Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

Tupe tafsiri YAKO.
Wapi Mungu kaumba dini
1 DINI=Siku ya malipo (Kiroho)

مَالِكِ يَوْمِ الدِّينِ


(AL-FAATIH'A - 4)
Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.

أَرَأَيْتَ الَّذِي يُكَذِّبُ بِالدِّينِ

(AL - MAAU'N - 1)
Je! Umemwona anaye kadhibisha siku ya Malipo?

2 DINI =MILA (Kimwili)

ثُمَّ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ أَنِ اتَّبِعْ مِلَّةَ إِبْرَاهِيمَ حَنِيفًا ۖ وَمَا كَانَ مِنَ الْمُشْرِكِينَ

(AN NAH'L - 123)
Kisha tukakufunulia ya kwamba ufuate mila ya Ibrahim, mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina.

وَمَنْ أَحْسَنُ دِينًا مِّمَّنْ أَسْلَمَ وَجْهَهُ لِلَّهِ وَهُوَ مُحْسِنٌ وَاتَّبَعَ مِلَّةَ إِبْرَاهِيمَ حَنِيفًا ۗ وَاتَّخَذَ اللَّهُ إِبْرَاهِيمَ خَلِيلًا

(AN-NISAAI - 125)
Na nani aliye bora kwa dini kuliko yule aliye usalimisha uso wake kwa Mwenyezi Mungu, naye akawa mwema, na anafuata mila ya Ibrahim mwongofu? Na Mwenyezi Mungu alimfanya Ibrahim kuwa ni rafiki mwendani.

Hivyo,Kiislamu Dini ni mfumo wa maisha ya mwanadamu unaofuata mwongozo wa Mwenyezi Mungu aliuelekeza kwa wanadamu kupitia mitume na manabii wake.

NA MAANA YA JUMLA YA DINI,
Ni mfumo wowote wa maisha anaoufuata mwanadamu katika kuendesha maisha yake ya kibinafsi na kijamii katika Nyanja zote za maisha.



Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Hujajibu swali bado, hiyo aya ipo ndani ya kuran na imeutaja ukristo, wakati huo ukristo ulishaelezea historia ya ibrahimu

Maana yake hapo kuna editing ilifanyika sasa iliyosema ibrahimu ni muislam
Unataka nikujibu kwa kutumia nini basi?.
Unaelewa kuwa hapa mada iliyopo inataka tujadili nini?.
Unaonaje wewe ukapinga kwa maandiko kutoka katika kitabu cha imani yako!?.
Unasema Ukristo ulishaelezea historia ya Ibrahim!Je!Unaweza kunionesha andiko toka Ukristoni linalothibitisha?.



Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Nilishajibu hapa,

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Upuuzi
 
Unataka nikujibu kwa kutumia nini basi?.
Unaelewa kuwa hapa mada iliyopo inataka tujadili nini?.
Unaonaje wewe ukapinga kwa maandiko kutoka katika kitabu cha imani yako!?.
Unasema Ukristo ulishaelezea historia ya Ibrahim!Je!Unaweza kunionesha andiko toka Ukristoni linalothibitisha?.



Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38]aya yenyewe inamtaja ibrahim na ukristo, wakati mnasema uislam ulikwepo tangu enzi ya ibrahim na wakati huo hakukua na ukristo
 
Biblia ilikuwa ni "mchakato".

Maandishi mbalimbali ya Kiyahudi/Kihebrania (The Dead Sea Scrolls) - about 2000BCE


Maandishi ya biblia ya Wayahudi (Torah) yalikamilika around 400BC



Kutafsiriwa kwa biblia ya Wayahudi kutoka Kihebrania hadi Kigiriki (The Septuagint), (Agano la kale) - 200BC


Vitabu vya agano jipya viliandikwa around 40-200CE


Mkutano wa kutafuta makubaliano ya mafundisho ya makanisa, Mfano kukubaliana tarehe ya easter na nature ya Kristo (First council of Nicaea) - 325CE


Papa atangaza vitabu vinavyokubalika kwenye biblia (Council of Rome) - 382CE


Na mitkutano mingine iliyoendelea kuongeza/kutoa vitabu....


Mahesabu ya kupata tarehe ya uumbaji kuwa 4000BC. (Ukijumlisha na miaka yetu 2000CE, umri wa ulimwengu/dunia kulingana na biblia unakuwa miaka 6000 tu.

The Bible takes its name from the Latin Biblia ('book' or 'books') which comes from the Greek Ta Biblia ('the books') traced to the Phoenician port city of Gebal, known as Byblosto the Greeks. Writing became associated with Byblos as an exporter of papyrus (used in writing) and the Greek name for papyrus was bublos.


The word “Bible” is derived through Latin from the Greek word biblia (books), specifically the books that are acknowledged as canonical by the Christian church. The earliest Christian use of ta biblia (the books). Greek biblion (of which biblia is the plural) is a diminutive of biblos, which in practice denotes any kind of written document.

Angalia sasa tafsiri ya kwanza ya Torah kutoka kiebrania kwenda Kigiriki ilifanyika lini,

With the rise of Alexander the Great and the Greek Empire, Diaspora Jews became Hellenized; and for some Jews, especially those living in Ptolemaic Egypt, Greek had become their primary language. Therefore, it became necessary for the Hebraic laws to be translated into Greek.

