AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Tuanze na yeye mwenye kitabu chake biblia...wapi IBRAAHIM ALIAMINI KATIKA UTATU MTAKATIFU, WAPI IBRAAHIIM ALIAMINI KATIKA YESU KUWA MWANA WA MUNGU NA NI MUNGU...BASI KAMA HAITOSHI LETA ANDIKO KWENYE BIBLIA LINALOSEMA IBRAAHIIM ALIKUWA MKRISTO...Hakuna sehemu yoyote Muislamu katumia biblia kutoa hoja.Kama unaushahidi weka hapa.
Bali waislamu hutumia vitabu vya Mungu alivyowapa manabii wake ambavyo ni Torati,Zaburi,Injili na vingine.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Hivi hili limejibiwa?Kwa uchache niseme t
kwa hiyo Yesu alikuwa Dini gani?
KATIKA WATU WENYE HOJA DHAIFU NI WAKRISTO...
ZAIDI YA UJINGA...NA STORY ZA KUTUNGA BADALA YA MAANDIKO ...HAWANA CHA KUJADILIANA NA WAISLAAM...
WANAPENDA SANA KUANZISHA MADA ZA KUWASHUTUMU WAISLAAM NA DINI YAO...WANAPOJIBIWA KWA HOJA NZITO MADHUBUTI HUKIMBIA...AU HUSHUPAZA SHINGO KWA UBISHI TU...HALI YA KUWA WAMESHAONA MAPUNGUFU KATIKA DINI YAO...
TUNA JIBU FUPI LA HILI SWALI LA UZI.
Ibraahim alikuwa na itikadi ya kumuabudu Mungu Mmoja...alikataa kumshirikisha Mungu na chochote...na wala HAKUWAHI KUSEMA POPOTE KWENYE BIBLIA KUWA YESU NI MUNGU AU MWANA WA MUNGU AU MUNGU YUPO KATIKA UTATU MTAKATIFU...
Mpaka hapo kwa itikadi hiyo...tayari jibu ni IBRAAHIIM ALIKUWA NI MUISLAAM KAMILI ..KWA SABABU HIYO NDIO ITIKADI YA UISLAAM...
UKIBISHA LETA ANDIKO KWENYE BIBLE. SIO MANENO MATUPU.
1. Abrahamu baadae Mungu alimuita Ibrahimu, baba wa mataifa.hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini.
Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu,ambaye anakubaliki na Dini zote,kuanzia Uyahudi,Ukristo mpaka Uisilamu,na hawa wote ibada zao zimetofautiana.
Je niwapi wanaomfata?
Imebid ncheke mie mweeeeWALE JAMAA WAFUGA NDEVU, WAVAA KOBAZI WANAKUAMBIA ALIKUWA MUISLAMU WAKATI UISLAM UMEANZISHWA NA MUDY KARNE YA SABA.
Jew maana vitabu vya Tora vinamtaja kama baba wa Taifa la Israel! Na kumbuka dini yao ipo kabla ya Ukristo na Uislam!hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini.
Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu,ambaye anakubaliki na Dini zote,kuanzia Uyahudi,Ukristo mpaka Uisilamu,na hawa wote ibada zao zimetofautiana.
Je niwapi wanaomfata?
hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini.
Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu,ambaye anakubaliki na Dini zote,kuanzia Uyahudi,Ukristo mpaka Uisilamu,na hawa wote ibada zao zimetofautiana.
Je niwapi wanaomfata?
WEWE NDIO YALE MAJITU MWALIM ANAFUNDISHA DARASANI POINT MUHIMU HAYAZINGATII...We ni moja ya yale majitu tunaita makubwa jinga. Sasa anakuaje muislamu wakati uislamu haukuwepo?
We kichwa mavi usiniulize mambo ya ukristo. Mi sio mkristo. Hayanihusu. Hakuna mahali nimesema alikuwa mkristo kwa sababu sifikirii kipumbavu kama wewe. Anawezaje kuwa na dini ambazo zilikuja kabla yake? Mbona vichwa mmejaza makimba nyie wavaa makobaziWEWE NDIO YALE MAJITU MWALIM ANAFUNDISHA DARASANI POINT MUHIMU HAYAZINGATII...
