BAKWATA wana ushwawishi na nguvu kubwa kuliko TEC katika siasa za nchi

Kwa Wale msiojua Historia.

BAKWATA ilianzishwa na Mwalimu Nyerere, Mark Bomani na ma shehe wenye njaa kwa lengo la Kuwagawa Waislamu. Na kuwamaliza Nguvu zao.

Kupata Degree BAKWATA ni sawa na Kutafuta Bikra wodi ya wazazi.
Nyerere alishakufa.

Ila waislam Wameshindwa kuisusa BAKWATA,.

Akili kwao ni bidhaa adimu.

Wanachojua ni MALALAMIKO, VISINGIZIO, UBWABWA, TENDE, UNAFIKI na NGONO.
 
Bakwata wanaunga mkono serikali inayoongozwa na mwislamu tu
 
Nyerere alishakufa.

Ila waislam Wameshindwa kuisusa BAKWATA,.

Akili kwao ni bidhaa adimu.

Wanachojua ni MALALAMIKO, VISINGIZIO, UBWABWA, TENDE, UNAFIKI na NGONO.
Kwa kuzingatia,BAKWATA haina ushawishi isipokuwa inakuzwa na kulelewa na watawala.Taasisi mfu ambayo hata walioundiwa hawataki inakuwaje na ushawishi?
 
Kwani TEC ni chama Cha siasa?
Unayafahamu majukumu msingi ya mabaraza ya maaskofu katoliki yaliyopo duniani na namna yanavyoundwa?

Msingi wa BAKWATA ni sawa na TEC mpaka ulinganishe?
 

Kwahiyo Bakwata ni CCM? Just confirm. Maana Bakwata pia kuna waislamu wengi wasioitaka wala kuamini kama ijo kwa interest zao.

Ndio maana ile kesi iliyoamuliwa iliweka hilo bayana.

Kumbe ni Chama chetu😀😀😀😀
 
Kwa kuzingatia,BAKWATA haina ushawishi isipokuwa inakuzwa na kulelewa na watawala.Taasisi mfu ambayo hata walioundiwa hawataki inakuwaje na ushawishi?
Hawaitaki kivipi mbona ina waumini??

Ambaye haitaki ni Sheikh Ponda, ambaye naye kashindwa kujenga taasisinyake, badala yake anapambania mgawo.wa mali kutoka BAKWATA?

Wakati KKKT inajitoa ROMA, iliomba mgawo wa mali?

Wakati vyama vinajitenga na TANU, viliomba mgawo wa mali?

Shida ya Uislam ni kila mtu njaa kali na kila mtu kambale
 

Ndugu Shekhe Ponda sio masikini yumkin umjui vizuri unamuona juu juu tu.🤠
 
TEC ni wafanyabiashara wa mjini Dar es Sallam
Dini kwao ni nyenzo ya kimkakati
Kufanikisha malengo yao!!!

Bakwata wananguvu lkn wapo kimya lkn ni hatari sana wakitoa tamko lolote jua litakuwa ivyoivyo✍️
 

Tec wajitokeze marangapi kusema hawaungi mkono uchaguzi huo? They have been saying again and again. Matter of fact wamekuwa wazi sana kuweka misimamo yao hadharani
 
Kwenye ishu ya uchaguzi, BAKWATA walishiriki kwa sababu ni yes men wa mfumo.
BAKWATA ilianzishwa na CCM kwaajili ya kuwahadaa waislam. Haitakuja kutokea BAKWATA ikaenda tofauti na CCM. Kutegemea BAKWATA kuwa na msimamo wake, ni sawa na kutegemea UVCCM au UWT wawe na misimamo yao tofauti na CCM, wakati hizo jumuiya zimeanzishwa na CCM.

Waislam wote wente akili timamu wanajua kabisa kuwa BAKWATA siyo taasisi yao ya kidini bali ni taasisi ya CCM kwaajili ya kuwaokora waislam wasio na upeo. Waislam wote wenye akili na upeo wa kutosha huwa hawajishikamanishi na hiyo BAKWATA ya akina mwaipepo.
 
Ndugu Shekhe Ponda sio masikini yumkin umjui vizuri unamuona juu juu tu.🤠
Yeye siyo masikini labda, ila taasisi yake vipi?

Najua kwenye Uislam kila tajiri anajenga msikiti wake na kuweka Sheikh wake.

Sasa kama ana pesa, ajenge misikitini aanzishe taasisi, aachane na BAKWATA ambayo walishapora tangu zamani.

Rahisi tu.

Sheikh Ponda anataka nini kutoka BAKWATA??
 
Kama Bakwata wangeamua kutoa matamko kabla ya Mo29 matamko nchi nzima ujue Mo29 isingekuwepo
Wananguvu sana👈

ndiomana Serikali kupitia CCM wameona wafunge nao mkataba kabisa
Serikali inajua kwanini wanapswa kuwaheshimu sana Bakwata japo wapo ndani ya CCM ✍️
 

Ndiomana nakwambia umjui Shekhe ponda vizuri
Zaidi unamjua juu juu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…