Baba adaiwa kumuuza mtoto, asafirishwa kwenda Canada, mama abaki analia akizunguka kuomba msaada


Ndugu mimi nikiwa na langu naweza kukaa hata miaka 10 kulea kitu,Kingine why amruke mama mzazi wa mtoto?hawa wamanazetu wanapitia mazito kwenye kulea mimba hadi kuzaa.
 
Ukipenda boga penda na ua lake huwezi kumpenda mtoto umchukue kiujanja bila ridhaa ya aliyomleta duniani hapo hakuna love sema, just pure selfish imemfanya asijali hisia za mama mzazi kisa haijui labor

Kashindwa hata kuwaachia hata nyumba au chumba baba mtu akae au mama mtu,Upendo gan huo
 
Angekuwa ana nia ya kusaidia wenye uhitaji basi angetafuta watoto yatima wanaoteseka mitaani, ila kwa kumpoint mtoto mwenye baba na mama hapo ndo tunapotilia mashaka lengo lake
Huwezi kumpangia mtu utashi, yeye siyo wa kwanza wala wa mwisho kuadapt mtoto ambaye siyo yatima, ni vile tu wengi hamyajui haya, uliza historia ya Utajili aliorithi Alex Kajumuro Marekani miaka hiyo enzi za Kajumuro world soccer.

Tena Watanzania wengi wamechukuliwa vijijini na kuletwa mjini na kulelewa na ndugu na kusomeshwa lakini hawakutaa ili wabaki vijijini na Wazazi wasuguwe dhiki vizuri.
 
Kama labor ingekuwa na thamani kiasi hicho basi kusingekuwa na watoto wa mitaani na watoto kutupwa
Ni sawa na kusema kama pesa ingekuwa tamu kweli basi kusingekuwa na maskini.
Wanaotupa au kutelekeza watoto hizo ni roho zao na wana sababu zao ndio maana hawawatafuti.
Soma heading mama wa watu analia ili mwanae arejeshwe, hivyo sio sawa kumfananisha na hao malaya mnaowazalisha kwa tamaa zao na kuwatelekeza
 
Ukipenda boga penda na ua lake huwezi kumpenda mtoto umchukue kiujanja bila ridhaa ya aliyomleta duniani hapo hakuna love sema, just pure selfish imemfanya asijali hisia za mama mzazi kisa haijui labor
Huyo Mama atakuja kumshukuru Mhindi kwa baadae, kuna Watanzania wamepata fursa za kuishi nje just for this kind of love.

Nenda kule uchagani uone jinsi watoto wengi wameenda Nje kwa njia hii, Wazazi wanaelewa kabisa hizi senario, huko Mwanza bado tongotongo nyingi
 
Utajiri ndo nini wewe, Utajiri ni roho tu kama unayo we tajiri tayari kama huna hata urithishwe na Mark Zuckerberg utabaki kuwa maskini tu
Ndo maana mdau hapo juu kakwambia ukiahidiwa mpunga mrefu hata tackle utatoa kama hujali hisia zako juu ya mtoto na hisia za mtoto kuishi mbali na wazazi tackle kitu gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…