Sitaki ujieleze,nimesema nipigwe mawe😁Wajukuu wenyewe humu naishia kuwaagiza Kiko tu, ndiyo iwe kumtamani mkwe tena 🤭
Kuwa na imani na Wazee 🤭Sitaki ujieleze,nimesema nipigwe mawe😁
Akimuomba tena, amnyimeSiyo sawa kum block.
Mnaweza kufanya moja ya mambo mawili:
1. Futa namba ya mkeo kwenye simu ya baba ako - hili lifanywe kupitia mama ako au ndugu kijijini huko. Ukute ikifutwa hatoikumbuka.
2. Mchumba wako asitishe kutumia namba ya sasa. Asajili mpya
Hivi kumbe hamjataagi?Wazazi wa sikuhizi tumekuwa malaya kweli,asipokaa vizuri huyo mchumba dingi anakojolea huyo
Hongera. 😂 Japo inachekesha.Kwani kuna shida ipi Baba kumsalimia mkwewe? Anaonesha anajali na kumpenda mkwewe.
Kwa familia nyingine angeshamkataa, na kumwambia Kijana wake atafute mchumba mwingine
Mimi nimewahi, sio mara moja ni zaidi ya mara tatu maana vijana wangu wote wameoa
Sisi kikwetu, hairuhusiwi kulala na mke wa mwanao/mke wa kaka/mdogo wako
Ikitokea binti akaonesha hizo dalili za kutengeneza mazingira alalwe na shemeji/mkwe basi ndiyo mwisho wa ndoa yake
NB; ni kweli nimekula chumvi nyingi mjukuu 🤭
Nawe umekuwa mmoja ya Wajukuu wasio na imani na Wazee 🤭Hongera. 😂 Japo inachekesha.
Akuu mi kwanza mkwe akitaka nimblock ni pale atakapoleta salamu salamu zisizo na kichwa wala miguu.Nawe umekuwa mmoja ya Wajukuu wasio na imani na Wazee 🤭
Kuweni na imani na Wazee 🤪
Ni sahihi, kwenye makabila mengi, Mkwe ni Mzazi anayeheshimika sana pande zote za familiaAkuu mi kwanza mkwe akitaka nimblock ni pale atakapoleta salamu salamu zisizo na kichwa wala miguu.
Sababu kiasili Wakwe ni watu wanaoheshimika na siku ukiona simu yake jua ana la msingi na salamu zao sio za hovyo hovyo mnaeza kaa mwezi ndo anapiga kuuliza wajukuu zake.
Sio visimu simu visivyoeleweka.
Baba ana umri gani pia na watoto Wana umri ganiiWakuu kwema, Hii stori inamuhusu mtu wa karibu na mimi naileta kwa niaba yake, kanitumia anahitaji ushauri, nimeandika kwa kutumia uhusika wangu.
Wakuu, mnamshauri afanyaje? Akimblock atakuwa saawa?
We na baba ako ni watu wa kaskazini? Au ni wa pwani?
Naomba nisifokewe
Basi vizuri sanaa!Ikitokea imetokea, najua majirani wanaweza kumsaidia kumjaza mimba mkewe
Nasisi kama kawaida ya Wazee, tutasema kitanda hakizai haramu. Muhimu nitakuwa na mjukuu
Hata hivyo, ni ndoto ya kila Mwanaume kuwa na familia yake
Mimi Baba yake nilikuwa na ndoto hiyo, ndiyo maana tumewapata wao, ni maoni yangu kwamba hata wao (watoto wangu) watapenda kuwa na watoto wao
✓Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
✓Mlee mtoto katika njia impasayo, naye hatoiacha hata atakapokuwa Mzee
Nimefurahi kukuona mjukuu, japo hutaki kuniletea Kiko wiki ya 7 sasa 🤪Basi vizuri sanaa!
😂😂😂😂 kazi zinachosha, si unajua mie saidia fundi, weekend labda.Nimefurahi kukuona mjukuu, japo hutaki kuniletea Kiko wiki ya 7 sasa 🤪
Hongera, kweli babu nimekuza, ndiyo maana mvi haziniachi 🤪😂😂😂😂 kazi zinachosha, si unajua mie saidia fundi, weekend labda.