Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

Na anakuwaje Mkristo wakati UKRISTO haukuwepo? Wewe ni zee jinga 😁😁😁
Wapi nimesema alikuwa mkristo? Usiende kama ling’ombe. Yesu mwenyewe hakuwa mkristo sasa waliomtangulia wanakuaje wakristo? Only mpumbavu atafikiria kama unavyofikiria wewe
 
Wapi nimesema alikuwa mkristo? Usiende kama ling’ombe. Yesu mwenyewe hakuwa mkristo sasa waliomtangulia wanakuaje wakristo? Only mpumbavu atafikiria kama unavyofikiria wewe
Afadhari Mimi ng'ombe huwa sili MAVI 😁😁

ila wewe NGURUWE unakula mavi yako!

Kama hakuwa Mkristo au Muislamu haikutakiwa kushutumu imani za watu wengine!

Umeficha kichwa mchangani unaacha Mkund* juu

Lazima tukupige kidoleπŸ–•
Tuone wewe ni Mpagani au mkristo😁😁😁
 
Ibrahimu hajawai kuwepo hizo n stor za uzushi zisizo na uthibitisho wa kihistoria, tukisema mtuoneshe aliishi wap na mwaka upi kwa ushahid upi nje ya vitabu vya dini mtaweza?
 
Wewe umeanza kuwaza mikund*|*^ bila shaka wanakubandua
 
Ibrahim hawezi kuwa Muislam kwa sababu UISLAM HAUKUWAHI KUWEPO wakati wake.
Uislam umekuja Karne ya saba na umeletwa na Mohamad.
 
Hiyo shahada ya kumkiri mtume wa wakati husika inapatikana wapi?

Kwa nini mnaongea hewani tu bila ushahidi?

IWEKE HAPA HIYO SHAHADA ya kumkiri mtume/nabii Ibrahim, Musa au Adam. IWEKE HAPA
 
Unanukuu Biblia( unayodai imechakachuliwa) ili kuprove Uislam [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi hiyo Quran yenu huwa haijitoshelezagi?
 
hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini.

Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu,ambaye anakubaliki na Dini zote,kuanzia Uyahudi,Ukristo mpaka Uisilamu,na hawa wote ibada zao zimetofautiana.

Je niwapi wanaomfata?

Lazima ujue imani sio historia. Vitu ambavyo vimeandikwa kwenye vitabu vya dini hasa watu hakuna ushahidi wa kibiologia ni imani tu . Hivyo usiseme mambo ya imani kama ni historia yana uhakika kwako sio kwa kila mtu
 
Hiyo shahada ya kumkiri mtume wa wakati husika inapatikana wapi?

Kwa nini mnaongea hewani tu bila ushahidi?

IWEKE HAPA HIYO SHAHADA ya kumkiri mtume/nabii Ibrahim, Musa au Adam. IWEKE HAPA
Unajuwa maana ya shahada?
 
Wapi nimesema alikuwa mkristo? Usiende kama ling’ombe. Yesu mwenyewe hakuwa mkristo sasa waliomtangulia wanakuaje wakristo? Only mpumbavu atafikiria kama unavyofikiria wewe
WEWE NDIO YALE MAJITU MWALIM ANAFUNDISHA DARASANI POINT MUHIMU HAYAZINGATII...

NIMEKWAMBIA...DINI NI ITIKADI...ITIKADI YA DINI YA KIKRISTO NI NINI? JE ITIKADI HIYO ALIKUWA NAYO IBRAAHIIM...? KAMA ALIKUWA NA ITIKADI KAMA WAKRISTO HIVI LEO...BASI IBRAAHIIM ALIKUWA MKRISTO...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…