Baba mzazi hataki binti yake aolewe

Ww umeongelea kwa upande wa dini yako
Kumbe unajua kwamba ndoa sio general issue bali kila dini ina utaratibu wake na pia serikali ina sheria yake. So ndoa kwa ujumla ni mapatano kati ya mwanaume na mwanamke, ni umoja waliokubali kuuanzisha bila kushurutishwa na mtu, yaliyobaki ni mila, desturi na imani husika ndio itaamua ndoa inatakiwa iwe na nini na nini. Kikubwa huyo binti (mama) hana sababu ya kuomba ridhaa ya mzee wake ili aolewe kwa sababu sio bikira na wala sheria haimlazimishi.
 
Najifunza ila pale pasipo elewaka tunaeleweshana km ivyo

Mzazi hawezi kuzuia ndoa Kama Hana sababu ya Msingi. Yaani Kwa matakwa yake tuu.

Sheria inazingatia haki na uhuru wa kila mtu ikiwa ni pamoja ya haki ya kuchagua mwenza mnayependana pasipo kuingiliwa.

Baba au Mama haki yake ni kupewa taarifa tuu na wala sio kutoa ruhusa.
Huyo sio mtoto mdogo mpaka apewe ruhusa.
 
Iyo ndoa haitakuwa na maana kwa Sababu Kama wazazi wapo why usiwape tararifa means their don't have right to know or to participate or?

😀😀😀

Taarifa haifanyi ndoa isiwe ya maana, mambo yanayovunja ndoa ndio mambo hatohayo yanayoweza kufanya ndoa isifungwe.
Sasa nenda kwenye Sheria uangalie nu mambo gani yanayoweza kufanya ndoa ikavunjwa uone Kama Wazazi wapo?
 
But it's very important to understand first type of marriage which are traditional marriage in this type there are procedure due to the culture, religion marriage also there are procedure due to the religious
Government marriage also so you can't use the one procedure of marriage due to the one type of marriage you should specify procedure which all are used
 
I agree about that, that why I said that if parents having logic reason repeat again
 
I agree about that, that why I said that if parents having logic reason repeat again


Lakini taarifa sio ruhusa jaribu kuelewa Hilo.

Mtoto akishakua mkubwa anayohiyari ya kuamua kuwasikiliza wazazi wake au laa. Sio katika ndoa tuu hata katika Jambo lolote.

Nafasi ya Mzazi inaisha pale mtoto anapoanza kujitegemea.

Kumbuka sio mzazi tuu, hata Mungu muumba wa Nchi. Unayohiyari ya kumsikiliza au kutokumsikiliza,
 
[emoji3][emoji3][emoji3]

Taarifa haifanyi ndoa isiwe ya maana, mambo yanayovunja ndoa ndio mambo hatohayo yanayoweza kufanya ndoa isifungwe.
Sasa nenda kwenye Sheria uangalie nu mambo gani yanayoweza kufanya ndoa ikavunjwa uone Kama Wazazi wapo?
Oh we talking about marriage to be accepted and not issue of divorce issue of divorce is about husband and wife
 
Ok
 
Oh we talking about marriage to be accepted and not issue of divorce issue of divorce is about husband and wife

Wewe utakuwa hauelewi mambo ya ndoa, kuna vigezo ambavyo vinafanya ndoa ifungwe, ikubalike, vigezo hivyo vikivunjwa ndoa haipo, na Kama ndoa ilifungwa basi inaweza kuvunjwa tuu.

Wazazi hawapo kwenye hivyo VIGEZO aidha vya kuifanya ndoa ifungwe au isifungwe au Talaka.
Ndoa ni ishu ya watu wawili Sheikhe, na watakaoulizwa ni watu wawili sio wazazi😂😂
 
Usinifokee mkuu me kiingereza sijui.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] et Jitu zima
 
Mm sijakatataa ila we ni unapenda ubishi iyo kawaida yako tu
 
Mm sijakatataa ila we ni unapenda ubishi iyo kawaida yako tu

Sasa ubishi ni Mimi au ni wewe.

Wewe Umesema ndoa haiwezi kufungwa bila ya ruhusa ya Baba(Wazazi) watu humu wakakujibu kuwa hakuna kitu Kama hiko.
Umetoa hoja zako na Mimi nikatoa hoja zangu, sasa umejua kuwa inawezekana na wala hakuna sheria Kama hiyo inayompa mamlaka Baba au Mama kuzuia ndoa ya Mtoto wao aliyefikisha umri wa utu uzima.

Sasa anayebisha ni Mimi au ni wewe? Unajua maana ya ubishi?
 

Hizo Procedure zipo kwenye Sheria?
 
... atakayekuwa tiyari kuishi na binti kama mke amuweke mimba tu mzee mwenyewe atamuachia kwa shingo upande mwanzoni badae akipata wajukuu atazoea maisha bila binti yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…