Hizo tunnels ni za nini?Ndio hizo ninazokuambia zipo kuanzia Gaza mpaka Rafah kwa minajili ya ku smuggle lakini sio chini ya makazi ya watu.Umeona nyumba zilizopigwa mabomu kuna tunnels chini?Wacha hadithi za Ali Nacha.Kuna Video chungu nzima zinaonyesha Al Qasam Brigade wakichimba Tunnels na Yahya Sinwar hadi anaendesha Gari ndani ya tunnel unataka kubisha nini?
Huwa nina kuelewa sana wewe na Nifah huwa mnatenganisha uovu na dini ya Kiislam, hongera sana, hii ndio maana halisi ya mtu kubadilishwa na diniKuna Video chungu nzima zinaonyesha Al Qasam Brigade wakichimba Tunnels na Yahya Sinwar hadi anaendesha Gari ndani ya tunnel unataka kubisha nini?
Wale jamaa makatili..Qatar ndiyo nchi rafiki wa Hamas
Nikuwa nikiangalia Video ya Hamas wakuonesha wanavyolishambulia Jeshi la Israel wakitoka kwenye Tunnel.Hizo tunnels ni za nini?Ndio hizo ninazokuambia zipo kuanzia Gaza mpaka Rafah kwa minajili ya ku smuggle lakini sio chini ya makazi ya watu.Umeona nyumba zilizopigwa mabomu kuna tunnels chini?Wacha hadithi za Ali Nacha.
ulishaletwa Rombo na ulishazikwa.Duuuh! pole sana kwa familia.Hivi mwili wa yule mwenzake na Joshua,ajulikanae kwa jina la Clement,uliletwa nchini kweli?
Nachokataa ni kwamba tunnels zipo chini ya makazi ya watu.Tunnels zipo lakini sio kwenye makazi ya watu wala hospitali.Nikuwa nikiangalia Video ya Hamas wakuonesha wanavyolishambulia Jeshi la Israel wakitoka kwenye Tunnel.
Ziko Tunnels zilizochimbwa miaka mingi sana ziko pia katika Border ya Rafah kwa ajili ya kukwepa Blockade ziko pia Tunnels kwa ajili mapigano.
Mimi siegemei upande wowote mimi hupenda Facts.
Mara ya mwisho ulikuwa Gaza lini?Nachokataa ni kwamba tunnels zipo chini ya makazi ya watu.Tunnels zipo lakini sio kwenye makazi ya watu wala hospitali.
Balozi wa palestina nchini ni mojawapo ya watu wajinga kuliko mabalozi wote hapa nchini. vijana wetu wawili wameuliwa na hamas, tunahuzuni, halafu yeye badala ya kujifanya anajali, au hata kama hajali basi aonekana anayo mahusiano na watanzania wote, ameamua kwenda msikitini kuomba kuungwa mkono. meaning, anaomba waislam pekee Tanzania waiunge mkono. wakristo hana haja nao wakati palestina kuna wakristo pia. maana ya kwenda msikitini, yeye akiwa balozi na hajaenda kanisani, inaonyesha yeye ni balozi anayetaka ushirikiano na waislam peke yake hapa nchini. mashetani kabisa hawa jamaa. namna walivyomuua yule dogo, dah.Huyo Balozi wa Palestina anafanya nini Nchini wakati Hamas ni sehemu ya Palestina Authority?
Kwanini yeye isiongee na Yahaya Sinwar au Ismail Haniyeh nini maana ya Balozi? Kuomba Dua Misikitini?
Ziko Video zilizorekodiwa na Hamas zikionyesha wakiibuka kutoka kwenye Tunnels kwenye makazi yaliyobomolewa na Majeshi ya IDF.Nachokataa ni kwamba tunnels zipo chini ya makazi ya watu.Tunnels zipo lakini sio kwenye makazi ya watu wala hospitali.
Mke wangu kwao ni Gaza siropoki kama wewe upo Kishumundu unaulizia.Wapi nimedai naijua Gaza kuliko Hamas.Vipi bado umevimbiwa?Mara ya mwisho ulikuwa Gaza lini?
Isijekuwa ujo Malinyi halafu unajifanya unaijua Gaza kuliko Hamas
ndio maana sasaivi drone zinapita wakiona mtu anatoka kwenye shimo tu wanajua hapo kuna tunnel, kifuatacho ni kupiga bom kubwa la kuvunja tunnel na wakijua raia sasaivi hawapo, waliobaki wachache sana hivyo wanapiga kwa uhuru wote.Ziko Video zilizorekodiwa na Hamas zikionyesha wakiibuka kutoka kwenye Tunnels kwenye makazi yaliyobomolewa na Majeshi ya IDF.
Hata angeenda kwenye familia za Watanzania waliouwawa na Magaidi ya Hamas na Islamic Jihaad hata kwenda kuhani.Balozi wa palestina nchini ni mojawapo ya watu wajinga kuliko mabalozi wote hapa nchini. vijana wetu wawili wameuliwa na hamas, tunahuzuni, halafu yeye badala ya kujifanya anajali, au hata kama hajali basi aonekana anayo mahusiano na watanzania wote, ameamua kwenda msikitini kuomba kuungwa mkono. meaning, anaomba waislam pekee Tanzania waiunge mkono. wakristo hana haja nao wakati palestina kuna wakristo pia. maana ya kwenda msikitini, yeye akiwa balozi na hajaenda kanisani, inaonyesha yeye ni balozi anayetaka ushirikiano na waislam peke yake hapa nchini. mashetani kabisa hawa jamaa. namna walivyomuua yule dogo, dah.
Sasa Mke wako atajuaje Mahandaki ya Kimkakati ambayo ni siri ya Kijeshi.Mke wangu kwao ni Gaza
Najua DRC wanaolufa kwa malaki huku milioni 7 wakifurushwa bila chakula, maji na makazi havikugusi.Unabubujika machozi ya mtu mmoja? Nenda Israel na Gaza kuna maelfu wameuawa.
Haa kumbe umeolewa Gaza?Mke wangu kwao ni Gaza siropoki kama wewe upo Kishumundu unaulizia.Wapi nimedai naijua Gaza kuliko Hamas.Vipi bado umevimbiwa?
Yaani wewe uishi kwenye nyumba usijue kuna tunnels chini ya nyumba?Unataka niamini huo uzazwa?Sasa Mke wako atajuaje Mahandaki ya Kimkakati ambayo ni siri ya Kijeshi.
Usifosi kitu ambacho Hamas wenyewe kwenye Video zao wanaonyesha kwenye medani ya mapambano.
Na Sudan Waafrika wenzetu wanauwawa bila mteteziNajua DRC wanaolufa kwa malaki huku milioni 7 wakifurushwa bila chakula, maji na makazi havikugusi.
Upumbavu wa Waafrika wengi kama wewe ni matokeo ya kuparamia dini zisizotuhusu huku tukijiaminisha kuwa hao wapuuzi ni watu zaidi yetu sisi.
Jitambue
Hamna kitu hapo Huyo Mollel ametumika na Isreal kuonesha ulimwengu kuwa wabaya wengine wa Israel ni Uturuki, Qatar na wengineo nothing more nothing less.Nchi rafiki Kwa Hamas?
Tunnels sio lazima iwe na opening kwenye kila nyumba inaweza kuvuka kwenye nyumba mbili ikaenda kuwa na opening kwenye nyumba ya tatu.Yaani wewe uishi kwenye nyumba usijue kuna tunnels chini ya nyumba?Unataka niamini huo uzazwa?