Baba mkwe hataki nimrudishe mwanae anasema atamkanya kwa mara ya nyingine

Mkuu hainihusu vip wakati nilienda kumchukua mwenyewe? Sasa akitokea hajafika nyumbani nani atawajibishwa? yani unafikiri mzee wake akisema tunamtaka mtoto wetu kama ambavyo tumekukabidhi utasema nini mbele ya kizimba?
 
Vip ukamtoa kimya kimya akashukia njiani? unawajua vizuri watoto wa kike?
Hayupo kwako tena, kwani ni mtoto wa miaka 10? Ndo maana wanawasumbua sana kwa kutokujua basics kama hizi, unamtoa huku unalia rohoni??
 
Kosa kubwa la kumrudisha m/ke kwao ni kucheat tu hayo mengine ni rahisi sana kuya-solve ,dawa ya kiburi ni jeuri au dawa ya bishoo kuwa bishoo zaidi yake ,dawa ya moto ni moto ,badili lyf style yako naye atabadilika na kuanza kukutiii....inaonekana haumjali kwenye mahitaji yake.
 
we unawaza mahitaji wakati mi nahisi kuwajibika kwangu kumpa mahitaji yake yote huenda ikawa chanzo cha kuniona boya
 
Piga paume vizuri atakuogopa na taratiiibu ataanza kukuheshimu
 
Hayupo kwako tena, kwani ni mtoto wa miaka 10? Ndo maana wanawasumbua sana kwa kutokujua basics kama hizi, unamtoa huku unalia rohoni??
akiwa amefika salama siwezi umia rohoni mkuu kesi za wanawake kule kotini huchomoki hapa ndipo ilipo hofu yangu hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…