The translation of the Old Testament into Koine Greek in the third century BC took place within a historical context that was important for the development of the “Tanakh,”


Concrete archaeological evidence bearing on the dating of the Torah is found in early manuscript fragments, such as those found among the Dead Sea Scrolls. The earliest extant manuscript fragments of the Pentateuch date to the late third or early second centuries BCE.[20][21] In addition, early non-biblical sources, such as the Letter of Aristeas, indicate that the Torah was first translated into Greek in Alexandria under the reign of Ptolemy II Philadelphus (285–247 BCE). These lines of evidence indicate that the Torah must have been composed in its final form no later than c. 250 BCE, before its translation into Greek.[22][23]



Mkuu!Kutokana na hiyo historia hapo juu,naomba nimalize kwa kukuambia kuwa,MUSA HAKUWAHI KUTUMIA JINA BIBLIA WALA KULISIKIA.
BIBLIA IMEKUJA KUUNDWA MIAKA MINGI BAADAYE.

Hivyo maneno yako ni uwongo.
 
Kwa huyo umekosa andiko toka kwa imani yako linalo thibitisha dai lako sindiyo!?

Basi mimi na wewe tumemaliza.
Dai lipi? Mimi nachambua hiyo aya inayosema ibrahimu alikua muislam

Nb: hakuna aya kwenye biblia inayosema ibrahimu alikua mkristo maana enzi zake hakuka na ukristo
 
Mmeshindwa kujibu hoja, aya inamtaja ibrahimu na ukristo wakati enzi za ibrahimu hakukua na ukristo,
 
Mmeshindwa kujibu hoja, aya inamtaja ibrahimu na ukristo wakati enzi za ibrahimu hakukua na ukristo,

Nakukumbusha tu kuwa kilichoulizwa hapo kimejibiwa na maandiko ya Mungu wa waislamu.
Kama unajibu nawe kwa maandiko ya Mungu wako jibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kuna kitu huwa tunashindwa kuelewa kuhusu dini, maranyingi Wakristo wamekuwa wakiwakebehi Waislam wasemapo kwamba manabii ama mitume fulani waliokuwepo miaka mingi nyuma kabla ya Uislam ni Waislam. Hamtakiwi kukebehi kuhusu hili maana ndio imani yao na vitabu vyao vimeandika hivi.

Kinachofurahisha Wakristo wao hujiona wako sahihi kusema Manabii hao wlikuwa upande wao wakati Ukristo umekuja baadae sana.

Iko hivi: Wayahudi wanaamini maandiko yao matakatifu (Torah). Wakristo wameandika katika biblia yao takatifu kuhusu Moses na maandiko yake lakini hii haiwezi kuwashawishi Wayahudi waamini kwamba Ukristo ulikuwepo tangu kipindi cha Musa. Vivyo hivyo kwa Waislam, Quran imeandika kuhusu Musa na hata Yesu lakini hiyo haitawafanya Wakristo waamini kwamba Uislam ulikuwepo kabla ya Yesu.

Mkijua hili wala hakuna haja ya kumsema mwenzako wakati hata wewe umefata mfumo huo huo. Wakristo wanaamini Wayahudi walimkataa Yesu na walijutia kwa hilo baada ya kumuua lakini ukweli hadi leo hii Wayahudi hawamuamini Yesu kama messiah. Waislam wanaamini Muhammad ni muendelezo wa mpango wa Mungu kuwaleta wasaidizi wake kueleza utukufu wake lakini Wakristo hawaamini katika hilo.

Anayewaita wenzake wafia dini yeye keshaoza katika dini yake😂
Sasa mkuu kwani ushasikia wakristo wanasema ukristo umekuwepo kabla ya yesu?
Au ushasikia wanasema kina Musa na Ibrahim walikuwa wakristo?
 
Hivi unajiona kabisa uliyoyajibu yanalingana na wenzako? Jibu ukinukuu kutoka kwenye vitabu vya Mungu,siyo kwa kutumia akili yako
Hamna shida !!kama fikra zako zimefikia mwisho andika nimeshindwa UTAPATA JIBU MARA MOJA
 
Wanasema ni dini iliyokamilika tangu imekuja lakini.

Mud ndio laleta nguzo 5 hivyo kabla kama ilikuwepo wakati wa Ibrahim zilikuwepo nguzo ngapi.

Sasa hivi wakokunasa ili ujiunge nao Wana shahada sijui ni ya sheria au ya udaktari wanakuambia utamke, Sasa kama hicho kitabu hakikuwepo na huyo mud hakuwepo hiyo shahada enzi hizo ilikuwa inatamkwaje au mshkaji aliichomekea ili awe anatakiwa tajwa?
Hili jambo limejibiwa sana, kuwa kila anapo kuja Nabii anapewa sheria zake, kwahiyo usikariri , kwahiyo hakuna ulazima sheria za mohamad zifanane na Musa , halafu shahada ina kwenda kwa Nabii husika wa zama hizo, kwa zama hizo ni Mohamad, ila kwa zama za Musa ni musa, haya jikite kwenye Mada Ibrahim alikuwa dini gani?
 
Back
Top Bottom