Jifanyie vetting na wewe huenda unamapungufu ukigundua unayo jaribu kujirekebisha huenda nae atabadirikaSasa nimekuelewa. kinachoboa huyu walimpointi wazazi yaani vetting ilifanyika kule nyumbani maana nilikua nishawazila kabisa wanawake.
Naandika kwa erufi kubwa labda utaelewa! WEWE UNAMSUMBUA BABA/MAMA WA MKE WAKO KWA LIPI KWA MFANO? WAKATI UNAMTAFUTA ULIKUWA NA AKILI TIMAMU? UMEISHAMCHAKATA SIJUI UMEISHAMZALISHA NA KUBADILI UTAMBULISHO WAKE ANAJULIKANA MKE WA MTU! UTAMRUDISHAJE KWAO? KWA KIFUNGU KIPI CHA SHERIA, MILA HIPI NA DESTURI HIPI AU DINI HIPI? HUYO WA KWAKO PAMBANA NAYE! UKIMUUA AU KUMDHURU JELA INAKUHUSU! NDO MAANA TUNAWAAMBIA VIJANA KABLA UJACHUKUA BINTI WA MTU UWE UMEKOMAA KIAKILI, KIUCHUMI, NA KIBUSARA! nipo onlineHivi ni kwanini? wanasema busara ni kumrudisha mtoto wa wenyewe kwa wazazi endapo unaona hakidhi vigezo ikiwemo ukosefu wa utiifu. Sasa Leo nimepiga simu mzazi kasema hapana ataongea nae kwa mara nyingine tena nimpe nafasi nyingine.
Siku za hapo nyuma mara 3 hivi nimeripoti kuhusu vitendo vya uvunjifu wa nidhamu ili aonywe na ilifanyika hivyo ila Leo simu ilikua ya tofauti kidogo nimeomba arudi akaonywe kule physically.
Hawa wanawake, kuna muda unapaswa uwe tu kama yule rais wa Ufiilipino iwapo utadakwa na madawa ya kulevya.
Tabia zangu zinavumilika ila zake hazivumiliki na bado ninahitaji kuwa nae akiwa mwenye tabia nzuri.Ikishindikana ndo umuache aende zake. Yeye amekupa onyo mara ngapi kuhusu tabia zako na haubadiliki?
Integemea hakusikilizi katika nyanja gani.Mtu hakusikilizi kabisa na hakutii wewe Mume unaishije naye?
Hapo kuna siku atakwambia kwanza mke mwenyewe ulitafutiwaSasa nimekuelewa. kinachoboa huyu walimpointi wazazi yaani vetting ilifanyika kule nyumbani maana nilikua nishawazila kabisa wanawake.
Katika nyanja positives in lifeIntegemea hakusikilizi katika nyanja gani.
Utiifu unarekebika, kucheat hakuna mbadala jombi.mzee ukosefu wa utiifu huenda ikawa ni zaidi ya kucheat
Huo ni ubinafsi. Vumilia na tabia zake. Ndoa inatakiwa hivyoTabia zangu zinavumilika ila zake hazivumiliki na bado ninahitaji kuwa nae akiwa mwenye tabia nzuri.
Labda tukiongeza na huu usasa tuliopo ndio tuta ishi hivyo ila tukirudi kwenye asili yetu ya mfumo dume hapa hamtoboi. Sema ndio tunaishi na wanaharakati😅Huo ni ubinafsi. Vumilia na tabia zake. Ndoa inatakiwa hivyo
Wanaokubali mfumo dume wapo na hawalalamiki ulipaswa kuchagua haoLabda tukiongeza na huu usasa tuliopo ndio tuta ishi hivyo ila tukirudi kwenye asili yetu ya mfumo dume hapa hamtoboi. Sema ndio tunaishi na wanaharakati😅
Nitajuaje Demi kwamfano anakubali mfumo dume😃Wanaokubali mfumo dume wapo na hawalalamiki ulipaswa kuchagua hao
Ongea nae kwanza kabla hujamuona. Mchunguze kabla hujamuoa utagunduaNitajuaje Demi kwamfano anakubali mfumo dume😃
Wewe umeoa? ukijibu nitarudi badaeNaandika kwa erufi kubwa labda utaelewa! WEWE UNAMSUMBUA BABA/MAMA WA MKE WAKO KWA LIPI KWA MFANO? WAKATI UNAMTAFUTA ULIKUWA NA AKILI TIMAMU? UMEISHAMCHAKATA SIJUI UMEISHAMZALISHA NA KUBADILI UTAMBULISHO WAKE ANAJULIKANA MKE WA MTU! UTAMRUDISHAJE KWAO? KWA KIFUNGU KIPI CHA SHERIA, MILA HIPI NA DESTURI HIPI AU DINI HIPI? HUYO WA KWAKO PAMBANA NAYE! UKIMUUA AU KUMDHURU JELA INAKUHUSU! NDO MAANA TUNAWAAMBIA VIJANA KABLA UJACHUKUA BINTI WA MTU UWE UMEKOMAA KIAKILI, KIUCHUMI, NA KIBUSARA! nipo online
Mkuu unaweza dhani tupo wote hapa maskaniKatika nyanja positives in life
Kwa mfano :-
- Wewe unaamua hivi, na yeye anaamua vingine
- Wewe unaagiza hivi yeye anafanya vile
- Wewe unakataza hiki, yeye anakifanya
kila ufanyalo mkuu lazima useto kuchambua side effects za ufanyalo.kuna maamuzi hua hayahitaji taarifa au ushairi, so long as umemshirikisha mkweo ndio mana kaona haupo serious na maamuzi yako. Siku nyingine aone actions ndio atakuelewa.
udhaifu wangu labda nipo fea sana ko akapata advantage kua ananimuduUtiifu unarekebika, kucheat hakuna mbadala jombi.
Ukichapiwa ni umechapiwa imeisha hiyo, na uchepukaji kwa mwanamke mpumbavu ndio kunaleta hayo ya ukosefu wa adabu.
Lakini kabla ya yote na wewe jichunguze.
Labda niachane na mfumo wa kua too fea and politeJifanyie vetting na wewe huenda unamapungufu ukigundua unayo jaribu kujirekebisha huenda nae atabadirika
Naelewa sana hali hiyo unayopitiaMkuu unaweza dhani tupo wote hapa maskani
Hivi ni kwanini? wanasema busara ni kumrudisha mtoto wa wenyewe kwa wazazi endapo unaona hakidhi vigezo ikiwemo ukosefu wa utiifu. Sasa Leo nimepiga simu mzazi kasema hapana ataongea nae kwa mara nyingine tena nimpe nafasi nyingine.
Siku za hapo nyuma mara 3 hivi nimeripoti kuhusu vitendo vya uvunjifu wa nidhamu ili aonywe na ilifanyika hivyo ila Leo simu ilikua ya tofauti kidogo nimeomba arudi akaonywe kule physically.
Hawa wanawake, kuna muda unapaswa uwe tu kama yule rais wa Ufiilipino iwapo utadakwa na madawa ya kulevya.