OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Sasa hapo wa kumchukia ni marehemu sio ndugu, ndugu hawakujigawia maliJizee lile lilikuwa katili sana ogopa mtu anapiga mke wake pamoja na mama yake mzazi aliyemzaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo wa kumchukia ni marehemu sio ndugu, ndugu hawakujigawia maliJizee lile lilikuwa katili sana ogopa mtu anapiga mke wake pamoja na mama yake mzazi aliyemzaa
Mama yako yupo?Kama yupo,kaa naye umuulize hayo maswali/masuala yanayokutatiza.Anayo majibu yake.Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha
Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje
Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha
Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea
Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa nje
Kuna haya mawili matatu:Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha
Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje
Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha
Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea
Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa nje
Wewe ni mtu katili sana, mimi nitendwe vibaya bado ugongelee msumari asee wewe hapana sio binadamuWe b..o..y..a una tatizo fulani la kisaikolojia kichwani , nikiunganisha dots na ule uzi wako wa kushinda bet ukajenga nyumba namna unavomchukia mama yako!!! Hebu fanya haraka nenda hospitali kwa wataalamu wa saikolojia.
Umezungumza jambo kubwa sanaKuna haya mawili matatu:
Kwanza yawezekana aliandika wosia kabla hujazaliwa kwani hata wewe Umesema uligundua hilo ukiwa mdogo sana. Hivyo mzee wako hana nia mbaya na wewe.
Pili kama wewe ni Mchagga basi huwa kitindamimba wa kiume huwa ni mrithi wa nyumbani na hurithi nyumba na shamba la asili la nyumbani hivyo angalia hilo.
Tatu usijitenge na familia utakuwa umepiteza kitu kikubwa zaidi kuliko shamba.
Nne angalia kama kuna wosia mwingine pengine umeachiwa acount ya benk yenye thamani mara 5 ya hayo mashamba.
Labda mzee aliandika wosia kabla haujazaliwa akasahau kuedit baadae hata ivyo una uhakika kama uyo ni baba yako kabisa? Si ajabu mzee alibambikiwa mtoto akatumia busara tu kukaa kimyaMimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha
Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje
Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha
Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea
Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa nje
Kwani babaMimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha
Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje
Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha
Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea
Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa nje
Hiyo hujuma alinifanyia baba yangu nikiwa na miak miwiliKwani Baba yako alipate hizo mali?
Je,unauhakika Mama yako alimwambia nini Baba yako kuhusu uzao wako?
Je,tabia zako zikoje maana hata tukupost mambo ya Baba yako ni ishara kwamba kimaadili kuna walakini na inaweza kuwa sababu ya kuachwa solemba.
Inakuwaje wale watoto wanne walipopewa walichopewa bado nao hawana huruma nawe ili wakusaidie?
Ukoo mzima haukupendi? Tafakari