Bajaji aliyoacha marehemu mama imeanza kunigombanisha na baba yangu mzazi pamoja na dada yangu tumbo moja nifanyeje?

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Heshima yenu! Wanajamii Jf!

Ushauri kwa kijana wenu Nina miaka 24 tu na ndio nimemaliza Chuo miezi miwili Sasa!

Katika harakati za kuona nisikae kinyonge Daslamu niliamua kurudi nyumbani bwana! Geita
Basi dada yangu akawa amenipa 260000/=, nilimwambia nitafanya biashara ya kutembeza mayai kwa wauza chips, migawahani, masokoni na kwenye maduka ya hommie accessories

(Yani laki moja kama mtaji wa trei 11 za mayai pamoja na 160k wa ajili ya kununua baiskeli ya kufanyia delivery)

Sikununua Ile baiskeli moja kwa moja nikapata wazo nyumbani kuna BAjAj nikitengeneza nawaza ikapiga kazi inaweza rudisha hela na nikawa na mtaji mkubwa plus kupunguza kuchelewesha delivery

Nikainunulia betri N50 pamoja na ufundi laki Ile hela ya mtaji wa mayii ikaisha.
BAJAj Ile imekaa miaka 10 ni aina RE toleo A la 2012 Ila imepaki toka Niko form one 2014-2024 nimepita vidato vyote hadi Chuo nimemaliza imepaki Ata mama kafariki mwaka Jana kaiacha.

Bajaji hii ilkua ni zawadi ambayo mama alipewa kama zawadi sababu ya kuwa muwekaji wa pesa mzuri katika Benk mojawapo! Giant aliitunza miaka kumi kwa ajili yangu!
Basi mimi niliitoa na kumkabidhi dereva bajaji mzoefu awe analeta kiasi cha 20k Kila siku huku namm najifunza Kila siku vifaa vyote vilvyo kwenye engine il nijue kipi kizima kipi kibovu sababu imekaa 10 years

Baba alinipinga sana nisitoe bajaji sababu hawaamini mafundi na Sina experience ya bajaji (baba yangu huwa hanisapoti kwa jambo lolote la mafanikio yangu)

Dada yangu nae akaja kunipinga kwanini nimetoa bajaji kwa mtu Bila kumshirikisha
(mimi siku taka kumshirikisha sababu yeye ni muoga wa kutake risk) Ila Sasa kashagundua amenipiga stop nisiguse chochote.

mimi niliitoa bajaji kwa kudhumuni la kupata mtaji na kusave kwa ajili ya kusaidiana na dada kukarabati nyumba za marehemu mama maana baba Hana msaada kwetu!,

Ila dada yangu amenizuia nisishike bajaji! Nimekaa nimetafakari nawaza kuondoka nyumbani. Niache Kila kitu nikatafte vyangu?? Ila ROHO inaniuma nyumbani kuna nyumba za kurekebisha zimechakaa dada yangu hawezi peke ake?,, je nikiondoka nikaamuachia majukumu yote nitakuwa sahihi?? Na kinachoniudhi nikuwa mimi naamini katika biashara za usafiri kama tax, Bajaj Ila ye haamini amenizuia lakini Nina malengo mazuri!

Nifanyeje nitelekeze nyumba nirudi dsm!! Au nibaki hommie!??
 
Tatizo lako unaegemea kuwa Mali ya mama,mama,mama Mali ya mama,hizo ni Mali za familia na msimamizi ni baba no matter alininua mama,ukitambua kuwa hiyo Mali si ya mama Yako mtaelewana na mtakaa chini ili kupanga kipi kifanyike
 
Mkuu hakuna kuremba miaka hii.

Wewe unafanya juhudi kujikwamua na watu hawakuelewi, utalea hadi lini hiyo hali?

Maisha yanaenda mbele unawaza familia sijui Baba, Dada na hawakuwezeshi au kuunga mkono jambo la maana kama hilo. Achana nao baadae watakuja wenyewe wakitambua upo sahihi.

Roma anakwambia ukiendekeza ndugu utavuna magugu.
 
Heshima yenu! Wanajamii Jf!

Ushauri kwa kijana wenu Nina miaka 24 tu na ndio nimemaliza Chuo miezi miwili Sasa!

Katika harakati za kuona nisikae kinyonge Daslamu niliamua kurudi nyumbani bwana! Geita
Basi dada yangu akawa amenipa 260000/=, nilimwambia nitafanya biashara ya kutembeza mayai kwa wauza chips, migawahani, masokoni na kwenye maduka ya hommie accessories

(Yani laki moja kama mtaji wa trei 11 za mayai pamoja na 160k wa ajili ya kununua baiskeli ya kufanyia delivery)

Sikununua Ile baiskeli moja kwa moja nikapata wazo nyumbani kuna BAjAj nikitengeneza nawaza ikapiga kazi inaweza rudisha hela na nikawa na mtaji mkubwa plus kupunguza kuchelewesha delivery

Nikainunulia betri N50 pamoja na ufundi laki Ile hela ya mtaji wa mayii ikaisha.
BAJAj Ile imekaa miaka 10 ni aina RE toleo A la 2012 Ila imepaki toka Niko form one 2014-2024 nimepita vidato vyote hadi Chuo nimemaliza imepaki Ata mama kafariki mwaka Jana kaiacha.

