Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
HIi nimeiskia sehemu aisee tena kwa mzee mmoja hivi niko na brash viatu japokua mwishoni akasema kanda ya ziwa pia ina nafasi kubwa kutoa waziri mkuuRizimoja ndie waziri mkuu ajae wa Mama iwapo Mama atafanikwa kurudi madarakani.
Mzee wa Msoga anaandaa future ya kijana wake.
Bashungwa hajawai kua mtendaji ? Unajisikiliza kweli?Bashungwa hajawahi kuwa mtendaji.
Doto yes
Magufuri alikua amenyanganya wahuni chamaLazima kieleweke. WanaCCM hatuwezi kukubali kurudi kwenye mambo ya kihuni kwenye chama chetu. Jpm alikirejesha chama kwa wanachama. Mama anakirudisha chama mikononi kwa wahuni. Mulimsikia yule bush lawyer mzee Makamba akisema chama ni chao kwa hiyo wanaweza kufanya wanavyotaka. Lazima katiba na utaratibu ufuatwe. Hatuwezi kua na mgombea ambaye anaweza kua rais mihula miwili huku hakuwawi kugombea kuteuliwa kua mgombea urais kufuatana na katiba na taratibu za chama.
Huwa wanasomaga Hawa watu? Elimu Huwa wanaiacha wanashikiliwa na mtu akili! Waliitazama CHADEMA kama chama kisichokua na demokrasia. Things changed na wakaona how the party make decisions Kwa kutumia consensus and compromise! Kwao demokrasia ni kukunaliana na mawazo ya Mwenyekiti even by surprise! Tabia hii ilianza na Magufuli sasa Samia ameenda extra miles! What will come next? Who knows! Mifumo mingi ilijenga misingi ya kujiondoa nyenyewe duniani!Usidharau movement za Upinzani. The mighty fall kwa kuchukulia mambo poa. Soma kitabu cha Collins Why the Mighty fall , in his book ame demonstrate 5 stages of decline , focus na stage namba 3. Denial of Risk and Peril, then soma stage number 1 Hubris born of success
Uliposema hii tabia ilianza na Magufuli hapo ndipo ulipouharibu huu uzi 😳 !Huwa wanasomaga Hawa watu? Elimu Huwa wanaiacha wanashikiliwa na mtu akili! Waliitazama CHADEMA kama chama kisichokua na demokrasia. Things changed na wakaona how the party make decisions Kwa kutumia consensus and compromise! Kwao demokrasia ni kukunaliana na mawazo ya Mwenyekiti even by surprise! Tabia hii ilianza na Magufuli sasa Samia ameenda extra miles! What will come next? Who knows! Mifumo mingi ilijenga misingi ya kujiondoa nyenyewe duniani!
Hatar sana !Magufuri alikua amenyanganya wahuni chama
Utaona kwa macho yako hayo yaliyo uchi (naked eyes) lakini akili na ufahamu wako hautaamini kinachokwenda kutokea ktk miezi 13 kuanzia sasa...!!Mtasubiri sana hadi kizazi cha saba kuanzia sasa
2015/20Samia aligombea lini
Mkuu,Lakini Katiba haijawakataza kufanya yale wayafanyayo ! Right ?
Je tatizo lipo kwa hao wakubwa au lipo kwa sababu Katiba haijazuwia watu kujifanya ma-King makers ??!
Mkuu , hizo Katiba zitakuwa zimewakataza wale wengine wadogo wadogo lakini kwa wale wakubwa haijazungumzia chochote cha kuwafanya kama wakienda tofauti na matakwa ya hizo Katiba !Mkuu,
Katiba, kuanzia ya CCM, imewakataza kufanya hivyo.
Nasema kugombea kama Rais2015/20
Ulipoandika "zitakuwa" tu umeonesha umeandika kitu usichokijua.Mkuu , hizo Katiba zitakuwa zimewakataza wale wengine wadogo wadogo lakini kwa wale wakubwa haijazungumzia chochote cha kuwafanya kama wakienda tofauti na matakwa ya hizo Katiba !
Sheria yeyote isipokuwa na maelezo ya adhabu zake ikivunjwa hiyo sio sheria bali ni kiini macho tu !!
Ndoto za alinachaNchi inaenda upinzani
Ngoja nirekebishe basi. Tabia hii ilihuishwa au ilishamirishwa na Magufuli! Au ilivhagizwa na magufuliUliposema hii tabia ilianza na Magufuli hapo ndipo ulipouharibu huu uzi 😳 !