Baba yangu hakuniachia urithi lakini ndugu zangu wengine wamepewa wote, je nikijitenga na ile familia nakosea?

Haya maisha watu tumeachiwa nyumba na hatuna muda nazo, wewe unalilia shamba dah!
 
Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha

Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje

Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha

Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nak

Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea

Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa nje
Siku zote pambana kupata vya kwako ndg yangu,Hata Hao ndugu wazazi wakifariki kila MMOJA anakuwa busy na kujisatisfy mwenyew.Baba yako kuna kitu alikiona kwako cha tofauti na wenzio ambapo alikuandaa upambane.siku uliyomzika baba Ako ndy siku unatambua umempoteza mwanaume ambaye alitamani ufanikiwe na uwe Bora kumzidi yeye ila sio ndugu zako wanataka uwe juu yao..good morning
 
Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha

Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje

Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha

Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea

Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa nje
Bora hata wewe alishakufaga ukiwa mtoto wenzio yupo hai ata mwanga auonekani kama kuna kitu chochote tutaambulia zaid ya ndugu zetu wa nje ya ndoa
So pambana mpaka ndugu wakuone we ni wa kipekee ujali nin wamekuzdi ila tu unapambana Kwa namna yako mwenyewe
 
Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha

Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje

Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha

Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea

Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa nje
NDIYO UTAKOSEA, TENA UTAKOSEA SANA.
KAMA UNA MPANGO HUO, BASI JITENGE NA YULE ALIYEKUBAGUA, USIJITENGE NA WALLIOACHIWA URITHI
 
Wewe ni kabila gani?
 
Mimi binafsi sioni

Natumai nitakuwa sijachelewa sana.

Awali ya yote nikupe pole kwamaana huenda ulipitia na unapitia wakati mgumu.

Nikizingatia mantiki ya kile ulichopata kukinena ninaimani unao ujasiri wa kujipambania na uwezo wa kukita misingi ya mafanikio ambayo itakuwezesha kusimama binasfi na kujitegemea. Hivyo inanifanya niondoe hofu kuwa yapo maamuzi ya busara kwenye kichwa chako na nadhani ndio muda wa kuyatumia vyema.

Nikuombe kitu kimoja rafiki, endelea kuwa na msimamo wa kutojihusisha na maswala yoyote ya mirathi kwani hilo ni moja ya kitu ninachoweza kukusifu nacho. Kwa maana mali za urithi kama kitabu kisicho na mwandishi mtu yeyote huweza kusema yeye ndiye mwandishi.

Usisahau kuwa wewe ni miongoni mwa maelfu au mamilioni ya watu walikumbwa na swala kama lako ijapokuwa ugumu hutofautiana. Ninaheshimu nyakati ngumu ulizopitia na ninajua wapo wenye upofu wa kutoweza kuona machungu uliyokuwa nayo lakini hiyo haimaanishi kuwa uvumilivu wako wa mda wote ulikuwa kazi bure. Ni dhahiri ulivumilia mengi.

Hatupaswi leo kumlaumu Mfu kwasababu hata wewe ukishafariki yale ambayo haukufanikiwa kuyanena au kuyaweka bayana kwetu hubaki fumbo.
BINAFSI NAWAZA MASWALI HAYA.
Nani ajuaye marehemu baba yako alikuwa anafikiri nini? Vipi kama wosia aliouandaa ulikuwa ni kabla ya kuzaliwa kwako? Je mzee aliwahi kuonekana waziwazi kuwa hapendezwi na wewe? Je wakati wa uhai wake alikuwa mthiri? Je unafikiri mali ndicho kitu pekee chenye kuonyesha thamani ya mzazi? Je kuna maswala mtambuka katika familia zenu ambayo kimsingi hayana majibu hadi leo? Je ndugu zako wanakuchukuliaje na wana ukaribu gani na wewe?

MAJIBU ya maswali yote haya hayataridhisha mpaka kisichoweza kunena kiweze nena. Namaanisha mpka siku ambayo marehemu baba yako ambaye ni kama baba yetu sote atakapoamka na kutupa sababu kamili.

