Unadhani unavyotumwa utaambiwa hana hatia, si wanakwambia tu huyo ni jambazi sugu la kutumia silaha. Na wewe utaenda kuua kwa confidence ukidhani ni jambazi kweliYaani mtu anakutuma kwenda kumuua mtu asiye na hatia na ww unaenda!!!!!
Hata kama mtu ni boss wako ndio akupe tu maagizo ya kipumbavu na ww unatii hata bila kufikiria mara mbili?!!!
Vilaza
Mkuu nakitafuta chanzo, sijapapata sawasawa pa kuanzia kupandishia kisirani changu!Ioze mara ngapi?
Asante mkuu[emoji24][emoji24]wkt mwingine inabidi kufanya visivyowezekana hawa matahira wanaboa Sana!!Hawa mbwa wanaoua raia wasio na hatia dawa yao ndogo sana.
Kama unajijua huna Nguvu za kupambana nao, kiserikali ama kifedha dawa ni moja tu.
Chukuwa nauli waendee kwa wazee, hakuna kupoteza muda, yaan watasambaratika kwanzia Master plan wa mchongo, mpaka machawa wao wote wa mpango haramu.
Muda mwngine hatuitaji kupoteza muda kujibizana na haya mashetan watu.
Angeweza kupigwa risasi mzee. Ukiwa kwenye group la waovu wakajua wamepanga njama ya ajabu kama hiyo na wewe umekataa, that means unajua njama yao, huwa wanapoteza ushahidi kwa namna yeyote ile. Unatakiwa kuishi kwa hekima, utakuja kubugizwa risasi wakati ungepona.Kama alitumwa kuuwa na akakubali huo ni upumbavu wake.
Kwani angegoma angefukuzwa Kazi?
KumekuchaAkiongea na Azam News, Baba mzazi wa askari aliyejinyonga anasema hajaridhishwa na taarifa za kifo cha mwanae!
Anasema alipigiwa simu na kuambiwa mwanao tumpeleke akazikwe wapi? Akawaambia mleteni nyumbani kwangu Tabata, Dar Ea Salaam.
...
Huyo askari aliejinyonga, nae si ni boss? ACP si ni cheo kikubwa tu, nani anaweza ku comand aue ? Sio kwamba yeye ndo aliplan mchongo wote, so kaamua kujiondoa?Wamemuuwa polisi wenzake kwenye ili kupindisha kesi, safari hii jamuhuri isifanye uzembe wa Kama kesi ya zombe ambapo kwa kujua kesi itakavyokuwa walimtorosha SADI aliyeamuliwakupiga risasi wafanyabiashara na kupora pesa...
Utakuwa mchawi. Baba ana haki ya kujua ukweli kuhusu kifo cha mwanaeDamu nzito kuliko maji, mzee kubali tu mwanao kakutia aibu
Yule mdingi kwanza yeye ni mwanajeshi mstaafu. inasikitisha kuona mazingira aliyopo na alikuwa mwanajeshi. Kuna haja hivi vyombo viongezewe mishahara. Nikija kwenye hoja, mtoto ni mtoto ndugu, hata huyu jamaa naye ana watoto, baba anampenda mwanae, ameacha mke na wajukuu, na huwezi kujua mazingira ya huyo askari hadi anafanya tukio....hapo analia vilio viwili, cha kwanza cha mtoto wake kutia nuksi familia, cha pili kumpoteza mtoto uliyemzaa na kumlea hadi kufikia umri ule, cha tatu anaisikitikia familia ya wafiwa upande wa pili. Huyo mdingi yupo kwenye wekati mgumu sana.Utakuwa mchawi.Baba ana haki ya kujuwa ukweli kuhusu kifo cha mwanae
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Unakubali halafu break ya kwanza ni kurusha taarifa mtandaoni na kuisambaza audiovisualMtu akutume kuua halafu ukatae, unadhani atakuacha ili ukamtaje baadae?
We subiri siku saba ziishe uone? Kuna watu watamwaga ungaLakini hata kesi ya Zombe na wenzake baada ya tume kuundwa na kutoa majibu kuhusu ukweli, tatizo likaja kwenye uandishi wa mashitaka!
Mtu wa taaluma hiyo alipokwisha kulambishwa mlungula akajifanya mamuma wa taaluma, akaandika kesi miguu juu kichwa chini, hali iliyofanya Zombe akaonekana ni muungwana, afisa mpole na hajashiriki kabisa kwenye mauaji hayo na kuachiwa huru kula pensheni na hewa tulivu ya uraiani!
Na hata sasa nasikia harufu ya mambo hayo kujirudia ingawa Makamo kafoka sana hadi povu limemtoka kumshurutisha Igp aingilie kadhia ya mauaji yanayoendelea kote nchini, lakini mwisho wa jambo hili tusitarajie lolote la maana.
Kwel wakimaliza rais watarudi kwa viongozi mama awe makini sanaWamemuuwa polisi wenzake kwenye ili kupindisha kesi, safari hii jamuhuri isifanye uzembe wa Kama kesi ya zombe ambapo kwa kujua kesi itakavyokuwa walimtorosha SADI aliyeamuliwakupiga...
Coverupwakubwa watakuwa walikula mgao,wanapoteza ushahidi
Dah! Hatupo salama kabisa tanzania!! Mama kumbuka umeshika katiba kuapa kutulinda