Baba yako amestaafu upo home hauna ajira miaka 5, unasikia ametoa million 10 mchango wa ujenzi wa kanisa au msikiti

Maelezo ya mada hayatoshi kuonesha uhalisia kama nilivyosema.

Licha ya hayo, mtu mzima hapaswi kuegemea sana visingizio, ni kujilemaza. Sasa mzazi akikunyima mali utafanyaje?

Halafu hii haipo kwa waafrika tu, mbona wazungu kama kina Jeff Goldblum na Gordon Ramsey wameweka wazi kabisa mitandaoni kwamba watoto hawapati hata mia...

Na pia mbona kuna watoto hawataki urithi?

Kulia lia hakusaidii kitu.
 
Tujiunge wote humu kumlaumu mzee
 
Mleta mada nadhani lengo lako kuu la huu uzi ni kutafuta Public sympathy,huruma ya umma au uungwaji mkono wa wananchi,

Ni kweli maisha ni magumu kwa vijana,kuajiriwa au kupata mtaji,je uliwahi kumuomba Baba yako mtaji akakukatalia? Baada ya kuona hapo home umesha poteza miaka 5 for nothing,umechukua maamuzi gani so far?

Kumtupia mtu mwingine lawama hakuwezi kubadili chochote,chukua maamuzi ya nini ufanye kuliko kuendelea kupoteza muda,

All the Best.
 
Toka hapo nyumban pesa za baba yako sio zako , kwa hiyo bi mkubwa akifua chupi zake aogope kuzianika kisa wewe kiazi mmoja🚮
Ni kweli pesa za baba yake sio zake, lakini mzazi anaejitambua lazima awe concerned na future ya mtoto wake.

Maana mtoto hakukuomba umzae ila nyege zake ndio zilisababisha. Kama huwezi huwezi kumsaidia mwanao ungepiga punyeto au kutumia condom!
 
Ni kweli pesa za baba yake sio zake, lakini mzazi anaejitambua lazima awesome concerned na future ya mtoto wake.

Maana mtoto hakukuomba umzae ila nyege zake ndio zilisababisha. Kama huwezi huwezi kumsaidia mwanao ungepiga punyeto au kutumia condom!
Ni kweli kabisa, sasa mzee kagoma , dogo afanye nini?
 
G

Okay tuseme kijana ni mdhembe lakini kuna umuhimu gani wa kuwa na pesa ama connection ikiwa mwanao unamsomesha ili aje kuanzia zero.

Tunawasifia kina Mo Dewji na Manji ila ukifikiria walipofika ni kwa sababu hawakuanzia Zero.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyo ntadil nae taratibu mpaka ajae kwenye mfumo.
Akijaaa laazma awahi kufa kwa mawazo maamaaee😂😂😂😂😂😂😂😂
Nitakachofanya Jibu litakuwa verse ya pili😂😂😂😂
 
Ushauri mzuri sana
 
I hardly disagree with this, kati ya watu wanaojua kumwinua mtoto ni hao, wanayosema nje ni mbwembwe tu, christiano Ronaldo aliwahi kusema eti yule Jr hapati Iphone, au maisha ya kifahari. Nenda kaangalie lavish lifestyle wanayoishi.

Kati ya watu ambao wanafanya Kila wawezalo kujua na ku awaken talanta za watoto wao ni hao, and they're willing to financially support Kwa namna yoyote ile.

Waafrika Sasa, hawajui chochote kuja mtoto, hawajui mtoto anapendelea Nini, yaani wamekaa kikoloni koloni tu.
.mkuu tuache kuongea out of emotion
 
G


Okay tuseme kijana ni mdhembe lakini kuna umuhimu gani wa kuwa na pesa ama connection ikiwa kama mwanao unamsomesha ili aje kuanzia zero.

Tunawasifia kina Mo Dewji na Manji ila ukifikiria walipofika ni kwa sababu hawakuanzia Zero.
Simple as that mkuu, lakini waafrika Wana ego, wanavizambina ndani ya nafsi zao. Wanakaa na chuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…