Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Status
Not open for further replies.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
they say, when the deal is too good, think twice..!!

Ila wanaume baadhi yenu mnahadaika kirahisi mno, na mtapigwa sana humu ndani walaqhi' nawaambia, humu midume jike imejaa inabadili tu mwandiko na namna ya kucheka, na mkiona misambwanda kwenye avatar mnajazana piemu kama maandazi..!!
 
Matusi haya binti..sio wote tunapenda matacco makubwa ujue
 
Alafu alivyo mshamba bado ana tumia mbinu za kizamani cjawahi ona
 
""""" Inabadili tu mwandiko na namna ya kucheka"""" duuuh wanachekaje πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
sasa wataliwa siku moja πŸ˜…πŸ˜… wengine hawana mchezo mchezom .. kidume kujifanya mwanamke rinda lipo tayari kutumika hilo
Waache tu maan utaanza kubehave kam mtot wa kike na utakua ushazoea vya bure wahuni watawavunjia yai donati hilo waache walete tamaa tu
 
Kushakuchaaa kitrambooo πŸ˜‚πŸ˜‚!

Ni pm na hekaheka zakeeeee khakhakhaaaa.... Nacheka kama mazuri vilee!!
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£, nilishawaandikia thread kabisa tatizo hawafuati miongozo ya humu ndani πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜†πŸ˜†
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…