TypingError
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 500
- 480
Huyo mzee jau sanaš
Basi sawa...
Basi sawa...
Kumbe, aaah basi ngoja niendelee na jambo muhimu la koneksheniHii ni chai wewe, hebu usijihangaishe...
Ooh...una bp?Naomba nisifokewe
Si mlikua mnarithi wake za kaka zenu nyie wakifariki hizo zamani zenu?Ni kweli Mkuu
Unajua changamoto ya vijana wengi wa miaka hii, ni kudhani uhuni wanaofanya wao basi na Wazee wao wanaweza kuufanya
Siku hizi ni kawaida kaka kutaka kulala na mke wa mdogo wake (Wanasema hainaga ushemeji š)
Jambo ambalo, sisi wa zamani tulikuwa hatufanyi na kulikuwa na mipaka kikubwa dhidi ya shemeji zetu
Ndio broOoh...una bp?
Basi asikufokee dada...pole sana.Ndio bro
Sio makabila yote yalikuwa na huu utaratibu MkuuSi mlikua mnarithi wake za kaka zenu nyie wakifariki hizo zamani zenu?
Ok sawa sawa...halafu kuna hii tabia ya watu wazima wababa kutembea na ma binti wa marafiki zao waliowaamini, vp zamani ilikuwapo?Sio makabila yote yalikuwa na huu utaratibu Mkuu
Siku hizi kaka yupo hai, na mdogo mtu anamrukia shemeji yakeš
Tabia hii, imefanya nisiwakaribishe rafiki zangu nyumbani, maana hawachelewi kumrukia shemeji yao š¤Ŗ
Hayo yamezuka miaka hiiOk sawa sawa...halafu kuna hii tabia ya watu wazima wababa kutembea na ma binti wa marafiki zao waliowaamini, vp zamani ilikuwapo?
Mabinti wanatembea sana na marafiki wa wazazi wao watu wazima kutokana na ukaribu wa familia.
Kumbe, aaah basi ngoja niendelee na jambo muhimu la koneksheni
Bro naomba koneksheni inbox niicheki nahisi baridi sana na hiki kimvua
Tulia ukojolewe wewe kelele za nini sasa kwani mkojo unaunguza?Wazazi wa sikuhizi tumekuwa malaya kweli,asipokaa vizuri huyo mchumba dingi anakojolea huyo
Ulikuwepo?Uongo
Bro unajikuta Saint Juma šš
Bro dhambi nilizonazo zinanitosha aiseee, kutazama mikunduge ya watu inavyosukumiziwa mtinyama kweli bro inahitaji ujitoe ufahamu...
Hebu mtafute coca akuconnect
Bro unajikuta Saint Juma š
Nipe tu bro nitaicheki huku nikisema astaghafilullahBro koneksheni ya mbele unaeeza hata ukapigia puchu, sasa hiyo ya mtaroni si kujitafutia dhahmaaa...
š¤inafikirisha sana aiseewazazi tupo radar mbele mbele yao tu