Bajaji hii ilkua ni zawadi ambayo mama alipewa kama zawadi sababu ya kuwa muwekaji wa pesa mzuri katika Benk mojawapo! Giant aliitunza miaka kumi kwa ajili yangu!
Basi mimi niliitoa na kumkabidhi dereva bajaji mzoefu awe analeta kiasi cha 20k Kila siku huku namm najifunza Kila siku vifaa vyote vilvyo kwenye engine il nijue kipi kizima kipi kibovu sababu imekaa 10 years

Baba alinipinga sana nisitoe bajaji sababu hawaamini mafundi na Sina experience ya bajaji (baba yangu huwa hanisapoti kwa jambo lolote la mafanikio yangu)

Dada yangu nae akaja kunipinga kwanini nimetoa bajaji kwa mtu Bila kumshirikisha
(mimi siku taka kumshirikisha sababu yeye ni muoga wa kutake risk) Ila Sasa kashagundua amenipiga stop nisiguse chochote.

mimi niliitoa bajaji kwa kudhumuni la kupata mtaji na kusave kwa ajili ya kusaidiana na dada kukarabati nyumba za marehemu mama maana baba Hana msaada kwetu!,

Ila dada yangu amenizuia nisishike bajaji! Nimekaa nimetafakari nawaza kuondoka nyumbani. Niache Kila kitu nikatafte vyangu?? Ila ROHO inaniuma nyumbani kuna nyumba za kurekebisha zimechakaa dada yangu hawezi peke ake?,, je nikiondoka nikaamuachia majukumu yote nitakuwa sahihi?? Na kinachoniudhi nikuwa mimi naamini katika biashara za usafiri kama tax, Bajaj Ila ye haamini amenizuia lakini Nina malengo mazuri!

Nifanyeje nitelekeze nyumba nirudi dsm!! Au nibaki hommie!??
Ila hakuna bajaj inaweza kutumia battery ya N50 hiyo ni kubwa sana hata N40 bado ni kubwa. Angalia usije ukawa umepigwa
 
Wazimiiiishe wotee

Usongeee Mbele mpwaaaa

Hapooo anza na dadakoo aende Baba akibaki na maumivu mtest na yeye ukiona anazingua aende na tete kaa mwanae

Kaziiiendelee
 
Baba yako na dada yako wako sahihi. Wewe km msomi hufai kukurupuka ktk maamuzi yako. Nimesema ulikurupuka sababu km mama yako aliipata hiyo bajaji km zawadi akiwa anaishi na baba yako (MKE na MUME) jua kuwa hiyo bajaji ni mali ya baba yako na ndo mwenye ruhusa au ya kukupa au kutokukupa.

Issue ya baba yako kutoka support siyo kigezo cha wewe kuchukua mali za mke wake (mali zao) na kutumia unavyotaka. Unless tuambie km baba yako alikuwa ametengana na mama yako au walikuwa hawajaoana na mama yako wakati anapata hiyo zawadi ya bajaji.

Nikirudi kwa dada yako, pia yupo sahihi. Huwezi kumtenga kwenye maamuzi ya mali za wazazi wenu. Usichukulie kusoma kwako ukadharau ndugu au baba yako.

Mwisho, umesema umesoma hadi chuo kikuu, lakini nashangaa unawaza km mtu ambae hajasoma. Unawaza kuondoka nyumbani uwaachie kila kitu, je hapo unakuwa umemkomoa nani, na hapo utakuwa umejenga au umebomoa. Hivi ulisoma ENGLISH wewe. Ktk vitabu (literature) tuliambiwa "running away from a problem is not a way of solving it". Au wewe hukusoma ENGLISH.

Jaribu kutumia elimu yako kutatua matatizo siyo kuleta matatizo au mgogoro ktk familia.
 
Mali za mama zinanitoa roho,
Zinanitoa roho
Bora nikaee, peembeni
Niinusuru,
Roho yangu mimi ×2
Niinusuru mimi roho yangu mimi Philomena3

Twatoana roho yarabiiii
Kwa mali alizoacha mamaaa
JamiiForums
Twatoana roho yarabii
Kwa mali alizoacha maamaaa

Pole sana mkuu, nimesindikiza uzi wako na hicho kibao murua.

Kaa nao chini, ikishindikana anza harakati zako mwenyewe na kwenye mazungumzo nao usiwe na hasira na kujiona ndio una haki sana bali fuata sheria.
 
Back
Top Bottom