Bado kuna wazazi wanaendelea kuzaa hata baada ya mtoto wao wa kwanza kuolewa? Mtoto wa mwisho analingana na mjukuu wa kwanza? Huku ni kukosa maadili

Kwahiyo unataka tusizae,halafu tufanyeje sasa wakati bado nguvu ipo na pesa zipo.Usizungumzie kirahisi tu kuzaa,inapaswa ujue ili uzae kuna kitu kinafanyika ndio mnazaa,lwahiyo unataka tuache...?
Watoto wako wakianza kuzaa, wewe na mkeo mnaacha huo ndio ustaarabu.
 
Kila mtu na maisha yake.... Muhimu wapate mahitaji yao ya muhimu... Mengi alizaa mapacha akiwa na miaka karibia 70.. na hakuna aliyeshangaa... Ila akizaa mchovu kelele mji mzima..
Mtu mwenye status kubwa akifanya jambo lisilo na staha bado haihalalishi jamii kuiga
 
Kukosa maadili au kuongezeana umaskini. Wife wangu kasomesha wadogo zake mpaka sometimes alikuwa analia. Akiwaambia wazee kwamba walichofanya sio fair wanchomjibu ni mungu atakuzidishia
Too sad
 
Waliostaarabika tu ndio wanalijua hili mkuu
 
Katika vitu natamani maishani Basi Ni watoto wengi,, ingelikuwa nimezaliwa enzi za mabibi zangu, nikawa ktk hali nzuri kihuduma na afya watoto 12-15 ningewazaa...
Kama tunakaa nao katika jamii moja hakika sisi pia tutaathirika
 
Huyu Abdul mtoto wa Mengi ndio kwanza ninamsikia hapa JF leo
 
Huyo mtoto alikosa malezi ya baba
 
Sio kulingana tu, hata akazidiwa kabisa na hiyo kwetu ndivyo ilivyo na wala hamna tatizo dogo wa mwisho kazidiwa miaka mingi sana na mjukuu wa kwanza wa mzee...
Comments zako zinasikitisha sana mkuu mpaka ninajiuliza huyu ndio wewe au account yako imedukuliwa?
 
Hii ya wanaume sijawahi kuisikia mkuu
 
sawa, lkn bado hilo naona si salama sana kwako kwani sio wako hao....furaha ya kweli na ya kudumu ipo katika chako; isitoshe km uwezo upo bado unaweza tu kulea na hao wajukuu.

Extreme selfishness is blinding!

Unaposema sio wakwangu una maana gani? Maana kama ni wajukuu wangu manake wametoka kiunoni kwa mwanangu, damu yangu! Which means my blood still flows through their veins too!
 
Kama tunakaa nao katika jamii moja hakika sisi pia tutaathirika
Unasubiri Nini kuni-ignore, kumbe huwa unaleta mada ili uungwe hoja zako ila za wanaokupinga unaona ni wakosaji!!!

Sitafuti kuungwa mkono na yeyote humu kwahiyo fanya kuni ignore haunitishi,
 
Unasubiri Nini kuni-ignore, kumbe huwa unaleta mada ili uungwe hoja zako ila za wanaokupinga unaona ni wakosaji!!!

Sitafuti kuungwa mkono na yeyote humu kwahiyo fanya kuni ignore haunitishi,
Yaani kaleta hoja ya kitoto halafu anataka kila mtu akubaliane na fikra zake.

Wa kupuuzwa tu!
 
Watu wenye mawazo Kama yako ndio sababu ya Tanzania kuwa nchi za mwisho kwa umasikini duniani, watu wake wengi wakiishi chini ya dola 1 kwa siku
 
Watu wenye pesa na utajiri unaodumu kizazi Hadi kizazi hawazai watoto utitiri, wanaozaa utitiri ni watu kama nyie ambao mkimiliki kibanda cha M Pesa na Bajaj basi mnajiona mmewekeza ile mbaya....Hahaha, wewe ungekuwa tajiri kama Mo Dewji pengine ungeoa wake 50 na watoto 200, ambapo ukifa hapo itakuwa ni vita ya kugombania mali tu
 
Extreme selfishness is blinding!

Unaposema sio wakwangu una maana gani? Maana kama ni wajukuu wangu manake wametoka kiunoni kwa mwanangu, damu yangu! Which means my blood still flows through their veins too!
nilikuwa na maana kwamba hautokuwa na uhuru nao sana; maono na unavyotaka wawe inaweza kuwa na mipaka/kikwazo sababu kuna wenye maamuzi nao pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…