Mantiki yangu ni kwamba huenda ni kweli baba alikosea sana na huenda baba alikosea kidogo tu au hakukosea kabisa.

Karatasi ya wosia kwako ni fumbo la pili, huenda ikawa wa kuwalaumi ni ndugu zako ambao licha ya kuwafahamu bado hawajakufanya ujione wa thamani zaidi kwasababu kikubwa sio marehemu kutangulia ila aliokuachanao ni watu wa aina gani.
NA KAMA KWELI MZEE ALIKOSEA BASI TAMBUA KUWA HIYO NDIO NGUVU YA WEWE KUWEZA KUPAMBANA. KWANI KINACHOTENGWA NA WENGI HUGEUKA KUWA KIZURI ILIHALI TU UKIAMUA KUKIFANYA KIZURI.
Kupitia hilo ujasiri wako uendelee kuzidi na kukupa akili zadi.

Ni hitimishe kwa kusema huna haki ya kuchukia kilichokufa kwani hata kama kilikukosea kwani angali mfu basi yupo kwenye adhabu ya milele na kama sivyo basi kile unachoamini sio sahihi.
Na ikiwa umewaza kujitenga basi nikupe kitu bora kwako.

Siku zote acha Mtu mbaya ajitenge nawe kwani inadhihirisha wewe ni bora kuliko yeye.

Elewa kuwa kupitia unayofanya na mafanikio ya hapo mbeleni itafanya wakuogope na kukuheshimu. Usihofu kuhusu marehemu baba, endelea kuiombea nafsi yake pumziko la milele nawe kupitia hilo utapata baraka zinazokustahili.
 
Ni sawa ukijitoa.

Lakini kwa ushauri usingejitoa ni ndugu zako jambo la msingi usihesabu makosa yao, kutoka kwenye hilo jambo find your faults halafu jisamehe ukifanya hivyo utaondoa sumu na uchungu kwenye moyo halafu nguvu yako ielekeze kwenye kuprove them wrong kwamba hata kama sikujumuishwa kwenye urithi I can achieve whatever I want to achieve, sitegemei urithi sitegemei Mali za mtu prove them wrong mzee kwa vitendo sio kwa kuwabeba sio kwa kujitoa.

Kila la kheri.
 
Kwa kauli zako dhidi ya baba yako ni wazi kuwa wewe ndio tatizo na baba yako aliliona hilo katika hisia zake kabla ya wewe kujitambua. Kwa hizo kauli dhidi ya marehemu baba yako histahili kulithi hata kijiko.
Huoni kwamba kadiri unavyomtenda mtoto ndivyo unamfanya nyoka ili akumeze badae?
 
NDIYO UTAKOSEA, TENA UTAKOSEA SANA.
KAMA UNA MPANGO HUO, BASI JITENGE NA YULE ALIYEKUBAGUA, USIJITENGE NA WALLIOACHIWA URITHI
Nimeishi nao kwa muda mrefu lakini ni wabinafsi sana wao wenyewe kwa wenyewe wakipata matatizo hawasaidiani
 
Kama hajataja sababu za kukunyima urithi ulitakiwa kwenda kupinga mahakaman.

Sababu hizo ni kama kumtishia kumuua kipindi Cha uhai wake au kama ushawah kutoka na mke wake. Tofauti na hapo hairuhusiwi kumnyima mtoto au mke urithi
 
Natumai nitakuwa sijachelewa sana.

Awali ya yote nikupe pole kwamaana huenda ulipitia na unapitia wakati mgumu.

Nikizingatia mantiki ya kile ulichopata kukinena ninaimani unao ujasiri wa kujipambania na uwezo wa kukita misingi ya mafanikio ambayo itakuwezesha kusimama binasfi na kujitegemea. Hivyo inanifanya niondoe hofu kuwa yapo maamuzi ya busara kwenye kichwa chako na nadhani ndio muda wa kuyatumia vyema.

Nikuombe kitu kimoja rafiki, endelea kuwa na msimamo wa kutojihusisha na maswala yoyote ya mirathi kwani hilo ni moja ya kitu ninachoweza kukusifu nacho. Kwa maana mali za urithi kama kitabu kisicho na mwandishi mtu yeyote huweza kusema yeye ndiye mwandishi.

