Una watoto wangapi?
Wote hatuwezi tukawa watoto wa kuendeleza empires na babu mzaa babu wa Mo angekuwa na mawazo ya kwanini asiachiwe vitu huenda hata hio Metl isingekuwa Wazo / Idea...Mzazi wa mo dewji angekuw na fikra za aina hii, sidhani metl group ingekuwapo leo
πKwa upande wake yupo sahihiM
Huwezi kumpangia mzee wako matumizi ya mali yake.
Hapo hakuna namna kikubwa tafuta mali yako mwenyewe
Mzee yupo sahihi kabisa.
min -me
secretarybird
Monetary doctor
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
Vaa CondomWote hatuwezi tukawa watoto wa kuendeleza empires na babu mzaa babu wa Mo angekuwa na mawazo ya kwanini asiachiwe vitu huenda hata hio Metl isingekuwa Wazo / Idea...
Hilo ni moja na mbili enzi za Mom and Pope Business au Biashara za vizazi na vizazi inakwenda kupotea na imebakia kwa wahindi na wajapan sasa hivi big businesses ni Corporations and PLC's wote kina Adidas na kina PUMA sio family owned tena na hata kina TATA kuna wadau wengi ambao sio Tata family..., Nyie ndio wale mnalazimisha watoto wenu wafuate mnachopenda nyie au kuendeleza mnachotaka nyie na sio wanachotaka wao
To each their Own...
Hamna mahali nalazimisha mtoto afuate ninachopenda, tajiri number 1 india, ule ni utajiri wa familia.Wote hatuwezi tukawa watoto wa kuendeleza empires na babu mzaa babu wa Mo angekuwa na mawazo ya kwanini asiachiwe vitu huenda hata hio Metl isingekuwa Wazo / Idea...
Hilo ni moja na mbili enzi za Mom and Pope Business au Biashara za vizazi na vizazi inakwenda kupotea na imebakia kwa wahindi na wajapan sasa hivi big businesses ni Corporations and PLC's wote kina Adidas na kina PUMA sio family owned tena na hata kina TATA kuna wadau wengi ambao sio Tata family..., Nyie ndio wale mnalazimisha watoto wenu wafuate mnachopenda nyie au kuendeleza mnachotaka nyie na sio wanachotaka wao
Tafuta zako acha kusubiri kupewa.Mzee wa namna hiyo ni wakumyonga tu ...ashukuru aja zaa mtu kama mimi huyo angepelekwa kibra bila shuruti.
Hiyo ni bibilia yenu sisi kobazi haituhusuurithi ni haki ya mtoto hata bibilia imesisitiza nyumba na mali mtoto anapaswa apewe na baba yake
pia bibilia imesisitiza ni lazima baba aache urithi kwa wanawe
Tafuta mali zako mzee yupo sahihi kabisa.
Matoto Kama wewe ni hasara mnapenda vya urithi TAFUTA MALI ZAKO KAMA NI RAHISI.
NB. KUNA MTOTO WA BA MKUBWA BAADA YA MZEE KUFARIKI WAMEUZA ASSET ZAKE ZOTEEE NOW WAPO MAHAKAMANI KUDAI MIRATHI.
Allah Akbarje ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee akiitoa nyumba yake yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.
Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake
View attachment 3379922
Soma uislamu sio kukurupuka hata afanyaje watoto watapata urithi na waqfi unakuwa kama third party ..Katika uislamu urithi ni lazima ,kama yuko hai hamna urithi siku akifa watapata acha tu aropoke hapo.
Mkuu jukumu la mzaz baada y kukuzaa ni kukuhudumia mahitaj yote kuanzia chakula, malazi, mavazi na haki za kimsingi ikiwemo shule n.k, mpka utakapotimiza umri wa wewe kujitegemea (kua au kuolewa). Baada y hpo huna lawama tena kwake, n jukumu lko naww kujitafutia vyako na sio kuangalia tena vyake na mkewe.
Km utakuwa hvyo bc ww n mvivu wa kifikra, mnashindwa hata na wanyama na ndege?, angalien life style ya hao viumbe hlfu ujiangalie wew unaetegemea kumtegemea mzazi wko kukuhudumia had mwisho wa maisha
Mahitaji ya msingi kwa binadamu uliyoorodheaha hapo siyo urithi.Mkuu jukumu la mzaz baada y kukuzaa ni kukuhudumia mahitaj yote kuanzia chakula, malazi, mavazi na haki za kimsingi ikiwemo shule n.k, mpka utakapotimiza umri wa wewe kujitegemea (kua au kuolewa). Baada y hpo huna lawama tena kwake, n jukumu lko naww kujitafutia vyako na sio kuangalia tena vyake na mkewe.
Km utakuwa hvyo bc ww n mvivu wa kifikra, mnashindwa hata na wanyama na ndege?, angalien life style ya hao viumbe hlfu ujiangalie wew unaetegemea kumtegemea mzazi wko kukuhudumia had mwisho wa maisha yko.
ahera inatafutwaje ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?