Tuna kiongozi wa hovyo sana nchi anaenda kuitumbukiza shimoniMchungaji Pastor Mwakipesile ambaye mtoto wake Sifa Bujune alikamatwa kwa kosa la kusambaza uongo kwa kuimba wimbo wa Mnatuona Manyaji amehukumiwa miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila ya kuwa na kibali...