Mali zinaweza (na actually inatakiwa) zigawiwe mgawaji akiwa hai, ana akili timamu na anajua anachofanya.Urithi wa nini na bado hajafariki
Ana miaka 97. Means hiyo ardhi kaipata enzi hizo watu tunaishi maisha ya hunters and gatherers.Kama baba yao aliweza kutafuta kwann na wao wasitafute waje wanunue ardhi kariakoo
Wataachaje kupokea..wanachekelea hapo walipo mana wanajua ni bingo.hiyoPia viongozi wa msikiti waliokubali kuipokea hiyo nyumba ni wajinga, wapumbavu na wasio na huruma.
Inatakiwa na naniMali zinaweza (na actually inatakiwa) zigawiwe mgawaji akiwa hai, ana akili timamu na anajua anachofanya.
Akifa ni kufinalize tu
Nimemuelewa mdau anasema wakiwa mafala mana yake wakiwa wajinga labda Wana tabia mbovu walevi wazinzi hawana akili ya kuamua mambo ya msingi ndio hatowapa., ila wakiwa tofaut na hapo atawapa...na ndivyo inavyopaswa kua ..unamuacha mtoto wako Hana shida yoyote na amesoma vizuri au hata kama hajasoma Hadi madigirii ila ni mtu ana akili ya maisha, unamuacha anateseka mtaani wewe unagawa mali kama karanga kwa watu Baki..ni upumbavu.Hiyo ni roho mbaya inayotusumbua waafrika ndio maana generational wealth inakuwa ngumu kwetu kwa roho kama zako, unaacha watoto wako wanadhalilika kama hawakuwa na mzazi, umaskini ni mbaya sana
Mzee kama unasubiri ufe ndio ugawe mali zako au ukiwa mahututi kwenye hospital bed bas kila la heri...Inatakiwa na nani
Ila dini inatuibia waafrika.Wataachaje kupokea..wanachekelea hapo walipo mana wanajua ni bingo.hiyo
Una shida mahali? Kama ndiyo kua specific shida ni ipi ili nione kama naweza kusaidia.Inatakiwa na nani
Kama baba yao aliweza kutafuta kwann na wao wasitafute waje wanunue ardhi kariakoo
Waende mahakamami, wakadeclare mental incapacitation ya baba yao, hana uwezo wa kuamua sababu ya kudorora kwa afya ya akilije ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.
Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake
Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria
View attachment 3379922
Watoto wanaonea aibu msikiti uliopewa zawadi hiyo utawachukia na kuwaona hawapendi dini yao. Pia baba yao atawachukia kuona hawampendi Allah bali wanapenda maliWaende mahakamami, wakadeclare mental incapacitation ya baba yao, hana uwezo wa kuamua sababu ya kudorora kwa afya ya akili
Lakini si aliingia gharama kufyekaHata Baba yao pia hapo kariakoo ni hajainunua. Zamani ardhi ilikuwa unaipata kwa kuwahi tu na kufyeka na kujenga
Hata wao waende porini wakafyeke ardhi kesho itakuwa mjiAna miaka 97. Means hiyo ardhi kaipata enzi hizo watu tunaishi maisha ya hunters and gatherers.
Acha kuandika kujifurahisha
NakaziaMzee wa namna hiyo ni wakumyonga tu
Ndiyo maana nakwambia kuna wosia na urithi. Huwezi kimrithi mtu akiwa haiMzee kama unasubiri ufe ndio ugawe mali zako au ukiwa mahututi kwenye hospital bed bas kila la heri...