Kama hujaona hata chembe ya uchapakazi wa JPM pamoja na kwamba naye alikuwa na mapungufu yake na nahitimisha kwa kusema "CHUKI HUMUUA MTU MPUMBAVU".Nimeishia kusoma uliposema JPM mchapakazi. Umechanganya propaganda na chapakazi
Alikuwa na ushawishi zaidi alivyokuwa CCM kuliko upinzani 2015 ndio mara ya Kwanza mgombea wa CCM analalamika kuwa Kuna watu mchana ni CCM usiku ni chademaHakuna cha uchawi,nyota, ushawishi wala nini, bali [emoji117]kipindi lowasa anagombea urais nchi ilikuwa imetoka ktk uongozi wa hovyo(CCM) ambao wanachi walishauchoka, hivyo kuamua liwalo na liwe bora kumchagua yeyote ambaye yuko kinyume na uongozi wa CCM.
Karibu kila mtu kipindi hicho alikuwa kinyume na utawala wa kikwete pamoja uongozi wake, kuchokwa kwa utawala huo ndio jambo lililofanya wengi wahamie upande wa kusapoti upinzani, the same way kama ilivyokuwa 2010 kwa Dr Slaa alivyopita na nyomi la wafuasi wengi waliochoshwa na utawala wa CCM, hapo hakuna cha uchawi,dawa wala mvuto bali uhalisia wa maisha unaowafanya watu kuchoshwa na aina ya mfumo na kuamua kuhamia/kutamani mfumo wa upande wa pili(upinzani).
Ndiomaana baada ya lowasa kushindwa, matumaini ya walioupinga mfumo wa ccm yalirudi baada ya kuona kumbe kuna matumaini hata huko CCM pale Magufuri alipobadili mfumo mzima wa kipuuzi huko CCM, hapo ndipo hata baadhi ya wapinzani walianza kumsapoti na hata wale waliokuwa wamechoshwa na utawala wa CCM kabla ya 2015 walirudisha matumaini.
Sio hadithi, sio stories, haya mliyashuhudia wenyewe baada ya magufuri kuapishwa tu alipoanza ziara za kushitukiza, kutumbua wazembe/wala rushwa, kuinua maisha ya walala hoi, kupambana na wakwepa kodi, haya aliyafanya ndani ya muda mfupi jambo lililorudisha matumaini kwa Watanzania.
Suala la Lowasa kuwa na wafuasi wengi lilitokana na Raia kuchoshwa na utawala wa kihuni wa CCM ndiomaana wakatamani na kushawishika na upande wa Upinzan wakifikili kutakuwa na unafuu au kutaman Uongozi mpya nje ya CCM.
Simple hakuna uchawi hapo ni suala tu la mifumo kupoteza direction.
Hata wewe hapo leo hii ukipata pesa hata kama ni domo zege utashangaa sana utakavyokuwa chambo/asali ya warembo na utajiuliza haya mambo kwanini hayakuwepo kipindi hauna hela? Jibu ni kuwa watu wanafuata kitu ambacho ni bora, kitu ambacho kwa wengine hakipo.
VizuriMkuu Robert Heriel Mtibeli kuna watu wanazaliwa ili kuwa viongozi na wanaujua Uongozi
Miongoni mwao ni Edward Lowassa
Wapi imezungumzwa chembe ya uchapakazi? Anzisha uzi wa chembe ili nikuunge mkono. Tofautisha mchapakazi na mwenye chembe ya uchapakazimKama hujaona hata chembe ya uchapakazi wa JPM pamoja na kwamba naye alikuwa na mapungufu yake na nahitimisha kwa kusema "CHUKI HUMUUA MTU MPUMBAVU".
Mmh kwamba alimzidi hata Nyerere kiushawishi?unajua Nyerere alikuwa na uwezo wa kumkosoa aliyeko madarakani na akafyata?Anhaa!
Unajua tangu nipate akili sidhani kama kuna mwanasiasa tangu nchi ipate uhuru alikuwa na ushawishi kama Lowasa.
Wengi wanakuwa na ushawishi wakiwa ndani ya mfumo iwe wa ccm au serikali. Wakitoka wanakwama
Mmh kwamba alimzidi hata Nyerere kiushawishi?unajua Nyerere alikuwa na uwezo wa kumkosoa aliyeko madarakani na akafyata?
Baba wa taifa ni cheo cha mdomoni tu,kile ni kipawa ambacho mtu anakuwa nacho kwani wengine hawakutokea tanu na ccm?Lowasa huwezi mfananisha na Nyerere labda na akina makamba,Jk ...Yule alikuwa na hamasa hadi nje ya mipaka ya Tanzania.Nyerere bila Tanu na CCM hana nguvu hiyo.
Uwezo wake wa kukosoa ulitokana na kuwa yeye ndiye Baba wa taifa
Nazungumzia ushindani kwenye nafasi ya urais .Mimi nilikuwepo wakati wa kampeni za 1995
Augustiono E. Mrema hakufikia alichofanya E. Lowassa kwasababu Lowassa alikuwa sababu ya vijana wengi sana kupata ubunge na power...Mrema hakufanya hivyo
Ni kawaida tu.kukosana kupo..kutozikana kupo mpaka kwenye ngaz ya family ndugu wa damu kabisaa..Atajitokeza tu ,uzur JK hakosagi cha kusema. AtawashangazaWatu wote wamehuzunishwa na kifo cha Mh. Edward. Ila kuna mtu mmoja wa misiba yani anapendaga kuwa mbele kwenye misiba ila katika msiba huu hadi sasa ni kimiaa
we jamaa acha unafiki, kuna mwanasiasa gani asiye mchafu wa kuchafua wenzake, mbona hushangai wanaomsifia sasa akiwa kalala umautiWatanzania ni wepesi wa kupumbazika sana na kujisahau haraka, maovu ya Lowassa si hata ya kusameheka, itafaa zaidi kama alitubia dhambi zake kabla hajalimwaga kwenda kwa Baba mwenye makazi yake ya Mtakuja paradise. Tusiogope kusema ukweli Lowassa aliumiza wengi kwa udhulumati, uporaji na umafia. Mwaka 2004 na 2005 alishiriki kikamilifu kumchafua ndugu Salim Ahmed Salim acha aende ndio imeisha hio.
Umaarufu wa Lowassa ni yeye kuwa fisadi na kuunda kundi la kuchafua watu nyakati za siasa hasa kuelekea chaguzi ndani ya chama. Kwa miaka mingi alituhumiwa kuihujumu Chadema na vyama vya upinzani chaguzi za Mkoa wa Arusha.
Kila baya litalipwa hapa hapa duniani, haishangazi ndiomana amepata mateso lipizi ya kuugua muda mrefu. Mungu ameamua acha inyeshe tuendelee kuona kuvuja kwa jumba.
Imeisha hio hainaga unafiki
Wadiz
Hivi Lowassa ni masai !.Lowassa ni mmeru aliyehamia Monduli wanakoishi jamii ya wamasai.Nilisoma naye Arusha Secondary School akinitangulia miaka miwili, niseme tuu sisi tuliotokea Arusha mjini tulizidiwa na Masai toka Monduli akawa Parade band leader, Head Prefect na best Basketballer
Alikuwa na nyota na haiba ya kupendwa.