Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

Mchungaji Pastor Mwakipesile ambaye mtoto wake Sifa Bujune alikamatwa kwa kosa la kusambaza uongo kwa kuimba wimbo wa Mnatuona Manyaji amehukumiwa miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila ya kuwa na kibali...
Tuna kiongozi wa hovyo sana nchi anaenda kuitumbukiza shimoni
 
Ni mwimbaji mzuri sana. Mpaka natamani kama angeachana mazima na hizi hekaheka za kisiasa na mapambano na watumishi wenzie akajikita kwenye kuutangaza ufalme wa Mungu. Angefika mbali sana kiutumishi ila kwa sasa CCM ninavyowafahamu hakuna rangi ambayo ataacha kuona!
Dini na "harakati" za siasa wapi na wapi ?!!!

Awaulize kilichowakumba masheikh wa UAMSHO.....[emoji1787][emoji1787]
 
"......kwa nini msitambulike na kulindwa kisheria....".

UMEMALIZA [emoji2956][emoji1732][emoji109][emoji106][emoji7][emoji1720][emoji120]
Nina hakika bwana huyo 'Mwakipesile' hana ajualo baina ya dola na dini zaidi ya hisia za chuki kwa Samia kama mtu.

Tunatakiwa kwenda hatua ya mbele zaidi kama serikali, ili upewe ruhusa ya kutoa huduma ya kiroho kisheria unapaswa uwe na angalau Stashahada ya Juu au Shahada ya kwanza katika Sayansi ya Dini.
 
Tuna kiongozi wa hovyo sana nchi anaenda kuitumbukiza shimoni
Mirembe umetoka lini ?!!!

Yaani NCHI ipotee kisa huyo mnyakyusa amepigwa mvua ?!! [emoji1787][emoji1787]

Haikupotea baada ya masheikh wa UAMSHO kuzichezea 9 tena bila ya hukumu....itakuwa hizo 3 za hukumu?!!! [emoji15][emoji15]

INSANITY IS REAL....
 
Kanisa ni nini na Kibali kutoka kwa nani ? Kama una waumini nadhani hicho ni kibali tosha, sasa kama tutanyimana vibali au kupeana vibali katika mambo ya Imani nadhani itakuwa ni mwanzo wa kuleta tafrani..,
 
Nina hakika bwana huyo 'Mwakipesile' hana ajualo baina ya dola na dini zaidi ya hisia za chuki kwa Samia kama mtu.

Tunatakiwa kwenda hatua ya mbele zaidi kama serikali, ili upewe ruhusa ya kutoa huduma ya kiroho kisheria unapaswa uwe na angalau Stashahada ya Juu au Shahada ya kwanza katika Sayansi ya Dini.
Hakika...

Pendekezo bora kabisa....[emoji120]

Mh.Rais wa Rwanda Paul Kagame ni mwerevu.....[emoji1787]
 
Kanisa ni nini na Kibali kutoka kwa nani ? Kama una waumini nadhani hicho ni kibali tosha, sasa kama tutanyimana vibali au kupeana vibali katika mambo ya Imani nadhani itakuwa ni mwanzo wa kuleta tafrani..,
[emoji15][emoji15][emoji15]
Hakuna tafrani yoyote....

Serikali ni mlezi wa makanisa na misikiti....

Angalia VYETI VYA NDOA zilizofungwa huko halafu usiione DOLA/SERIKALI.....[emoji1787][emoji1787]
 
Hivi kanisa na mungu mwenyezi mfalme Zumaridi limesajiliwa kweli? Just wondering
 
Huyu kichwani pana tope zito kama wewe
Kwangu Punda afe mzigo ufike...

Mzigo wenyewe ni UTULIVU ,AMANI NA USALAMA WA TANZANIA...DOLA NA WATU WAKE....

Nitukane utakavyo [emoji1787][emoji1787]
 
[emoji15][emoji15][emoji15]
Hakuna tafrani yoyote....

Serikali ni mlezi wa makanisa na misikiti....

Angalia VYETI VYA NDOA zilizofungwa huko halafu usiione DOLA/SERIKALI.....[emoji1787][emoji1787]
Kanisa ni nini na Msikiti ni nini ? Mimi nikiwa na Mizimu ya Mababu zangu tunakutana na wananzengo chini ya mwembe nani ni mlezi wetu na nani wa kutukataza kufanya tunachofanya ? (As far as we are concerned sisi ndio experts wa Imani yetu) na so long as hatudhuru mtu wala kuleta kero kwa wengine sioni kwanini tusifanye tunachofanya bila mtu yoyote kutuingilia (hizo ndoa zenu na vyeti vyenu vitahitajika pale tu nitakapoingiliana na utaratibu wenu)
 
Hewaaa....

Imani za MIZIMU hazina shida wala tabu....

Ila.....

Hizi ABRAHAMIC FAITH ndizo za kuzidhibiti.....[emoji120]

Wao ni tofauti sana sana na hizo za asili....

Za asili hazina "connection worlwide"....[emoji1787]
 
Kwangu Punda afe mzigo ufike...

Mzigo wenyewe ni UTULIVU ,AMANI NA USALAMA WA TANZANIA...DOLA NA WATU WAKE....

Nitukane utakavyo [emoji1787][emoji1787]
Labda huko kwenu kuna umeme, petroli, bei ya vyakula imeshuka, ajira zimeongezeka na mafisadi wanafikishwa mahakamani
 
Ameanza kuchezea sharubu.
Huko ni kuujaribu uvumilivu wa Wakristo.

Majibu atayaona hivi karibuni.
Usiwaingize wakristo katika jambo la upumbavu la "mkristo"....

Ulitaka "waislamu" wakapambane na Kikwete na Magufuli kisa tu wale "waislamu wa UAMSHO walikuwa wananyea mtondoo miaka 9"?!!![emoji15][emoji15][emoji15]

Shule ulikwenda kusomea "ungeseeeerrrrr"?!!! [emoji1787][emoji15]
 
Hakuna mahali nyumba za ibada zitaanzishwa bila kuhakikisha uthibitisho wa kitakachukuwa kinafanyika kwenye nyumba hizo.

Kama wewe na jirani yako mtahitaji kutambulika kama waanzilishi wa Itikadi/falsafa fulani na kuhitaji kuungwa mkono na jamii yenu kwanini msimtambulike na kulindwa kisheria?
Una maana gani unaposema "hakuna mahali..."?

Umetembea/umetqfuta data dunia nzima na kuchunguza hili?

Na hata kama hilo ni kweli, kwa nini liwe sawa?

Huoni kwamba hoja yako nzima imejengwa kwenye logical fallacy ya "argument from popularity", kwamba, kwa sababu kitu kinafanyika dunia nzima, basi lazima ni kizuri.

Dunia nzima ikikubali kuchinjana, utasema kuchinjana ni kitu kizuri kwa sababu dunia nzima imekikubali?

Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom