Mali yake anaamua aifanyie nini.je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee akiitoa nyumba yake yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.
Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake
View attachment 3379922
Fool & idiot.Wewe una mtoto kwanza? Nisije nikawa najadiri jambo na mtoto ambae hata hajui mtoto mpaka kufika duniani ana gharama gani, km huna hata mtoto mmoja emu tuishie hapa maana huijui gharama ya mtoto
Tusipangie watu matumizi ya mali zao.Hapo kuna shidd mzazi bora ni yule anayemuachia urithi mtoto wake, hapo napingana na huyo mzee, unaacha watoto waanze moja thats very wrong
At least umenikosha sasa.Slogan yangu ni kuwawezesha wanangu kuwa shape waweze kuyatawala mazingira yao kwanza nawapa elimu Bora.
Mtoto wangu siwalei kuanza kuangalia mali zangu ili arithi hapana kwanza Mimi nalea mtoto wangu asiwaze kurithi chochote kwangu ili akija kurithi asije kua Kama haya matoto yanayo ona mali za mzee wake ni wajibu kugawiwa.
Mzee tafuta vya kwako wafundishe wanao watafute vyao
WAHENGA HUSEMA MAREHEMU HUFA NA VYAKE PIGANA UTAFUTE VYAKO.
Cc. stow awayNyumba yake, ana haki ya kufanya chochote anachokitaka. Watoto wakatafute nyumba zao kwenye prime area. Urithi sio haki. Nimewazaa, nimewasomesha, mmekua, tafuteni zenu.
cha kuwapangia watu wewe Acha kuwa na mdomo mdomoHii ni shida..
Si angeliuza ama kuingia mkataba na wenye hela then angeenda kutafuta eneo lingine nje ya kariakoo
Mzazi wa mo dewji angekuw na fikra za aina hii, sidhani metl group ingekuwapo leoHakuwasomesha na kuwapa chakula mpaka pale mlipoweza kujitegemea ? Kwani yeye Babu yake alimuachia nini tuanzie hapo kwanza ?
Tutofautisha Obligation (wajibu) na uamuzi / maamuzi ; By the way kitendo cha hawa kumpeleka mahakamani inaonyesha ni jinsi gani they don't deserve hata sumni ya huyu mzee...
Ndo maana kwenye comments zangu nimesema "angekuwa" baba yangu.Usiwapangie watu mkuu si wametufa wao?
Cc. stow awayMali yake anaamua aifanyie nini.
Si kila mtu anaamini katika generational wealth. Wengine wanaamini kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Kwa nini unalazimisha kila mtu aamini katika generational wealth?
Hao watoto wake wewe ndiye unawajua kuliko yeye?
Unaelewa kuwa kuna watu wanaona generational wealth inaleta tatizo la inequality walio nacho wanazidi kuwa nacho na wasio nacho wanazidi kutokuwa nacho, na njia ya kumaliza tatizo hilo ni kuondoa habari za urithi wa mali?
Wapi imeandikwa ikiwa na watoto lazima uwape urithi?Yeye kama hakupewa chochote basi baba yake anamakosa. Kama hataki kuwapa urithi watoto kwani aliwazaa? Nani alimwambia ajamiiane kwa raha zake na kuwazaa watoto ambao hataki kuwahudumia?
Umalaya uachwe kama ni hivyo?
Unamponda ana elimu ya la saba,wewe na elimu kubwa una mali Gani?Mzee ana elimu ya duniya ya darasa la 7 anajua nini. Muone na kobazi lake
Kila mtu atafute chakeee🤓Ulitumwa kuwazaa kama sio ujinga ,katika uislamu urithi ni lazima hata kama uliwafukuza na kuwakataa watoto wako ..Ngoja ufe utajua .🤣
Sorry hapo kwa billgate i beg to differ, yes kuna kiasi atamuachia mwanae na si kweli eti everything atagawa ,check your facts kwanzaBill Gates anagawa mali zake zote. Hamuachii mtoto yeyote urithi. Anataka watumie privilege walizopata kusimama wenyewe.
Ni mtazamo tu wa mtu na mtu. Mzee ameona kujenga taasisi kuna faida zaidi. Anaweza kuwa sahihi kwa namna nyingi tu. Hiyo taasisi inaweza kuwa chanzo cha ajira na elimu kwa watu wengi sana pamoja na watoto na wajukuu wake. Imagine mtu aliyejitolea ardhi yake kujenga Muhimbili Hospital. Wote tunanufaika sasa hivi.
Kwahiyo mzee sio mbinafsi. Wabinafsi ni wale wanaotaka wapewe wao mali.
Kwani kachuma yeye au watoto? Kafanya jambo la maana kwa akhera yakeje ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee akiitoa nyumba yake yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.
Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake
View attachment 3379922
Una watoto wangapi wewe?
Unazani ningekuwa nime zaliwa enzi zake ningekua nashangaa wazungu kama wewe .heshimu mdaUnamponda ana elimu ya la saba,wewe na elimu kubwa una mali Gani?
Heshimu hata kama si ndugu Yako