Baikoko, kibao kata, orgies, pool parties, kanga moja. Aisee vijana wa Dar kazi mnayo

Ukitembea maeneo ya uswahilini kuna siku unaweza kukutana na watu wako uchi wa mnyama kama ilivyonikuta mimi....

Mimi kuna siku nilikwenda kumtembelea mfanyakazi wangu mmoja hivi mkongwe alikuwa mgonjwa, tunakatisha vichochoro tukakutana na mabinti wanapigiwa Ngoma wanakatika Huku wakivua nguo mchana kweupe, uchi wa mnyama kabisa, kama mwanadamu ikabidi na Mimi nisimame nikodoe macho kidogo na pale palikuwa Hadi na watoto wadogo nao wanashangilia, lile kundi linapita mtaa Kwa mtaa niliambiwa Wana kitu kinaitwa usiku sijui wa nini, It's very dangerous to raise a family there...Binafsi Yale mambo niliyaona Thailand but sio Open kama vile.
 
Huko mbagala chamazi tandika buza ,wanawake wanacheza huku wanajisokomeka chup mkndd aise
Vibao kata na sahv ishakuw fashion
Aise nkirud huko sitokunywa tena bia za chupa 😄

Ova
 
Huko mbagala chamazi tandika buza ,wanawake wanacheza huku wanajisokomeka chup mkndd aise
Vibao kata na sahv ishakuw fashion
Aise nkirud huko sitokunywa tena bia za chupa 😄

Ova
Hatari Sana, Sikuwahi kushuhudia vitu kama vile Open namna Ile, pale niliwaambia mkiweza hameni huu sio mtaa wa Kulea, vibinti vidogo kabisa.
 
sijambo!

wake wema wapo pia, hapawezi kulaanika kila kona, binafsi na uzee wangu huu sijakutana na hizo mambo! n btw! orgies ni nini?
 
Hapo mkocheni unaingilia business ndani ndani 😄
Nlikuwa namzinguaga nyumba yako umejenga barabarani umeziba njiaa ya kutokaaa 😄
Mwamba kawafaid bana

Ova
Halafu hapo opposite na business park kuna chimbo moja halina hata bango la kishua hivi bado lipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…