Usisahau kuwa wewe ni miongoni mwa maelfu au mamilioni ya watu walikumbwa na swala kama lako ijapokuwa ugumu hutofautiana. Ninaheshimu nyakati ngumu ulizopitia na ninajua wapo wenye upofu wa kutoweza kuona machungu uliyokuwa nayo lakini hiyo haimaanishi kuwa uvumilivu wako wa mda wote ulikuwa kazi bure. Ni dhahiri ulivumilia mengi.

Hatupaswi leo kumlaumu Mfu kwasababu hata wewe ukishafariki yale ambayo haukufanikiwa kuyanena au kuyaweka bayana kwetu hubaki fumbo.
BINAFSI NAWAZA MASWALI HAYA.
Nani ajuaye marehemu baba yako alikuwa anafikiri nini? Vipi kama wosia aliouandaa ulikuwa ni kabla ya kuzaliwa kwako? Je mzee aliwahi kuonekana waziwazi kuwa hapendezwi na wewe? Je wakati wa uhai wake alikuwa mthiri? Je unafikiri mali ndicho kitu pekee chenye kuonyesha thamani ya mzazi? Je kuna maswala mtambuka katika familia zenu ambayo kimsingi hayana majibu hadi leo? Je ndugu zako wanakuchukuliaje na wana ukaribu gani na wewe?

MAJIBU ya maswali yote haya hayataridhisha mpaka kisichoweza kunena kiweze nena. Namaanisha mpka siku ambayo marehemu baba yako ambaye ni kama baba yetu sote atakapoamka na kutupa sababu kamili.

Mantiki yangu ni kwamba huenda ni kweli baba alikosea sana na huenda baba alikosea kidogo tu au hakukosea kabisa.

Karatasi ya wosia kwako ni fumbo la pili, huenda ikawa wa kuwalaumi ni ndugu zako ambao licha ya kuwafahamu bado hawajakufanya ujione wa thamani zaidi kwasababu kikubwa sio marehemu kutangulia ila aliokuachanao ni watu wa aina gani.
NA KAMA KWELI MZEE ALIKOSEA BASI TAMBUA KUWA HIYO NDIO NGUVU YA WEWE KUWEZA KUPAMBANA. KWANI KINACHOTENGWA NA WENGI HUGEUKA KUWA KIZURI ILIHALI TU UKIAMUA KUKIFANYA KIZURI.
Kupitia hilo ujasiri wako uendelee kuzidi na kukupa akili zadi.

Ni hitimishe kwa kusema huna haki ya kuchukia kilichokufa kwani hata kama kilikukosea kwani angali mfu basi yupo kwenye adhabu ya milele na kama sivyo basi kile unachoamini sio sahihi.
Na ikiwa umewaza kujitenga basi nikupe kitu bora kwako.

Siku zote acha Mtu mbaya ajitenge nawe kwani inadhihirisha wewe ni bora kuliko yeye.

Elewa kuwa kupitia unayofanya na mafanikio ya hapo mbeleni itafanya wakuogope na kukuheshimu. Usihofu kuhusu marehemu baba, endelea kuiombea nafsi yake pumziko la milele nawe kupitia hilo utapata baraka zinazokustahili.
Inaonesha jinsi gani wewe ni msomi wa hali ya juu kwakweli ushauri wako hauna mfano, nitazingatia haya yote uliyonieleza, kwakweli nashkuru sana ufafanuzi wako ni wa kiwango cha juu sijapata kuona 🤝
 
Ubarikiwe kaka 🤝
 
Nimeishi nao kwa muda mrefu lakini ni wabinafsi sana wao wenyewe kwa wenyewe wakipata matatizo hawasaidiani
HUO ubinafsi WAO ndio uliokunyima wewe urithi? NA KAMA NI wAbinafsi, NI nini sasa kilichokuwa kimepelekea uKaSHINDWA kujitenga NAO KABLA? HUELEWEKI
 
Nilikuwa katika tafakari
 
Back
Top Bottom