😀😀Shida ya wabongo wengi ni unafiki hata hamza alibeba umaarufu na kila mtu kujifanya anamjua wakati hata alipokuwa anakaa hawapajui.
Tena nilicheka zaidi kuona watoto wa 2003 wanalia kabisa na kugara gara barabarani siku aliyokufa mkapa wakati hata kweny utawala wake hawakuwepo
Leo mzee wangu umenifumbulia fumbo kubwa sana maishani mwangu. Nilikuwa sijui kwanini hiyo barabara toka stendi hadi Mianzini hadi stendi inaitwa Col. Middleton ndo leo nimejua. Baba yangu alisoma Ilboru alimaliza kidato cha nne mwaka 1978. Kuna siku nilimsikia akiongelea ishu ya uwanja ila alikuwa akiongea na mgeni na kama unavyojua ambacho kingenikuta kwa kuingilia mazungumzo ya watu wazima... hivyo nikakausha na sikuwahi kumuuliza tena.Uwanja huo ulijengwa na askari mstaafu wa Uingereza Colonel Middleton kabla ya Uhuru na kuuruthisha kwa iliyokuwa Arusha Town Council.
Sasa wakaja Mafisiemu wakautaifisha na mwaka 1976 wafanyakazi wote,wafanya biashara wote tulichangishwa kwa nguvu kuujengea badhi ya majukwa na kweli wanafunzi wa secondary walifanyishwa kazi bure.
Ukimwamini mswahili,maumivu ni muhimu.Nafikiri yeye na JK watakuwa wameweka mambo yao sawa. Maana kisa chak kinasikitisha sana. Usaliti
Una miaka mingapi?Poleni kwa Msiba Wakuu!
Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu.
Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja zikapepeteka.
Ushawishi wa JPM ni makeke, kukandia wengine na uchapakazi.
Ushawishi wa Dkt. Slaa pia ni kupepeta mdomo.
Ushawishi wa Makonda ni makeke na kupepeta mdomo.
Sasa kwa Lowasa ni nini msingi wa ushawishi wake kwa Watu ukizingatia karba na tabia yake niya ukimya na sio mtu wa maneno mengi.
Au ndio tunaita Nyota?
Wenye kujua mtupe ufafanuzi. Au labda miaka ya ujanani ambapo wengi hatukuwepo alifanya jambo fulani ambalo ndilo mpaka leo limempa heshima na ushawishi mbele za watu?
Karibuni
Augustino Lyatonga Mrema alitikisa nchi zaidi yake.Anhaa!
Unajua tangu nipate akili sidhani kama kuna mwanasiasa tangu nchi ipate uhuru alikuwa na ushawishi kama Lowasa.
Wengi wanakuwa na ushawishi wakiwa ndani ya mfumo iwe wa ccm au serikali. Wakitoka wanakwama
Acha zako wew lowasa anamfikia nyerere?, anamfikia magufuri? Suala la mvuto na ushawishi mnaweza kuliona hata hapa baada ya msiba ni akina nan na wangapi watakao umia/kuhuzunika baada ya kifo, lowasa ni mtu wa kawaida sana nje na ndan ya siasa mnampa sifa zisizo stahili, ni wakawaida sana hafiki hata kwa dr slaa/tundulisu au hata kwa yule kahaba wa instagram anayeandamanisha raia wa nchi nzima kwa Posts zake, wakati huo yeye akiwa USA na wapuuzi wakiwa TZ.Anhaa!
Unajua tangu nipate akili sidhani kama kuna mwanasiasa tangu nchi ipate uhuru alikuwa na ushawishi kama Lowasa.
Wengi wanakuwa na ushawishi wakiwa ndani ya mfumo iwe wa ccm au serikali. Wakitoka wanakwama
Tuko pamojaUmeniongezea kitu Mkuu. Ubarikiwe sana.
