana nilipita pita Facebook nikaona video moja toka kwenye ukurasa wa alli mastory mdada alijirekodi video akiuliza, akiwapa nafasi wanaume wachague chochote (zingatia neno chochote) cha kumuomba kwenye mwili wake, watamuomba kipi, akajionyesha upande wa mbele, huku akiuliza kama watamwomba mbele, halafu akageuka na kutingisha makalio yake na kuuliza au watamwomba hii (akimaanisha makalio) halafu akasema anavyojua wanaume watamuomba hii (huku akitingisha makalio).
Hapa wandewa wenye D mbili mmemuelewaje huyu binti? Wazazi na ndugu zake wakiona hiyo video watajisikiaje? Dhumuni la huyo binti kujirekodi video ya hivyo ni nini?
Hapa chini ni picha za screenshot ya hiyo video Mzee wa kupambania The only mrangi BICHWA KOMWE - nzalendo Extrovert Equation x
View attachment 3139608
View attachment 3139609
Umefunga uziMwambie akaanze kumchunguza Mama yake, unapoenda kuchumbia mtu wa kwanza kumwangalia kabla hujaoa ni Mama mkwe ukiona Mama mkwe namna gani ahirisha mchakato haraka sana la sivyo jiandae watoto wako wa kike wote watakua sampuli ya Bibi yao
Baba hata akiwa Chakalamu usimzingatie sana akiwa mtu wa fegi sana usimzingatie ukimkuta ni mtu wa tungi sana usimzingatie jicho lako liangalie Mama wa mkeo yupo yupoje maana tabia zake ndio tabia za mkeo
Sahihiuko sahihi
kabla sijaokoka kuna nyumba(ubanda) tulikuwa tunakunywa gongo...huyo mama muuza ana vibinti vitano...ndio vihudumu,,,,halafu ukitaka kuondoka na kamoja unampooza maza buku 5......
Sasa vibinti vya malezi ya dizaini hii kujirekodi hivyo kwao ni jambo dogo saana
Sidhani kama hicho ndo wanachomaanisha, wanajua makalio ni kivutio cha wanaume wengi, kwaio wanatumia hio weakness kupata views.Najiuliza ukiachana na u-content creator, hao wadada wakijirekodi wanatingisha makalio yao, wanafikisha ujumbe gani kwa jamii? Mimi natafsiri kwamba wakitingisha makalio yao, wanamaanisha kuwa wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile. Numbisa Saint Topman Michael
Chelsea atajua kama anajua au hajui😂Tuliubonda mwingi mkuu, sasa tunaruhusiwa kuanza kashfa kwa wapinzan🤣
Sisi ndio mashetani wekundu mechi moja tu dunia inasimama ,🤣🤣🤣🤣Chelsea atajua kama anajua au hajui😂
Ukitaka mke chunguza kwanza mama yakeHawa huiga toka kwa hao wazazi wao.. Wazazi wa hovyo hukuza watoto wa hovyo