KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Inawezekana hata ameshaanza kumla au hapo ndio siku hiyo ametoka kumla...kwa hiyo kwenye kusherehesha maongezi ndio ikawa hivyoKwa wale mnaotaka kujua hii conversation ilikuaje;
Me: "...hahaaa ivi unajua ww una vituko sana?"
Ke: "vituko gan ss bby"
Me: "we kwann ulinikazia sana kule mwanzoni?"
(Hapa weka hiyo msg kwenye uzi)
Me: "ahaa sawaa.. ujue nilianza kuhisi labda unataka kunichinjia baharini!"
Ke: "amnaa.. ilikua ni lazima niweke mazingira vizuri kwanza jamaa asije akashtuka"
Me: "hapo sawa, nimekuelewa. Kwahiyo lini tena tunaonana? "
Ke: "ngoja tuone weekend hii"
Me: "ok"
Ke: "jamaa amerudi, usitume tena msg. Bye"
Me:
Jamaa alishamla demu maana si umeambiwa ni x wake? Ni kwamba tu wakati wa ndoa alimkazia kdg ila sasaivi ameanza kuachia tena so jamaa anendelea kupiga kama kawaida..Inawezekana hata ameshaanza kumla au hapo ndio siku hiyo ametoka kumla...kwa hiyo kwenye kusherehesha maongezi ndio ikawa hivyo
Dah!!Jamaa alishamla demu maana si umeambiwa ni x wake? Ni kwamba tu wakati wa ndoa alimkazia kdg ila sasaivi ameanza kuachia tena so jamaa anendelea kupiga kama kawaida..
Muwe wapoleTunawekeza hisia,maono,mali,akili , dedication kwenu tukiamini mtakua backup in time tukiwahitaji coz maisha ni milima na mabonde!
Sasa mkishaona njia imenyooka,ukinzani haupo mmejipata!tukiwa kwenye crisis yaani pale tunapowahitaji walau mfanye lile agizo la mungu kwenu la msaidizi!
Sasa hapo ndio Adhabu mnatupa ya UBINAFSI Wenu dhahiri shahiri!unafikiri Nini tufanye!!?
Soda sio binadamu kwani wewe nawe si unakuwa nguvu zako zimeisha kwa wanawake wengine?Wewe ukifika dukani utakuwa na Imani na soda uliyokuta mtu kanywa kabakisha au utachukua soda mpya....??
Kisa wewe unayo unamtafuta wakukutoaKama huna bikira tulia usisumbue watu huko kaolewe uliko bikiliwa
Hapana anachomaanisha huyo mwanamke alikuwa anamzuga boya ili again trust baada ya hapo kitombo kiendelee kama kawa, kiufupi ndugu yetu kaoa malay*.Kwa nilivyoelewa hio sms ni kwamba mke alimtolea nje EX wake kipindi ndoa yenu ikiwa changa, ila kwa sasa sijajua kama ndio ameanza kumpa mbunye au la. Mwendelezo wa chat ndio utaonesha kwamba kashaliwa au bado. Ungetuma zote ili tukupe tafsiri halisi.
Cha ajabu nini hapo? Kamahujakuta bikra ujue umeoa mke wa watu. Ukitaka mwache na wewe uwe X wake umgongee àtakàyemuoa.Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri?
Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua.
Na hiki ndicho nilichokikuta.
Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari.alikua anachat na ex wake hapo,kuna mengi nimeyaona kwenye chatting zao lkn hili limenishangaza.
Naomba mnipe busara zenu ebu
Mkuu njoo huku nikushauri kabla ya kuishangaza dunia ILI USIISHANGAZE ASHANGAE HUYOO ASIYE ELEWA MAANA HALISI YA NDOAHivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri?
Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua.
Na hiki ndicho nilichokikuta.
Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari.alikua anachat na ex wake hapo,kuna mengi nimeyaona kwenye chatting zao lkn hili limenishangaza.
Naomba mnipe busara zenu ebu
Kama hukumkuta bikra, unahisi akifanya sasa hivi, kipi kitabadilika?Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri?
Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua.
Na hiki ndicho nilichokikuta.
Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari.alikua anachat na ex wake hapo,kuna mengi nimeyaona kwenye chatting zao lkn hili limenishangaza.
Naomba mnipe busara zenu ebu
Mwanamke malaya ni wa mwanaume malaya na mwanaume malaya ni wa mwanamke malayaVipi kuhusu wewe kufungua zipu yako ovyo? Ukileta magonjwa hapa ngoma droo unafungua zipu uko kwingine na mimi navua uku tena na rafiki yako
Mwanamke asiyekuwa bikra ukimuoa ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa.....ukiinywa uombe Mungu tu aliyetangulia kunywa asiache sumuSoda sio binadamu kwani wewe nawe si unakuwa nguvu zako zimeisha kwa wanawake wengine?
Kwahio uNataka na mwenzako awe na watoto nje ya ndoa kama ww mkuuUsimfanye chochote kwa sababu unaweza kuishia jela, mwambie tu meseji yako nimeiona, wala usibishane naye sana. ''inaonekana walishakulana''
Kiufupi, tafuta mchepuko nje mpe ujauzito maisha yasogee.
Swali kama hili ni sawa na kusema kisa mzazi wako alikuwa masiki hivyo na wewe lazima ufe masikiniUjajibu swali mama yako alifunga ndoa na bikra?
Akaharibu tena mtoto wa watu na kumfanya mzinzi kwasababu ya mkewe?Usimfanye chochote kwa sababu unaweza kuishia jela, mwambie tu meseji yako nimeiona, wala usibishane naye sana. ''inaonekana walishakulana''
Kiufupi, tafuta mchepuko nje mpe ujauzito maisha yasogee.