Dini ni utaperi mkubwa sana, watu weusi wenye akili ndogo ndo wanafanya hivyo.je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.
Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake
Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria
View attachment 3379922
Tafuta mali zako mzee yupo sahihi kabisa.
Matoto Kama wewe ni hasara mnapenda vya urithi TAFUTA MALI ZAKO KAMA NI RAHISI.
NB. KUNA MTOTO WA BA MKUBWA BAADA YA MZEE KUFARIKI WAMEUZA ASSET ZAKE ZOTEEE NOW WAPO MAHAKAMANI KUDAI MIRATHI.
Ukiwa mfia dini ni lazima uwe na matatizo ya akili
Hizo ndo akili za wamatumbi kila kizazi kinaanza mwanzo. MO, GSM, ASAS wangekuwa na akili kama zenu nao wangeishia kuuza nguo na viatu kwenye frames tu. Huwezi kufikia utajiri wao in one generation. Endeleeni na akili hizo hizo.
Nachukiaga sana binadamu mwenye nguvu zako huna ulemavu, akili timamu kuanza kugombea mali za urithi.
Kwann usitafute zako?, umekuja dunian kuwa tegemezi?, yaan mzee wawatu kaamua zake atumie jasho lake kujitolea kwaajili ya dini yake (sadaka yenye kuendelea) ila mitoto utakuta imefuga vitambi na misuli inagombea mali za mzee wao ambazo muda huo utakuta mzee alishatimiza wajibu wake wa kuwalea, kuwalisha, kuwasomesha n.k. ila bado wanampangia matumizi ya mali zake😡
Tafuta mali zako mzee yupo sahihi kabisa.
Matoto Kama wewe ni hasara mnapenda vya urithi TAFUTA MALI ZAKO KAMA NI RAHISI.
NB. KUNA MTOTO WA BA MKUBWA BAADA YA MZEE KUFARIKI WAMEUZA ASSET ZAKE ZOTEEE NOW WAPO MAHAKAMANI KUDAI MIRATHI.
Mzee kaona mbali.Nimecheka vijana wa sasa hawataki shida wanapenda kubeti vitu simple mzee ana akili kuna watoto ukiwaachia mali ujue ni tatizo
Unadhani mzee angeona watoto wake ni potential angefanya kugawa bureee kwa msikiti??Hizo ndo akili za wamatumbi kila kizazi kinaanza mwanzo. MO, GSM, ASAS wangekuwa na akili kama zenu nao wangeishia kuuza nguo na viatu kwenye frames tu. Huwezi kufikia utajiri wao in one generation. Endeleeni na akili hizo hizo.
Ukiwa mfia dini ni lazima uwe na matatizo ya akili
Dini huwa inatabia moja, huwa ina brainwash muhusika haswa akizingatia sana
Ina brainwash mtu na kuondoa logic reasoning mpaka anakuwa mjinga au anapoteza uwezo wa kuwaza na kutafakari
hayo maneno mawili yanaenda kwa pamoja
Si ndio ushangae ukafaidishe mashekhe na familia zao watoto wako na wajukuu zako wapo hohehahe kisa unaamin sijui utaenda pepon halaf kwa umri huo huyo mzee akili sio zake bana
Ujinga wa kiimani.
Dini did numbers on miafrika.
Dini ni utaperi mkubwa sana, watu weusi wenye akili ndogo ndo wanafanya hivyo.
Itakuwa walimsomea kisomo wakampumbaza! Sio bure hii kitu ayseePia viongozi wa msikiti waliokubali kuipokea hiyo nyumba ni wajinga, wapumbavu na wasio na huruma.
Kwenye uislamu haifai kutoa mali yako yote wakfu na kuwaacha warithi wako bila kitu, na ndio maana hata wasia haupaswi kuzidi theluthi ya mali ya mtu, kama ndio mali yake ya pekee basi amekosea na huo wakfu sio sahihi.
Umemezeshwa ujinga na waarabu mpaka unawakana watoto wako ili umzawadie mwaarabu mali zako zote
Nikiangalia body language ya huyo mwanae naona anaongea kwa uchungu fulani ambao hajaudhihirisha.Kiukweli mimi nashangaa hawa wanaoitukana Dini (Uislam) kwa sababu ya hili. Uislam ni Dini yenye utaratibu katika kila kitu kwenye maisha.
Sahihi kabisa.Kwenye uislamu haifai kutoa mali yako yote wakfu na kuwaacha warithi wako bila kitu, na ndio maana hata wasia haupaswi kuzidi theluthi ya mali ya mtu, kama ndio mali yake ya pekee basi amekosea na huo wakfu sio sahihi.