NIMEKWAMBIA...DINI NI ITIKADI...ITIKADI YA DINI YA KIKRISTO NI NINI? JE ITIKADI HIYO ALIKUWA NAYO IBRAAHIIM...? KAMA ALIKUWA NA ITIKADI KAMA WAKRISTO HIVI LEO...BASI IBRAAHIIM ALIKUWA MKRISTO...
Na watu weusi chazo chao kilikuwa kupitia kwa nani?1. Abrahamu baadae Mungu alimuita Ibrahimu, baba wa mataifa.
2. Alikuwa Mwebrania
3. Ni chanzo cha Israel kupitia Isaka hatimaye Yakobo ambaye ndiye Israel mwenyewe.
4. Ni chanzo cha Waarabu kupitia mke mdogo/ kijakazi/suria Hijiri
5. Alimwabudu Mungu Yahwe na hakuwa na dini au dhehebu.
Hiyo ni baada ya kuja Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasallam na mafundisho hayo, kabla yake mafundisho yalikuwa kama walivyoleta mitume kwa nyakati zao.Naomba unisaidie kufahamu. Ili uwe muislamu ni lazima ushuhudie kuwa mwenyezi mungu ni mmoja na Muhammad ni mtume wake. Yaani ni lazima utoe shahada.
Sasa nafahamu Ibrahimu alikuwepo kabla ya mtume Muhammad. Je, aliisema hii shahada au alifanyaje akawa muislamu? Asante.
We bibi nae ni moja ya majitu majinga sana humu jf. Sasa mudi kamkuta ibrahimu na kakuta stories zake kutoka kwa wayahudi. Kakopi hizo stories kaandika kwenye hicho kitabu. Hakuna any validity. Mudi ndo kaleta uislamu, uislamu haukuwepo kabla ya mudi. Ili uwe muislamu lazima umkubali jambazi na mbakaji mudi. Msiwe mnatumia kichwa kama mfuko wa meno pekeeSoma zaidi kuhusu Ibrahim: Ibrahim in the Quran
Hatukuja hapa kutukanana, rekebisha lugha yako.We bibi nae ni moja ya majitu majinga sana humu jf. Sasa mudi kamkuta ibrahimu na kakuta stories zake kutoka kwa wayahudi. Kakopi hizo stories kaandika kwenye hicho kitabu. Hakuna any validity. Mudi ndo kaleta uislamu, uislamu haukuwepo kabla ya mudi. Ili uwe muislamu lazima umkubali jambazi na mbakaji mudi. Msiwe mnatumia kichwa kama mfuko wa meno pekee
Walikuwa wanaishia hapo hapo kwenye kuamini mungu ni mmoja Hana mshirika,hajazaa Wala hajazaliwaNaomba unisaidie kufahamu. Ili uwe muislamu ni lazima ushuhudie kuwa mwenyezi mungu ni mmoja na Muhammad ni mtume wake. Yaani ni lazima utoe shahada.
Sasa nafahamu Ibrahimu alikuwepo kabla ya mtume Muhammad. Je, aliisema hii shahada au alifanyaje akawa muislamu? Asante.
Acha umbumbumbu. Umri umeendaHatukuja hapa kutukanana, rekebisha lugha yako.
Hii ni mijadala yenye faida kwa wengi, huna sababu ya kuwa na lugha za kuudhi.
Sasa nyinyi kwanini msiishi kama wao? Instead mmengβangβania mambo ya mudi, mpaka mnaua watu kwa sababu ya huyu bwanaWalikuwa wanaishia hapo hapo kwenye kuamini mungu ni mmoja Hana mshirika,hajazaa Wala hajazaliwa
Unasubiri Wajibu wewe ndio uanze kutoa uharo wa kandeππππWafia dini watakuambia alikuwa muislam, nimenunua mada ngoja nishukiwe vikali na hao wafia dini, nawasubiri kwa hamu tunyukane kihoja
Maviiiii πππππππwe mpuuyi nini, tangu lini mavi yakakaa kichwani? Adamu mwenyewe mnadai alikuwa muislam, itashindikana nini kwa ibrahimu? Mfia dini acha unafiki