Acha zako wew lowasa anamfikia nyerere?, anamfikia magufuri? Suala la mvuto na ushawishi mnaweza kuliona hata hapa baada ya msiba ni akina nan na wangapi watakao umia/kuhuzunika baada ya kifo, lowasa ni mtu wa kawaida sana nje na ndan ya siasa mnampa sifa zisizo stahili, ni wakawaida sana hafiki hata kwa dr slaa/tundulisu au hata kwa yule kahaba wa instagram anayeandamanisha raia wa nchi nzima kwa Posts zake, wakati huo yeye akiwa USA na wapuuzi wakiwa TZ.
Angalieni uhalisia na sio uongo.
Somo la Maadili lipewe kipaumbele vijana hawana maadili. Unawezaje kusema wazee umri wa babayako eti wana "pepeta mdomo"??
Tundu LISSU amesaidia haki kwa wengi na kupinga uozo serikalini Leo unasema anapepeta mdomo eti watu wachangie hoja yakijinga isiyo na adabu.
Haya nayaona kama ndo majibu sahihi.Wakati ni Waziri mkuu alikua mchapakazi mzuri tu, kama Jpm kulikua na tumbua tumbua na safisha safisha serikalini,
Pia anakubalika na "Elites" wa Nchi, Kumtoa kingunge CCM si kazi ndogo, unapikubalika na Elites, wale Elites wanakuwa na followers wao ambao wanaweza wasikukubali ila sababu wewe ni kiongozi wa watu wanaokukubali inabidi na wewe wakukubali for the time being. Mfano hapa Jf chawa wa Samia sio wote ni Loyal kwa Samia, Bali sababu tu mabosi zao wapo chini ya Samia na wao inabidi wamsifie.
Poleni kwa Msiba Wakuu!
Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu.
Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja zikapepeteka.
Ushawishi wa JPM ni makeke, kukandia wengine na uchapakazi.
Ushawishi wa Dkt. Slaa pia ni kupepeta mdomo.
Ushawishi wa Makonda ni makeke na kupepeta mdomo.
Sasa kwa Lowasa ni nini msingi wa ushawishi wake kwa Watu ukizingatia karba na tabia yake niya ukimya na sio mtu wa maneno mengi.
Au ndio tunaita Nyota?
Wenye kujua mtupe ufafanuzi. Au labda miaka ya ujanani ambapo wengi hatukuwepo alifanya jambo fulani ambalo ndilo mpaka leo limempa heshima na ushawishi mbele za watu?
Karibuni
Tabia za Lowasa na Kikwete zinafanana.Huo ukimya wake ndio uliosababisha watu wampende, hasa nikikumbuka kile alichofanyiwa na rafiki yake JK ndicho kilichosababisha wengi waone ameonewa hajatendewa haki.
Hivyo wakaamua kumuunga mkono kwenye kampeni zake za kuusaka urais, kwa yake mafuriko makubwa ya watu mikoa yote Tanzania Bara ambayo hayajawahi kufikiwa na mgombea mwingine yeyote.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
View attachment 2899914
Mkuu umesemaje?Nafikiri aliloga, maana sasa unakubali ushawishi alikuwa nao, na unaamini astahili, basi alienda kwa waganga kutafuta ushawishi.
Mkuu Robert Heriel Mtibeli kuna watu wanazaliwa ili kuwa viongozi na wanaujua UongoziPoleni kwa Msiba Wakuu!
Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu.
Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja zikapepeteka.
Ushawishi wa JPM ni makeke, kukandia wengine na uchapakazi.
Ushawishi wa Dkt. Slaa pia ni kupepeta mdomo.
Ushawishi wa Makonda ni makeke na kupepeta mdomo.
Sasa kwa Lowasa ni nini msingi wa ushawishi wake kwa Watu ukizingatia karba na tabia yake niya ukimya na sio mtu wa maneno mengi.
Au ndio tunaita Nyota?
Wenye kujua mtupe ufafanuzi. Au labda miaka ya ujanani ambapo wengi hatukuwepo alifanya jambo fulani ambalo ndilo mpaka leo limempa heshima na ushawishi mbele za watu?
Karibuni
Mimi nilikuwepo wakati wa kampeni za 1995Augustino Lyatonga Mrema alitikisa nchi zaidi yake.